Bahati mbaya sana.Gagnija,
Bahati mbaya Mwalimu hakuandika historia ya maisha yake.
Gagnija,Bahati mbaya sana.
Alipanga kuanza kuandika kitabu chake baada ya ujenzi wa nyumba yake mpya kukamilika, na mmoja wa watu ambao wangemsaidia alikuwa Prof Haroub Othman.
Kaanza kuugua kabla hawajaianza kazi ukawa ndio mwisho wa kila kitu.
Smart...
Nimejifunza niliyokuwa siyafahamu kwenye huu uzi wako, nashukuru sana. Ni mmoja wa wanaovutiwa na maandiko yako hapa na kule facebook.Smart...
Ahsante ndugu yangu.
Gagnija,Nimejifunza niliyokuwa siyafahamu kwenye huu uzi wako, nashukuru sana. Ni mmoja wa wanaovutiwa na maandiko yako hapa na kule facebook.
Usichoke kutuelimisha, Mungu akutie nguvu tuendelee kuyapata maandiko yako.
Mzee wangu naomba kujuA namna ya kupata kitabu Cha Nyakati na maisha ya Abdul SykesGagnija,
Ahsante sana ndugu yangu.
North...Mzee wangu naomba kujuA namna ya kupata kitabu Cha Nyakati na maisha ya Abdul Sykes
Hizo ni picha mbili tofauti. Ukiangalia jamaa wa mwisho kulia utaona tofauti. Hata huyo ya aliyevaa miwani pembeni ya Kasella Bantu anaonekana ametabasamu kwenye picha moja na nyingine hajatabasamu. Hata ukaaji wa watu una tofauti ndogo ndogo. Inaelekea walipiga picha moja bila Kasella Bantu na nyingine akiwemo.Miongo minne iliyopita...
Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said.
Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu.
Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake.
Nilikuwa nimemueleza mwanae mmoja kuwa nimeandika makala hiyo na yeye akamueleza baba yake.
Ally Sykes akamtuma mwanae aniite nikamuone.
Hii ndiyo siku aliyoniahidi kunionyesha Nyaraka za Sykes.
Katika makala hiyo kuna picha mbili za waasisi wa TANU
Picha moja yumo Kasella Bantu na nyingine hayumo.
Katika ile picha ambayo hayumo ile ndiyo picha yenyewe halisi na katika picha hiyo Ally Sykes, Tewa Said Tewa na Kasella Bantu walikaa pembeni kuhofia wasifukuzwe kazi na serikali kwa kuasisi chama cha siasa.
Kasella Bantu baada ya uhuru akapachika picha yake kati ya Abdulwahid Sykes na Dossa Aziz ili aonekane.
Hapa ndipo lilipoanza tatizo la picha hii ya waasisi.
Katika kitabu cha maisha ya Julius Nyerere kuna maelezo ya picha hii lakini inasikitisha kwani yamekosewa.
Tatizo limezidi kuongezeka.
Huu ndiyo msukosuko wa historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
View attachment 3629845View attachment 3629846
FM,Hizo ni picha mbili tofauti. Ukiangalia jamaa wa mwisho kulia utaona tofauti. Hata huyo ya aliyevaa miwani pembeni ya Kasella Bantu anaonekana ametabasamu kwenye picha moja na nyingine hajatabasamu. Hata ukaaji wa watu una tofauti ndogo ndogo. Inaelekea walipiga picha moja bila Kasella Bantu na nyingine akiwemo.
Amandla...