zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Ahsante my swty hubby what a nice food.. Me ntakuja na achari
Sikuli mpaka umefika mylove...ndo ntashiba vizuri.
nijuavyo ratiba yako la lunch... hope now itakuwa unatumia kitu hiki hapa.....enjoy urself!
Laaziz BADILI TABIA, nshaweka oda ya ugali wa muhogo na kisamvu pale break point. Bila wewe sitashiba ukae ukijua.
Tuje tujadili mustakabali wa threesome hii weekend. Si unajua cacico na Yummy hatunao kwa sasa?
Amarula yako na Guinness yangu vitakuwepo kutusindikiza.
Kam zis wei bebiii
My Black woman njoo hapa Naura springs kwaajili ya chakula!
...hahahahahaha..bebii nafanya "diet"kudadeki hali mtu hapa....ni kupiga dash tu....kitambi chote hicho ule ya nini.....utakula tango na ndizi 2 za kuchemsha usiku.....naongea na wewe mtu chake.....