mimi hili linanitatiza, labda wenzangu mnalo jibu..wapo wanaosema kuwa rais mstaafu ni raia wa msumbiji na wala si mtanzania, eti aliingia kule kusini akiwa na umri wa miaka mitano wakati huo na baba yake.wapo wanaoangalia matendo yake na kuona ni ya ajabu ajabu.Kama tunakumbuka Mtikila kipindi kile alishawahi kusema kuwa bwana huyu si raia..tafadhali wale wenye kumbukumbu na ushaidi mzuri mtupatie.

We NNaigwe we haya ya Che Nkappa kwamba ni raia wa nchumbiji umeyatoa wapi tena? mwache baba wa watu ajipumzikie,umechikiya? ukiendelea kufatilia uraia wake ntakuchoma nchale ukikwepa nakupiga achumani,umechikiya? kwanja weye uraia wako wa wapi,mbona njina yako kama ya.......................?
mkuu salute!so what? So are schwzzeneger and murdoch ruppert are austrians, so as mtikila is south african, so is abeid karume is an arab. Lazima tuache upuuzi ili tuwe watanzania.
So what? So are Schwzzeneger and Murdoch Ruppert are Austrians, so as Mtikila is South African, So is Abeid Karume is an Arab. Lazima tuache upuuzi ili tuwe watanzania.
Austria[/SIZE] Australia[/SIZE].
Mtajiju ambao hamkucheza ule mchezo wa kutafuta sehemu kwenye atlas.