Mpangwa,ndiyo kipindi chake ilikuwa na mafinikio
ndiyo kipindi chake ilikuwa na mafinikio
sasa tanzania tunaweza?
Kamanda! Data zipo chungu nzima sema tu hutaki kuziona.wekeni data za mafanikio yake...
Kamanda! Data zipo chungu nzima sema tu hutaki kuziona.
Ladi mkuu, sisi sote ni wana CCM, lakini hii yako imepitwa na wakati.
Inaitwa parroting, kasuku.
Hii mwachie Komba, he is paid for that.Kama na wewe unalipwa kwa hilo ,fine.
Ukumbi huu weka argument na mantiki ya argument hiyo, full stop.
Bwana mdogo kuona ni kuamini, hebu niPM ili tupange wasaa na mahali nikuonyeshe!!Kama kweli wewe ni mwana CCM, naomba utuandikie namba ya kadi yako na ilitolewa mwaka gani?