We ulipoolewa ulichangiwa mtoto mzuri?Alipooa hakuchangiwa kama wewe ulipoelewa.
Tunaongelea maendeleo-sijui kama unaelewa?
Alikuwa analipwa kwa matakwa yake binafsi au kwa mujibu wa sheria?Yeye mwenyewe aliendelea kulipwa hadi anakufa. Yeye hakuwa mtu sahihi kuongea hayo maana alikuwa ni sehemu ya wategemea serekali zaidi.
Asante mkuu maana viumbe wengine ni shidaaa- tuna kizazi cha mipasho - kizazi cha Haji ManaraAlikuwa analipwa kwa matakwa yake binafsi au kwa mujibu wa sheria?
"Akili ndogo hujadili watu,akili ya Kati hujadili matukio na akili kubwa hujadili hoja"
Tunahitaji elimu ya philosophy mkuu kujenga watu makini.Asante mkuu maana viumbe wengine ni shidaaa- tuna kizazi cha mipasho - kizazi cha Haji Manara
Unaondokanaje ama tunaondokanaje!?Swali langu: unaondokanaje na changamoto hii?
Alikuwa analipwa kwa matakwa yake binafsi au kwa mujibu wa sheria?
"Akili ndogo hujadili watu,akili ya Kati hujadili matukio na akili kubwa hujadili hoja"
Huyo akili yake kubwa Ni Kama ya Kabudi mzee wa apple punch from Madagascar.Hata mikutano ya kisiasa iko kisheria, mbona inazuiwa? Au sheria zinazotekelezwa ni zile zinaziwafurahisha viongozi? Akili kubwa unakwama wapi?