Mkapa ni mtu wa Msumbiji??

Mkitaka kutafuta asili ya Mtanzania halisi zaidi ya 70% watakuwa watu wa kuja.
 
Mi hapa chichemi mwicho watachema anakula na wale wanyama wale we umesahau!!
 

So what?
 
Sina lengo baya la kutaka kujua asili ya huyu bwana!hii inatokana na kumshangaa kulikopitiliza kwa maovu aliyoyafanya hasa yale ya kuruhusu biashara ya silaha- kama tulivyoisoma ripoti ya meremete na mambo mengine mengi ya kutia aibu.
wapo wengi waliotolewa mifano ya nyerere kuwa mtusi au obama kuwa mkenya lakini mimi nawakumbusha hawa watu hawakutoka hizo nchi zao asilia wakiwa wazima'yaani wameshazaliwa, it either mababu zao ndiyo walikuwa wazaliwa wa nchi husika na wao kufanyiwa featuring na mmoja wa wazazi.kwa mfano nyerere ni mababu zake ndiyo wana uasilia na tabia za kitusi na si nyerere aliyekwishafanyiwa featuring.
yote ni kujaribu kuonyesha kuwa kama mkapa angekuwa featuring asingekuwa mtemi, asiye shaurika fisadi wa hali yajuu..kwa asili watanzania ni waoga wa kumwangamiza mtanzania mwenzake kweupe..am telling u pale tulichemsha
 
Huyo shetani alimnyan'ganya Ulimwengu uraia wakati yeye ni wakuja tu.
 
Wewe unaehoji wapi watu wametokea umelifanyia ni la maana taifa hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…