MKAPA: Watanzania wamekuwa watu wa kudai kuhudumiwa zaidi kuliko kujitahidi kijitegemea

Kwenye kitabu chake ukurusa wa 157-158 Mkapa anaandika:-

Development dignity requires self- worth, that take on responsibility for your own development as much as possible. Yet during my second term in office, it seemed people were becoming more demanding and less willing to help themselves... Unfortunately, this attitude is fed during political campaign when politician say I will do this or give this to you if you elect me.

Swali langu: unaondokanaje na changamoto hii?

hili ndo tatizo kubwa kwenye hii nchi, self reliance! nlishaandikaga makala kuhusu self reliance mda kidogo nkaona hamna wasomaji but ndo ukwel wetu huu
 
Self reliance haiwezi kueleweka kama inahubiriwa na majizi kama mkapa. Unaiba mali za wananchi halafu unawaambia wao wajitegemee?! Mbaya zaidi majambazi haya siku za ibada unayakuta viti vya mbele!
 
hili ndo tatizo kubwa kwenye hii nchi, self reliance! nlishaandikaga makala kuhusu self reliance mda kidogo nkaona hamna wasomaji but ndo ukwel wetu huu
Katupatia kweli kweli
 
Kwenye kitabu chake ukurusa wa 157-158 Mkapa anaandika:-

Development dignity requires self- worth, that take on responsibility for your own development as much as possible. Yet during my second term in office, it seemed people were becoming more demanding and less willing to help themselves... Unfortunately, this attitude is fed during political campaign when politician say I will do this or give this to you if you elect me.

Swali langu: unaondokanaje na changamoto hii?
Viongozi lazima walete dira,Ili wananchi wajue wapitie njia gani kujikwamua,
Mwananchi wa kawaida hawezi out of blue,ajipatie Elimu Bora,lishe Bora,afya Bora,kwanza lazima sera na miongozo iwekwe na viongozi,kama yeye Mkapa aliona ni bora kununua Rada ya jeshi kuriko kujenga viwanda,viongozi wetu wanaona ni bora uwe na wabunge 365!wanaolipwa 12M kila mwezi,lakini huna madawati ya watoto wa shule,
Hawa viongozi wote wanaosema wananchi wajitegemee kwa kila kitu,ingekuwa si sera ya Baba wa Taifa kuwasomesha Bure,wangefika hapo walipo?
Bila Mwalimu viongozi wote wenye 65+wasingepata Elimu,wamefikachapo kwa msaada wa serikali,lakini wao wanataka mzazi anayeishi kwa biku 2 Kila siku,asomeshe mtoto mpaka chuo kikuu!!!
 
Unawasimanga? Mkapa kasema alikuwa analipa ada yake ya shule
 
Alipooa hakuchangiwa kama wewe ulipoelewa.

nasikia jogoo alikuwa apandi mtungi ndo mana hakuchangiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hili ndo tatizo kubwa kwenye hii nchi, self reliance! nlishaandikaga makala kuhusu self reliance mda kidogo nkaona hamna wasomaji but ndo ukwel wetu huu
Hawa viongozi wanapokuwa wanaiba mali ya umma,kama huyo Mkapa alipoiba mgodi wa makaa ya mawe kiwira hiyo ndio ilikuwa "self reliance" anafanya?
Viongozi wanaiba mali ya umma,wananchi wanaambiwa wajitegemee?!!unafiki. Mtupu,mkapa na viongozi wengi wa Afrika hawana "moral authority ya kutufundisha kitu maana walikuwa majizi matupu.
 
Ila wewe uliyeiba mtihani kwa kutazimia una moral upright? USIHUKUMU
 
Hata mikutano ya kisiasa iko kisheria, mbona inazuiwa? Au sheria zinazotekelezwa ni zile zinaziwafurahisha viongozi? Akili kubwa unakwama wapi?
Kwani mleta uzi umeona amezungumzia mikutano ya kisiasa? Una kwama wapi na wewe mkuu?
 
Hawa viongozi wanapokuwa wanaiba mali ya umma,kama huyo Mkapa alipoiba mgodi wa makaa ya mawe kiwira hiyo ndio ilikuwa "self reliance" anafanya?
Viongozi wanaiba mali ya umma,wananchi wanaambiwa wajitegemee?!!unafiki. Mtupu,mkapa na viongozi wengi wa Afrika hawana "moral authority ya kutufundisha kitu maana walikuwa majizi matupu.
sasa mkapa kuiba makaa ya mawe ndo kisababishi chako kua na hali duni?
 
Amezungumzia utii wa sheria, nikamuonyesha double standard iliyo kwenye hizo sheria.
Mkuu ndo mfumo wa utawala wetu, wazee pia wangekuwa wanaishi maisha magumu kungekuja kundi la watu wangelalamila serikali haijali wastafu
 
Jizi kubwa lilikuwa... bora nyuzi kama hizi msiwe mnaleta maana tukifunguka tutaonekana tunamsema Marehemu... ni mmoja wa viongozi wenye roho za kishetani kutawala Taifa hili...
 
Mkuu ndo mfumo wa utawala wetu, wazee pia wangekuwa wanaishi maisha magumu kungekuja kundi la watu wangelalamila serikali haijali wastafu
Hakuna mtu angelalamika hasa kwa watu waliofanikiwa kuchuma kiasi kikubwa cha fedha wakiwa madarakani. Kama Mwinyi anaendelea kulipwa mpaka afe ili iwe nini wakati watoto wake ni watu wazima, mwingine rais baada ya kuwa waziri kwa muda mrefu, na mwingine ni waziri. JK mke ni mbunge na mtoto, anaendelea kulipwa ili iweje wakati watoto wanakaa chini huko mashuleni?
 
Mkuu kinacho tekelezwa nikwa majibu wa sheria licha kwamba Kuna kuwa na ukiritimba kwenye baadhi ya sheria.
 
Narudia tena, sheria nyingi zinazotekelezwa ni zile zisizowabana watawala. Zile zinaziwabeba zinatekelezwa haraka sana. Ila zile zinazowalinda mahasimu wao havitekelezwi ipasavyo, na mara nyingi havitekelezwi kabisa.
 
Mbongo unamlalamikia mwanasiasa eti maisha yamekuwa magumu pesa hakuna mifukoni, anamlaumu mbunge kuwa yeye anakula mlo mmoja kwa siku, hizi ni fikra za kimasikini na za kizamani kazi ya serikali kutoa huduma muhimu kama elimu ambapo inatolewa bure, huduma za afya, ujenzi wa barabara,usambazaji umeme na maji sasa kama vyote hivyo serikali imefanya na inazidi kufanya unataka upewe na hela badala ya kufanya kazi kwa bidii huko vijijini ardhi ipo mahekari na mhekari haijawahi kulimwa we unajidai wa mjini upo DSM unalala mitaroni kila kukicha kazi lawama tu.
 
Back
Top Bottom