BAADA YA KUTOKA KWENYE MTIHANI
J5 hiyo mhusika alielekea Benki
Kule alikuta tena Branch Manager (BM) hametoka isispokuwa Kaimu wake
Kuhusiana na swal la fedha zake, Kaimu BM alimshauri mhusika, aandike barua yeye kwanza ili wao benki waweze kupata nafasi ya kuyapitia maelezo yake kwanza; halafu kutokea pale ndiyo sasa waweze kuchukua hatua ya kumsaidia kuzipata fedha zake mil 2.5
Mhusika alifurahi kusikia taarifa hizo na baada ya kurudi ofisini; alianza kutayarisha barua hiyo na hatimaye kufanikiwa kuiwasilisha Benki siku ya J3 ya tarehe 30/09/2024
Baadhi tu ya mambo mengine muhimu ambayo mhusika aliyajumuisha kwenye barua hiyo ni yafuatayo
Barua hiyo iliiandika kwenda kwa BM na nakala yake kutolewa kwa maofisa watatu wafuatao
- Mkuu wa Idara ya mhusika (MWI):
- Hii ilitokana na ukweli kuwa fedha alizopoteza mhusika zilitokana na pato la mshahara wake na hivyo ni muhimu boss wake ofisini awe na taarifa ambazo ni official kuhusiana na muamala uliopelekea fedha za mshara wake kupotea
- Kaimu BM wa Benki
- Huyu ndiye alipata nafasi ya kuongea na mhusika na kumwelekeza mhusika kuandika barua hiyo
- GM wa Benki husika
Mbali na hayo, barua hiyo iliwaomba Benki waziingize fedha hizo kwenye akaunti yake huku iikiwa na viambatanisho vifuatavyo
- SMS za muamala ambao ulipelekea fedha hizo kuingia kwenye akaunti ya AMINA SALIM mwenye namba 0689526164 badala ya kuingia kwenye akaunti ya simu ya mhusika
- SMS nyingine moja kutoka kwa mtu aliyewahi kujitambulisha kwa mhusika kuwa ni mfanyakazi wa Benki
- SMS hiyo ni ile iliyokuwa ikimjulisha mhusika kuwa Benki walishindwa kuzirudisha fedha hizo kwa sababu mwenye akaunti iliyokuwa imezipokea aliwahi kuzichukua
KABLA MHUSIKA HAJAIPELEKEA BARUA HIYO BENKI J3 YA TAREHE 30/09/2024; YALE YA MUHIMU YALIYOJIRI UPANDE WA OFISINI KUHUSINA NA MR X
Kwenye muda wa kama saa 5 hivi umeme ulikatika ofisini na tukio hilo ndiyo lile lililopelekea mhusika kuamua kupeleka barrua Benki muda huo; vinginevyo alikuwa amepanga kuipeleka kesho yake siku ya J4
Kabla ya siku hiyo, kwenye J5 ya mtihani; yaani J5 ile ya wiki iliyokuwa imepita nyuma (tarehe 25/09/2024);
MR X alifanikiwa kuwahi kufika kwenye venue ya mtihani kabla ya mhusika, yaani kule ambako mtihani ulikuwa unafanyikia
Wakati mhusika anaingia huko, akiwa bado yupo kwenye ngazi za kupandisha juu kwa kutokea nje, na wakiwa pampja na OM-2,
MR X aliwa-intercept hapo katikati na kuanza kuongea na mhusika pembeni, akimwacha OM-2 kuendelea na safari
Kwenye maongezi hayo, MR X aliwasilisha case fulani ya maswal ya fedha kwa mhusika ambayo alikuwa anajua kabisa kuwa mhusika asingeweza kuwa na nafasi ya kumsadia
Still, hiyo ilikuwa ni trick tu ya MR X lengo lake likiwa ni kutengeneza ushahid utakaokuja kuonekana baadaye kuwa asubuhi hiyo MR X alionekana akiwa anateta kitu na mhusika, maonhezi ambayo yalikuwa yamekusudiwa OM-2 kuwa shahidi
Ikumbukwe kuwa baada ya mtihani kumalizika, mhusika akiwa anazunguka zunguka ndani ya jengo lililokuwa liko deserted; kule chini ground floor alienda akakutana na mtu
stranger
Wakati anakutana na huyo stranger, mhusika alikuwa ana navigate ndani ya jengo kwa kutumia
ngazi za ndani za jingo na wakati anaingia asubuhi, alipokuwa anaonhea na MR X, alikuwa kwenye
ngazi za nje za jingo ila zinazoelekea ndani ya jengo
Kwa hiyo hilo tukio la siku ya mtihani kati ya mhusika na MR X, lilipita kwa namna hiyo siku hiyo
MR X NA MHUSIKA TENA KWENYE SIKU AMBAYO MHUSIKA ALIPOKUWA ANAPELEKEA BARUA BENKI
Ilipowadia tena siku ambayo mhusika aliamua kupeleka barua Benki baada ya umeme kukatika; mhusika na MR X walipishana ndani ya mazingira ya taasisi kwenye ROAD CROSSINGS (RCR) iliyo jirani na maeneo ya Benki nyingine iliyo ndani ya taasisi
Siku hiyo MR X alikuwa hajaonekana kabisa pfisini na hivyo hakuwepo mazingira ya ofisini, kitu ambacho si kawaida yake
Alichokuja kukiona baadaye mhusika kuhusiana na kurtokuonekan huko kwa MR X ni kwamba alikuwa ameotea kuwa siku hiyo mhusika angeenda Benki kupelekea barua, kitu kilichopelekea MR X kutegea mahali jirani na RCR hiyo ili mhusika atakapokuwa anapita kuelekea Benki, waweze kupishana naye pale
Hata hivyo, mhusika akiwa yupo mazingira ya ofisini siku hiyo, alionyesha dalili zotei kuwa kwa siku hiyo ya J3, hakuwa na mpango wa kutoka ofisini, hali iliyopelekea baadaye umeme kukatika
Baada ya umeme kukatika ndiyo pale sasa MR X na mhusika walifanikiwa kupishana kwenye RCR, mhusika akiwa anaelekea Benki
Vinginevyo kwa siku hiyo, mhusika hakuwa na mpango wa kwenda benki kama umeme usingekatika, isipokuwa kesho yake J4
KUKUTANA KWA MHUSIKA NA MR X KWENYE RCR HIYO SIKU HIYO: KILE AMBACHO MHUSIKA ALIKUJA KUKIONA BAADAYE NA AMBACHO KIMEKUWA KIKIFANYIKA KWENYE ROAD CROSSING ZA AINA HIYO KWA MUDA MREFU PASIPO YEYE KUWA NA UFAHAMU
Ni kwamba kwa mara nyingi sana, mhusika amekuwa akiwa intercepted na watu kwenye RCR
kwenye siku zile tu ambazo anakuwa anaelekea Benki, kitu ambacho hapo kabla alikuwa hajakigundua
Kwa hiyo tukio la J3 hiyo kati yake na MR X halikuwa la mara ya kwanza kufanywa kwake na watu, isipokuwa lilikuwa la kwanza kufanywa kwake na MR X
Baada ya kuwa amerudi nyuma na kuangalia matukio yaliyowahi kupita, mhusika alikuja kubaini kuwa kuna interception nyingine nyingi ambazo zimekuwa
zikifanywa na watu wengine tofauti tofauti pindi mhusika anapokuwa anapita kwenye RCR’s; na zimekuwa zikifanyika kwenye siku zile tu ambazo amekuwa akipita anaelekea Benki
Kile kilichotokea kati yake na MR X J3 ya tarehe 30/09/2024, klilikuwa ni tofauti kidogo kutokana na ukweli kuwa siku hiyo MR X alilazimika kushrirki mwenyewe kwenye tukio la interception, na hii ilitokea baada ya mhusika kuwa amebadilisha njia ya siku zote ambayo alikuwa akiitumia; hali iliyopelekea mhusika kutokupita tena kwenye RCR ile aliyokuwa amezoeleka kuonekana akipita siku zote
- Kuna sababu maalumu za msingi zilizopelekea mhusika kubadilisha njia na hivyo kutokupita tena kwenye RCR ile ya mwanzo
- Kubadili njia huko ndiyo kule kulikopelekea kubadilika kwa RCR ambazo mhusika huwa anapita na hivyo kupelekea J3 hiyo, MR X kulazimika kumtegea mhusika kwenye RCR mpya ambayo amekuwa akiipta baada ya kuwa amebadilisha njia
Na hii ndiyo sababu ile iliyopelekea umeme ukakatika J3 hiyo mhusika alipokuwa bado yupo ofisini
……itaendelea TENA
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA