STRONG EVIDENCE ZINAANZA KUONYESHA KUWA KM-A ANAUJUA MTANDAO WA WATEKAJI.
UNAENDESHWA NA MAMLUKI; HOOLIGANS
……….INAENDELEA; YALIYOJIRI KANISANI J2 ILIYOPITA
RANGI YA MAVAZI YA BLUU ALIYOKUWA AMEVA KM-A J2 ILIYOPITA
KM-A alivaa suti ya rangi ya blue; rangi iliyofanana na rangi ya mavazi aliyokuwa amevaa Kiongozi mwingine mkubwa wa Kanisa hilo; wakati Kiongozi huyo alipokuwa anatoa ufafanuzi wa mgogoro wa hivi karibuni uliojitokeza ndani ya Kanisa; maelezo ambayo yapo kwenye link hii
View: https://www.youtube.com/watch?v=f4u3M1hbh4I
KWA NINI RANGI YA MAVAZI YA VIONGOZI HAWA IMEFANANA, HUKU WOTE WAKIWA WAKO MADHABAHUNI WANAONGELEATHEME MOJA YA MGOGORO MBELE YA WAUMINI WAO?
Kufanana kwa mavazi haya siyo coincidence, bali kuna sababu maalumu na kubwa ya kiroho nyuma yake
Ni kutokana na ukweli kuwa rangi hiyo pia ni rangi ya mojawapo ya magari yanayomilikiwa na staff aliyepo idarani kwa mhusika ambaye ana sifa zifuatazo
- Jina la kwanza la staff huyu, linafana na jina la kwanza la MR X; ambaye (MR X) anamiliki gari aina ya NOAH aliyoanza kumiliki tangu June 2010
- Anamiliki gari zaidi ya moja, mojawapo ikiwa ni Volkswagen (VW) na nyingine ikiwa ni CRV
- Gari aina ya VW ndiyo ile iliyo na rangi ya blue
Ikumbukwe pia kuwa VW na CRV ni code ambazo zipo kwenye namba za sasa zausajili wa magari
SIFA ZA GARI AINA YA NOAH INAYOMILIKIWA NA MR X
Kwa sasa, MR X anakaribia mwaka sasa bila kuitumia gari hii kwenye mazingira ya ofisini
Mbali na hilo, gari hii pia aliacha kuitumia kwa muda wa siku zile mbili za J5 na Alhamis za tarehe 23 na 24 November 2022; siku alizowahi kuwaleta ofisini watoto wake rafiki zake mhusika; ambapo baada ya siku hizo kupita,
J2 ya wiki hiyo tarehe 27 Novemba 2022, AJALI KUBWA YA KWANZA YA NDEGE NCHINI, ILITOKEA KULE BUKOBA
Kwenye siku hizo mbili, MR X aliacha kuitumia gari hiyo na muda wote alikuwa akipaki gari nyingine aliyokuwa anaitumia, kwenye RESERVED PARKING YA SENIOR MSTAAFU WA KIUME (SMME)
UTAFITI WA MUDA MREFU WA MHUSIKA KUHUSIANA NA GARI HII NOAH YA MR X
Hadi kufikia muda huu, utafiti wake mhusika unamuonyesha kuwa NOAH hii ya MR X,
KIROHO ina sifa kuu zifuatazo
- Ndiyp gari ile ambayo imekuwa iki-control matukio yote ya kiroho ambayo yamekuwa yakitokea na ambayo mhusika aliwahi kuyaonyesha kuwa yalikuwa ni ya kupangwa kwa makusudi
- Gari hii ni MASTER, kwa maana kwamba kila kitu kisicho cha kawaida kinachoendelea kwenye ulimwengu wa roho, kinakuwa kime-connect kwanza kwake au kinakuwa na source yake kutokea kwenye gari hii
- Mbali na hayo yote, kubwa zaidi ni kuwa, kulingana na Maandiko Matakatifu Biblia, gari aina ya NOAH ni NAMESAKE ya mtu anayeitwa NUHU
NUHU ni mzazi wa wanadamu wote ambao
wamewahi kuwepo hapa duniani baada ya gharika, ikiwa ni pamoja na wanadamu wote waliopo hapa duniani leo
Kwa hiyo, ukivirushia pepo vizazi vya kabla na baada ya NUHU akiwemo NUHU mwenyewe, unakuwa umewarushia pepo wanadamu wote waliowahi kuwepo duniani tangu enzi za Adam na Hawa, na hapo unakuwa umemaliza kila kitu
KILE KILICHOWAHI KUFANYIKA KUPITIA NOAH YA MR X
Gari hii imekuwa ikishikilia CODE YA PEPO ALIYEWAHI KURUSHWA KWENYE UZAO WA NUHU
Kwa hiyo vizazi hivi vilisharushiwa pepo na CONTROL yake ikawa imewekwa kwenye gari NOAH, inayomilikiwa na MR X kiasi kwamba ATTRIBUTES ZA MAGARI MENGINE YOTE huwa zinapata connection yake kutokea kwenye gari hilo
KWA NINI RANGI YA BLUU INATUMIKA PIA?
Baada ya connection zote kuwa linked kwenye NOAH ya MR X, utaratibu ulifanyika sasa ili kutengeneza plan ambayo ni fool proof kwamba badala ya CONNECTIONS zote kuwa zinafanyika directly kupitia kwenye gari hii,
zingine zikawa diverted kwa WAJINA WA MRX, kupitia rangi ya BLUU YA GARI LA MTU HUYO AINA YA VOLKSWAGEN
Mbali na hilo, wakati KEYS zinaundwa kupitia msiba uliowahi kutokea nyumbani kwa jirani wa mhusika mnamo November 2022; ambaye ni maarufu kwa jina la JIRANI MAJI MACHAFU, gari aina ya ALPHARD iliyokuwepo siku hiyo kwenye msiba huo, ilikuwepo kwa lengo moja tu la ku-establish connection na NOAH ya MR X kutokea ofisini kwa mhusika
………………………….inaendelea