Mkasa katika nyumba ya majini

Hao ata kwetu wapo mkuu yaan wapo wapo TU hawajui nn mana ya maisha na nn mana ya changamoto ndo mana kwao kila kitu n chai yanawaza kula TUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu ; nimeisoma lakini dah! Hayo mambo mbona kama yanafikirisha sana? Ni ya kweli? Huku Mikoani hatuyasikii wala kuyaona. Niko interested sana nayo.
 
Mkuu ; nimeisoma lakini dah! Hayo mambo mbona kama yanafikirisha sana? Ni ya kweli? Huku Mikoani hatuyasikii wala kuyaona. Niko interested sana nayo.
Majambo mazito kama hayo hayajakukuta Wala kukusibu basi mshukuru Mungu Kwa Imani Yako,mana Kuna watu wanataabika nayoπŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…