W werawera Senior Member Joined Oct 5, 2010 Posts 138 Reaction score 41 Nov 1, 2010 #1 wanaenda zanzibar kufanya nini kama si kuleta vurumai. jamani amani inataka kutoweka. Uwiiiii Uwiiiii. Tupige mayowe mpaka mafisadi tuwatoe.
wanaenda zanzibar kufanya nini kama si kuleta vurumai. jamani amani inataka kutoweka. Uwiiiii Uwiiiii. Tupige mayowe mpaka mafisadi tuwatoe.
Mpasuajipu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 836 Reaction score 50 Nov 1, 2010 #2 Tupatie source ya hizo information km kweli wameenda huko. lakini si waliyataka wenyewe sasa nini tena?
Tupatie source ya hizo information km kweli wameenda huko. lakini si waliyataka wenyewe sasa nini tena?
W werawera Senior Member Joined Oct 5, 2010 Posts 138 Reaction score 41 Nov 1, 2010 Thread starter #3 watu walioko bwawani wamesema hayo kisha vurugu zikaanza
M Mdondoaji JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,108 Reaction score 1,137 Nov 1, 2010 #4 Mzalendo . net wameripoti kuwa hawa jamaa wameingia jana usiku sijui wameenda kufanya nini huko?
H Howdesi Member Joined Oct 19, 2010 Posts 33 Reaction score 4 Nov 1, 2010 #5 Hivi wanafuata nini??????????????????? maana hata jk yupo Mwanza kaingia kisirisiri usiku!!!!!!! Hawaoni hata hayaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi wanafuata nini??????????????????? maana hata jk yupo Mwanza kaingia kisirisiri usiku!!!!!!! Hawaoni hata hayaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Nov 1, 2010 #6 Zanzibar sio walaini kama wa bara. Lazma patachimbika tu.
N No name Member Joined Jul 27, 2007 Posts 13 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #7 Labda waeenda kuwaambia CCM kuwa wasiwadhulumu CUF haki yao damu zitamwagika bure
K kingwipa1 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2008 Posts 334 Reaction score 51 Nov 1, 2010 #8 Mfa maji haishi kutapatapa.... naona wanahangaika kutaka kuiokoa ccm ambayo wameichimbia kaburi wenyewe
Mfa maji haishi kutapatapa.... naona wanahangaika kutaka kuiokoa ccm ambayo wameichimbia kaburi wenyewe
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Nov 1, 2010 #9 Mwinyi ndio maana walimnasa kibao..mzee mnafiki sana yule.
Nyunyu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2009 Posts 4,354 Reaction score 1,010 Nov 1, 2010 #10 Wao waheshimu sauti za wananchi, na si mslahi yao!!! Chupi hazitoshi eeh!!!
mooduke JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 630 Reaction score 112 Nov 1, 2010 #11 kwa nini matokeo yanacheleweshwa kutolewa wanataka leta vurugu jamani