MKAPA: Watanzania wamekuwa watu wa kudai kuhudumiwa zaidi kuliko kujitahidi kijitegemea

MKAPA: Watanzania wamekuwa watu wa kudai kuhudumiwa zaidi kuliko kujitahidi kijitegemea

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Kwenye kitabu chake ukurusa wa 157-158 Mkapa anaandika:-

Development dignity requires self- worth, that take on responsibility for your own development as much as possible. Yet during my second term in office, it seemed people were becoming more demanding and less willing to help themselves... Unfortunately, this attitude is fed during political campaign when politician say I will do this or give this to you if you elect me.

Swali langu: unaondokanaje na changamoto hii?
 
TUJITEGEMEE
====
Hawataki kutengeneza chanjo za maradhi yanayotusumbua kwa kujitegemea huku tukitumia wataalamu wetu. Sababu hawatoi!
 
Alikuwa analipwa kwa matakwa yake binafsi au kwa mujibu wa sheria?

"Akili ndogo hujadili watu,akili ya Kati hujadili matukio na akili kubwa hujadili hoja"

Hata mikutano ya kisiasa iko kisheria, mbona inazuiwa? Au sheria zinazotekelezwa ni zile zinaziwafurahisha viongozi? Akili kubwa unakwama wapi?
 
Yeye amejiuzia migodi ya uma na nyumba za serikali na viwanda vya uma kajiuzia kwa bei za boda boda halafu bado anatuponda
 
Back
Top Bottom