Ben awe jasiri tu badala ya kumuachia Mungu amuhukumu aseme tu wampeleke mbele ya mahakama na huko ndio aweze kujisafisha mbele ya watanzania wote ama sivyo atakufa kihoro!!
Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Rais mstaafu Benjamin Mkapa, amesema yote yanayosemwa juu yake, anamwachia Mungu.
Watanzania wanadai kwanza sheria zifanye kazi alafu, ndio uanze ibada zako. Eti kungekuweko kwa Mungu leo hii we ungekua somewhere in Lupango.
Unfortunately he hasnt proven his existence leo hii unapeta na kujitetea kwa jina lake.
Duh! Mkuu I can tell you are a CCM supporter. I am also a fan of CCM although the party has irritated me after all the current scandals. Lakini ushabiki pembeni wewe una fikiri kweli uwanja wa mpira ni big deal? Kwa hiyo mtu awe raisi miaka kumi kwako utaona uraisi wake ulikuwa na mafanikio kwa uwanja mmoja wa mpira? You can't be serious mkuu na sidhani uwanja wa mpira una justify ujinga mwingine ulio fanyika chini ya uongozi wake.
Mara ngapi? Au ni kwa vile aliliomba taifa msamaha kwa maneno mazito sana kuhusiana na pale alipoteleza katika kipindi chake cha uongozi wa nchi. Mapema January 2006 alirudia tena kanisani Saint Joseph siku alipoomba misa ya kumshukuru Mungu kwa kumvusha salama katika madaraka aliyokuwa nayo.Na hilo ndio suala la msingi jinsi ninavyoona. Aseme ukweli kiungwana mambo yaishe.Tena kwa kufanya hivyo tunaweza kuwa na mwanzo mpya maana sasa hivi tumesahau agenda za maendelea tumezama kuhakikisha yale wanayoyafukia kwa lazima bila ustaarabu yanaendelea kuonekana bado yako vile vile.
Wote tunakosea. Na hawa wazee wengi ambao leo wamejikuta katika kashfa hizi na zile pia na wao waamue kuwa wanyenyekevu na kukubali makosa ya kiutendaji yaliyotokea ili tuanze upya.
Tatizo ni ego zao bwana.Wanajiamini kweli hata kama wanaonekana vituko kila wanakopita.
Na watanzania tusisahau pia kama anavyosema Lole kuwa yapo mengi mazuri mtu kama BWM ameyafanya. Dawa sio kulia chini chini. Ajivike ujasiri wa kusema sorry
Watanzania rais tunaemtaka yupo dunia hii?, na je anaweza tokea?
Kama hamumpeleki Mahakamani mnataka ajipeleke katika zama ambazo yeye keshazipita ? Kama kuna tuhuma ziende mahakamani, hao watamrejesha katika udunia ili ajibizane kidunia zaidi.
Mungu Ibariki Tanzania
Sasa kama hata katiba yenyewe hatuiwezi yanini makelele haya?????kaka mimi nafikiri katiba ya Tanzania unaijua na umewahi kuisoma, Mkapa mpaka sasa ana kinga na hawezi kushitakiwa mpaka hapo kinga yake itakapoenguliwa kama kutakuwa na any constitutional amendment, na ndo maana akina Dr. Slaa waliliomba Bunge la jamhuri limtolee kinga bwana Ben ili aweze kushitakiwa, sasa kutokana na tabia ya kulindana kuwa je yakinifika mimi itakuwaje ndo maana mpaka sasa Ben yupo mtaani, lakini angekuwa nchi zingine sasa ingekuwa Historia kuwa alikuwepo Bwana Ben na sasa yupo Lupango, kaka tuombe haya mambo yasibadilike wakati bado wapo, lakini ikitokea hayo mambo yakatolewa am telling you Ben na huyu predeccessor wake tutakuja kuwashitaki tu, labda wawe wamekufa.
Rom
Duh! Mkuu I can tell you are a CCM supporter. I am also a fan of CCM although the party has irritated me after all the current scandals. Lakini ushabiki pembeni wewe una fikiri kweli uwanja wa mpira ni big deal? Kwa hiyo mtu awe raisi miaka kumi kwako utaona uraisi wake ulikuwa na mafanikio kwa uwanja mmoja wa mpira? You can't be serious mkuu na sidhani uwanja wa mpira una justify ujinga mwingine ulio fanyika chini ya uongozi wake.
Ila katika kipindi chake Tanzania imebadilika kiuchumi...HILO HALINA UBISHI.Uchumi na science pamoja na technology vimekua.
Mhh, Sidhani kama issue ni kutaka kupata breaking news. Huyu jamaa watu wana vitu specific wanavyoona inastahili kupata maelezo yake na sio maswala ya jumla jumla kama unavyodai alifanya.Mara ngapi? Au ni kwa vile aliliomba taifa msamaha kwa maneno mazito sana kuhusiana na pale alipoteleza katika kipindi chake cha uongozi wa nchi. Mapema January 2006 alirudia tena kanisani Saint Joseph siku alipoomba misa ya kumshukuru Mungu kwa kumvusha salama katika madaraka aliyokuwa nayo.
Nakupa sehemu ambazo utapata ujumbe mzito kwa WaTZ toka kwa Rais, Nenda kwenye hotuba yake Mwisho akiwa mkuu wa nchi hii alipokuwa anaaga na kututakia kila heri katika awamu ya nne, waliomsikiliza Mkapa siku wanajua haya lakini sasa ni kama wanapata kuuona ukweli wa yote.
Tatizo ninaloliona ni timing yake imeendelea kuwasumbua watu wengi humu jamvini, media na baadhi ya wakuru. Wao walipenda wa break news then aombe msamaha nafasi ambayo Mkapa hakuwapatia hata sekunde, baada ya hapo tukaanza kuwasikia akina lowasa wakisema tatizo la umeme ni la awamu ya tatu na siyo wao walioleta mgao, mara Mengi yuko katika misafara ya JK na JK akimsifia kuwa ni mtu wa kupigiwa mfano ghafla KULIKONI, This Day na kadharika, Kubenea ..........mara wahindi online mara Kiwira na mengineyo.
Mara Butiku naye yumo........
Yeye ameishi maisha yake ya Kidunia vya kutosha kwahiyo siyo ajabu sasa kujiangalia mbele ya Mungu zaidi hususani unapopata fursa hiyo.
Kama hamumpeleki Mahakamani mnataka ajipeleke katika zama ambazo yeye keshazipita ? Kama kuna tuhuma ziende mahakamani, hao watamrejesha katika udunia ili ajibizane kidunia zaidi.
Mungu Ibariki Tanzania
Nakubaliana na wewe kabisa, ndo maana me sifwatilii data za TO na IMF, huwa naangalia real situation ya wa Tanzania. leo mfuko wa cement unalipa kiasi gani na wakati ule unalipa kiasi gani?, bei ya vyakula je?vipi tiba mahospitalini?.Ukiangalia hivyo vitu wiyhin four years vimepanda zaidi ya asilimia 200, tafteni nchi gani ukiondoa Zimbabwe kuna hali ya inflation kubwa kama kwetu, ukiona hivyo ujue kuna tatizo katika serikali hii. Mzee Ben alijitahidi....Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, pamoja na kuibuliwa kwa uchafu wakati wa utawala wake ukweli unabaki pale pale mengi mazuri.
Wakati anaondoka madarakani bundle moja ya bati tulinunua 87,000/= lakini ilipofioka January 2008 ilishafika 280,000/=, nauli za daladala zilisimama kwa miaka yake yote ya utawala katika 100/=; haya ndiyo mambo sisi watu wa kawaida tunayoyaangalia;
Wakati wa Mkapa tulikuwa tuki budget, leo hii haiwezekani, tumebaki kuishi kwa matumaini tu.
Sio sahihi kabisa kumbeza mzee huyu kwamba hajafanya kitu, hapana amefanya makubwa kuliko hayo mabaya.
Kwanza mikataba ya madini ilianzia kwake, tuwe wakweli, IPTL nani alikuwa waziri wa madini na nishati na nani alikuwa rais!!!!
Mwacheni mzee wa watu apumzike.