Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Wote wanaombeza Mkapa ni maadui wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
................kama wewe ulivyo adui wa watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wanaombeza Mkapa ni maadui wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wote wanaombeza Mkapa ni maadui wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
................kama wewe ulivyo adui wa watanzania
Hili la kwako ni Chuki Binafsi uliyonayo baada ya yeye kutokupa Uongozi kipindi chake.
Miafrika ndivyo ilivyo siku zote itasifia hata vitu visivyostahili kusifiwa. Mkapa angekuwa kwenye dunia ya kwanza, zamani angeshaburuzwa mahakamani kwa ufisadi wake na labda angekuwa ameshafilisiwa na ili kulipa deni lake kubwa kwa Taifa lakini kwenye hii nchi ya kichwa cha mwendawazimu bado wengi wanamuona Mkapa ni shujaa!!! Wacha Tanzania ibaki nyuma kimaendeleo. Kweli Miafrika ndivyo ilivyo kama alivyojisemea Julius.
Nakubaliana 100% nawewe mkuu katika hili.Mkapa bashing, if this is what it is -I see it more as truth telling and setting the record straight- is quite a necessary step for several reasons.
In order to build successive and sustainable governance, we need to realize our past mistakes and address them squarely.This will not only give us perspective, but we need to do so in order to set precedents, precedents need records.Hata kama hatuwezi kumfunga (debatable,ile presidential immunity ina apply kwenye official presidential business, kwa hiyo hawezi kushitakiwa kwa mauaji ya January 27 kwa sababu alisaini kama Ben W. Mkapa, president of Tanzania, na ananweza kushitakiwa kwa uporaji wa Kiwira kwa sababu alisign kama ben W. Mkapa, mtu binafsi) but let's say the practicality of the situation says he will never see a trial, you always have the trial of public opinion, which is where JF comes to play. Yeye ana nafasi kubwa ya kuita press conference na kujitetea, lakini kaamua kusema anamwachia mungu, which is typical of mafisadi na mafarisayo wanaotaka kujionyesha wacha mungu kuliko walivyo.
Kumsema Mkapa na mafisadi wenzake si vizuri na haki tu, ni wajibu.
Na wewe ndivyo ulivyo na Chuki zako binafsi kwa Mkapa na wale waliokunyima uongozi kipindi chake. Wewe ulie tu.
ukistaajabu ya mussa! Kweli utaona ya firauni!. Kwa hiyo kwa akili yako wewe yeyote yule anayemsema mkapa na yale mabaya aliyoyafanya akiwa ikulu basi alinyimwa uongozi na huyo fisadi wa tanzania!!!! Ha ha ha ha...lol! Na wewe unayempigia debe ulipewa nafasi ya uongizi ndiyo maana unampigia debe!!!! Kigumu chama cha mafisadi! Kigumu!
kidumu chama cha mapinduzi
kidumu chama tawala hadi miisho ya nyakati.
LOL! Kwa akilia yako fupi unadhani kila mtu anataka kufanya kazi serikalini!!!...LOL! wewe ndiyo bado kweli adui mkubwa wa Watanzania!
YAY! Chama cha Mafisadi ndiyo Baba ndiyo Mama....Kazi kweli kweli!!
Uzuri wenyewe hao mnaowasema kwamba ni mafisadi, wala hawakosi usingizi kwa maneno haya.
LOL! Kwa akilia yako fupi unadhani kila mtu anataka kufanya kazi serikalini!!!...LOL! wewe ndiyo bado kweli adui mkubwa wa Watanzania!
Nambari Wani ni CCM
Hakuna kingine, angalieni mnavyosambaratika kwenye vyama vyenu
Hebu elezea kuhusu ufupi na urefu wa akili?
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Kidumu Chama Tawala hadi miisho ya Nyakati
CCM ni Nambari Wani.
Yeah! Nambari one wa nini mbona husemi!?😉 ngoja nikukumbushe kama umesahau. Ni nambari one kwa ufisadi. Vyama vyenu na akina nani!? Wewe unadhani kila anayeandika hapa lazima awe ni mwanachama wa chama cha siasa Tanzania!? Wengine tunaipenda tu nchi yetu kwa mapenzi ya kweli na tunapopigania maslahi ya nchi yetu hatufanyi hivyo eti kwa sababu ni wanachama wa chama fulani cha siasa Tanzania. Na nyie CCM hamsabaratiki!? Au umesahau kwamba kuna makundi siku hizi ndani ya chama cha mafisadi na wanarushiana maneno ya ajabu ajabu tena hadharani. Kweli ukipenda, chongo utaenda kengeza! Kigumu chama cha mafisadi!
Ungekuwa na "Akili zisizokuwa fupi" usingeliandika unayoandika
Nyerere ni Shujaa wa Tanzania
Mwinyi ni Shujaa wa Tanzania
Mkapa ni Shujaa wa Tanzania
Kikwete ni Shujaa wa Tanzania
CCM Hoyee.
Ndiyo kama hiyo ya kwako ambayo unashindwa kuitumia kama inavyostahili. Kwamba huwezi kuyasema mabaya ya Mkapa ila tu kama alikunyima nafasi ya uongozi, kitu ambacho hakina ukweli wowote ule. Na wale waliomnyima zawadi ya Mo Ibrahim sijui nao aliwanyima nini!