Mkasa katika nyumba ya majini

Mkasa katika nyumba ya majini

Hao ata kwetu wapo mkuu yaan wapo wapo TU hawajui nn mana ya maisha na nn mana ya changamoto ndo mana kwao kila kitu n chai yanawaza kula TU😂😂😂
Mkuu ; nimeisoma lakini dah! Hayo mambo mbona kama yanafikirisha sana? Ni ya kweli? Huku Mikoani hatuyasikii wala kuyaona. Niko interested sana nayo.
 
Mkuu ; nimeisoma lakini dah! Hayo mambo mbona kama yanafikirisha sana? Ni ya kweli? Huku Mikoani hatuyasikii wala kuyaona. Niko interested sana nayo.
Majambo mazito kama hayo hayajakukuta Wala kukusibu basi mshukuru Mungu Kwa Imani Yako,mana Kuna watu wanataabika nayo🙏🏽
 
Back
Top Bottom