tatizo ni aliyemrithi anayetuhumiwa ku join hand na mengi kupitia magazeti yao kumdharirisha na kuipa kisogo legacy yake kwa kila linalowezekana na kusifia kila jambo la awamu hii as if bwm alikuwa angel michael /gabriel na akiwaongoza wale saints waliodondoshwa tanzania!!!!!!!kuna mazuri mkapa kafanya, makosa ni sehemuya uongozi.
Hebu niambien huyu tulie nae nini cha maana kinaonekana amefanya?!
Hata yeye akitoka mtaponda tu. Wengine humu hata mambo ya familia zenu yanawashinda kazi kunyooshea vidole wengine.
Hata msemeje mkapa ndo kafanya mengi mazuri na nchi imepata heshima.
Kimya!!!
Dr ana maamuzi gani mazito ya kumnyooshea kidole? Truth be told....nafsi inamuuma sana, reputation zero kabisa, akimwangalia mwenzie SHAIN alikaa nae kama makamu na sasa yupo na Mkwere lakini hana kashfa hata kidogo,
atoke hapa! Angefanya kazi yake mambo mengine wala yasingefika hapa. Anataka tumsifie kwa uwanja wa mpira?
Kwani dogo hilo?
MFDuh! Mkuu I can tell you are a CCM supporter. I am also a fan of CCM although the party has irritated me after all the current scandals. Lakini ushabiki pembeni wewe una fikiri kweli uwanja wa mpira ni big deal? Kwa hiyo mtu awe raisi miaka kumi kwako utaona uraisi wake ulikuwa na mafanikio kwa uwanja mmoja wa mpira? You can't be serious mkuu na sidhani uwanja wa mpira una justify ujinga mwingine ulio fanyika chini ya uongozi wake.
Kama isingekuwa tamaa (bila shaka kutokana na kuwa na washauri wabovu), huyu jamaa alifanya mambo mazuri mengi kwa maendeleo ya nchi. Mpaka sasa sielewi kwa nini alikubali kununuliwa na makaburu walioitwaa NBC yetu. Sijui ilikuwaje pia akapata kichaa cha kutumia vibaya madaraka yake na kununua Kiwira. Ukiondoa dosari hizo na kiburi chake cha Kimachinga, alifanya vizuri.
rejea siku aliporejea saint joseph cathedral aliposoma misa yake ya shukrani kwa mungu mkuu.- kumbe anamjua mungu? Makubwa haya.
fmes!
Ana mengi ya kusifiwa si uwanja wa mpira tuuu...
Makosa pia kiuongozi anayoo ila mfumo huchochea kwa kiasi kikubwa kuyafanyaa..Anayakubali makosa ila ajadiliwe kwa haki pia.
Ulikuwa ni uongozi wa pamoja ambao mafanikio ya awamu yake yametumika sana kuhalalisha awamu iliyopooo...
Kumjadili Mkapa bado hakuisadiii jamii zaidi ya kunufaisha waliopo kuendeleaa kuwepo madarakani..Hata kampeni za kumchafua ni mikakati kwa masilahi binafsi.
Jamani wakuu kuna useme wa wahenga unasema myonge mnyogeni lakini haki yake mpeni,Mh.Rais wa awamu ya tatu amefanya mengi mazuri na ya kuleta tija na maemdeleo kwa wanachi na taifa letu la tanzania kwa ujumla.
Tabia ya sisi viumbe binandamu tunaangalia sana upande mmoja wa maisha ya mwanandamu hasa upande mbaya,na ubaya unaenea haraka kuliko wema hii ndiyo hulka ya wanadamu tangu enzi hizo.
mimi binafsi pamoja na mambo yote yanayoemwa kuhsu rais mstaafu wa awamu ya tatu bado nakubali utendaji kazi wake uliyotukuka kwa maslahi ya nchi yetu changa ya Tanzania
Du shemeji tena? Mkuu Ben na admire sana kazi aliyofanya Ben. No doubt ni kiongozi bora aliyewahi kutokea kwenye "modern" Tanzania. Kuna kila evidence ya kufanya vizuri kwenye karibu kila litu alichofanya wakati wa urais wake, lakini hii haina maana tukae kimya kwa kitendo chake cha kututosa kwenye mdomo wa Simba, am sure alikuwa anajua wazi kabisa kuwa nchi inachukuliwa na kina nani na inakwenda kwa kina nani, hakuonesha effort yoyote ya kutusaidia.
Even worse alitudanganya kuwa atahakikisha kuwa tunapata rais mzuri, look at what he has done to us.
Ana mengi ya kusifiwa si uwanja wa mpira tuuu...
Makosa pia kiuongozi anayoo ila mfumo huchochea kwa kiasi kikubwa kuyafanyaa..Anayakubali makosa ila ajadiliwe kwa haki pia.
Ulikuwa ni uongozi wa pamoja ambao mafanikio ya awamu yake yametumika sana kuhalalisha awamu iliyopooo...
Kumjadili Mkapa bado hakuisadiii jamii zaidi ya kunufaisha waliopo kuendeleaa kuwepo madarakani..Hata kampeni za kumchafua ni mikakati kwa masilahi binafsi.
Nimekuja kugundua kila mtu ana maana tofauti anavyo refer Neno Mungu. Kwa wengine ni yule mungu wanayemsujudia makanisani na misikitini, wengine ni vitu kama mawe, miti etc na wengine ni yule wanayemuita supreme being ambaye kwao suala kubwa ni kujenga eternal mansion on high(Climbing the pyramid).Alisema lakini yeye (Mkapa) katika siku za karibuni, hajawahi kusemwa kwa mazuri wala kusifiwa lakini yote anamwachia Mungu.
Kumjadili Mkapa bado hakuisadiii jamii zaidi ya kunufaisha waliopo kuendeleaa kuwepo madarakani..Hata kampeni za kumchafua ni mikakati kwa masilahi binafsi.
Na hilo ndio suala la msingi jinsi ninavyoona. Aseme ukweli kiungwana mambo yaishe.Tena kwa kufanya hivyo tunaweza kuwa na mwanzo mpya maana sasa hivi tumesahau agenda za maendelea tumezama kuhakikisha yale wanayoyafukia kwa lazima bila ustaarabu yanaendelea kuonekana bado yako vile vile.Jamani Mkapa leo ni mnyonge, myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mkapa pamoja na kufanya makosa mengi ambayo inaelekea "alijisahau", kuna mengi vilevile aliyafanya mazuri kabisa.
Kosa kubwa la Mkapa ni kuingia tamaa,watu wanaomfahafu vizuri wanashindwa kueleza ibilisi huyu katoka wapi, maana Benjamin hakuwa na unyonge huo.
Kati ya makubwa yaliyofanyika na yatendelea kuliendeleza Taifa hili ni Restructuring ya Ukusanyaji kodi na kuanzisha TRA.Tusisahau kuwa Idara ya Kodi na Mapato wakati huo ilikuwa inakusanya around 15-25bil kwa mwezi.TRA ilipoingia ikaanza kukusanya over 150bil hadi 200bil.Haya si mambo madogo.Kabla ya mabadiliko haya wafanyakazi serikalini walikuwa wanyonge kwa mishahara midogo leo suti na mashangingi kila kona.
Vile vile mafanikio makubwa ya Mkapa ni kule kuRestructure Idara ya ujenzi wa Barabara na kuanzisha TANROADS.Miaka ya kabla ya hapo ilikuwa haingii akilini hata kwa viongozi wakuu kuwa ujenzi wa barabara ni lazima ufanywe na makampuni ya nje na kwa hela za nje.
Leo kwa hela zetu ni kawaida naimeingia akilini kuwa tunaweza kujenga barabara zetu kwa HELA ZETU WENYEWE. Haya ni mabadiliko makubwa katika fikra za watanzania na kiutendaji.
Pamoja na mafanikio haya namhurumia sana Mzee Mkapa maana katika awamu yake kukaingia CONSPICUOUS MORAL DECAY AND CONSUMPTION katika uendeshaji wa Serikali na hata Chama.
Sasa hivi si wakati wa kulia lia, Watanzania ni waelewa na wengi wanahuruma.Kuomba radhi wananchi bado liko katika uwezo wa Mkapa. Akifanya hivyo pengine atarudisha heshima yake na kusaidia kuendeleza yale mazuri mengi aliyoyajenga.