Mkasa: Rafiki yangu alipogeuka Yuda Iskariote

Duh hatari sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu samahani hapo sijaelewa vizuri, kwamba alinunua kufuli akakubadilishia, je funguo ziliingiliana? Kama ziliingiliana kwanini asingefungua tu hadi akabadili kufuli?
Usiumize kichwa mkuu hii ni story ya kutunga tu japo kajitahidi..
 
Me naona uzi huu upewe hili jina " kula tunda kimasihara kulivyo niludishia pc yangu"
 
Mkuu samahani hapo sijaelewa vizuri, kwamba alinunua kufuli akakubadilishia, je funguo ziliingiliana? Kama ziliingiliana kwanini asingefungua tu hadi akabadili kufuli?
Jamaa alinunua kufuli kama ile niliyokua natumia so alinibadilishia hadi funguo kumbuka alikua rafiki yangu. Na hilo alilifanya siku nyingi kabla ya tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…