To appreciate someone else sio dhambi.The whole Economic,Social &Political system ni copy kutoka kwa mzingu,Hamna mtawala wa kiafrika aliyeleta mfumo wake.
Huwa nashangaa ati wanamsifu Mkapa kwa kuanzisha TRA,NHIF,na taasisi nyinginezo-upumbavu mtupu.
du- umeenda mbali zaidi- kwa hiyo hujisifu kwa kuwa wa kwanza kwenu kuwa member wa JF?The whole Economic,Social &Political system ni copy kutoka kwa mzingu,Hamna mtawala wa kiafrika aliyeleta mfumo wake.
Huwa nashangaa ati wanamsifu Mkapa kwa kuanzisha TRA,NHIF,na taasisi nyinginezo-upumbavu mtupu.
Jana kwandikwa ametamkwa kuwa alikuwa mwema sana.Hatuna hata bunge, achilia mbali mbunge mmoja.
Tuna genge la kahawa pale mjengoni likiongozwa na Job Ndugai.
Atoke wapiAnother way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his Igunga constituency. For the small sum of TZS 10.000, a family with four children could be insured for a whole year. (Mkapa, 2019:164)
Tuna mbunge mwingine wa mfano wa Rostam Azziz?
Roho mbaya! MUNGU mwenyewe anawapenda wema ingawa mema yote wameiga kwa wengineThe whole Economic, Social & Political system ni copy kutoka kwa mzungu, hakuna mtawala wa Kiafrika aliyeleta mfumo wake.
Huwa nashangaa ati wanamsifu Mkapa kwa kuanzisha TRA, NHIF na taasisi nyinginezo-upumbavu mtupu.
Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his Igunga constituency. For the small sum of TZS 10.000, a family with four children could be insured for a whole year. (Mkapa, 2019:164)
Tuna mbunge mwingine wa mfano wa Rostam Azziz?
Kwa vile Kibwetele Mbowe hayumo siyo-ambaye hakufanya chochote ujombani kwao Hai maana yeye tunajua ni wa MalawiHatuna hata bunge, achilia mbali mbunge mmoja.
Tuna genge la kahawa pale mjengoni likiongozwa na Job Ndugai.
dumarehem alipenda sana matajiri
Unamaanisha Mudi?Duh...
Huyo ndio Tajiri mwenye akili kuliko yule