Mahmoud Shariff Qaasim
JF-Expert Member
- Nov 3, 2007
- 923
- 267
Ninakumbuka Marehemu Mwalimu J.K. Nyerere ndiye alileta msamiati wa neno "hodhi" (monopoly), "kuhodhi" (monopolization). Lakini pia baadhi ya maneno aliyatoa kwenye kizanaki kwa mfani neno Mkurugenzi (Director).
Tuendelee kujadili..............
sio kizanaki tu, yapo maneno kayatoa hata katika lugha zingine Mfano BUNGE amelitoa toka kibarbaig BUNG'EED/BUNG'EDA likimaanisha mkutano wa viongozi wa kijamii wakiwakilisha watu wao.
ukoje hiyo.