Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #2,381
RCG NA TUKIO LA MHUSIKA LA KUKAMATWA KWENYE PARKING J5 YA WIKI ILIYOPITA
……………………inaendelea
Siku hiyo OM-1 hakuwepo ofisini na ilikuwa haijulikani alikuwa wapi na kwa wiki hiyo nzima, OM-1 hakuwahi kuonekana ofisini
UHUSIANA KATI YAA WAKAMATAJI WA MHUSIKA NA RCG
Evidence za kimazingira alizonazo mhusika muda huu kuhusiana na wakamataji hao zinaonyesha kuwa MKAMATAJI YULE ALIYEKUWA NA PIKIPIKI, na ambaye yeye hakupanda kwenye BAJAJ kwa sababu alikuwa na pikipiki, ndiyo yule ambaye alikuwa na mawasiliano na mtu mwenye RCG; na ambaye hakuwa mbali na pale walipokuwa wao na mhusika
Baada ya mhusika kukubali kwenda kuchukua control number ili alipe faini, wakamataji hao wote watatu, walizuga kwa makusudi kama wanataka kuingia ndani ya gari la mhusika, kitu ambacho walikuwa na uhakika kuwa ni lazima tu mhusika angewazuia; details zote walikuwa wameshazipata kabla
Baada ya mhusika kuwazuia kuingia ndani ya gari lake, hawakung’ang’ania hoja hiyo na hivyo yule mwenye pikipiki aliwashauri wenzake wakapande kwenye Bajaj; halafu hapo hapo yeye akatoweka kuelkea kusikojulikana
MWENYE PIKIPIKI NDIYO YULE AMBAYE ALIKUWA NA MAWASILIANO NA MTU MWENYE RCG
Baada ya kutoka pale, mwenye pikipki akawa amewasiliana sasa na mtu mwenye kifaa; huku assumption yao ikiwa ni kwamba mhusika alikuwa amebeba TV mpya kwenye gari lake, kitu ambacho hakikuwa sahihi
Baada ya kuanza safari ya kuelekea MAWASILIANO, waliopanda kwenye Bajaj, wakawa sasa wanatarajia tukio kumpata mhusika akiwa ndani ya gari lake, kwenye muda ambao walikuwa wanaujua kuwa ni sekunde ngapi au dakika ngapi, kitu ambacho hakikutokea
Hadi wanafika kwenye mataa ya Super Star ambayo yaliwasimamisha kwa muda; tukio tarajiwa lilikuwa bado halijampata mhusika, kitu kilichopelekea Mzee aliyekuwa ndani ya Bajaj, kushuka na kwenda kumweleza mhusika kuwa wauahirishe muamala huo
Hapo ndipo mzee huyo alipomchaji mhusika kwa kiwango cha juu mno, kitu kiilichopelekea mhusika kulazimika kutamka maneno kwa ukali na kwa sauti ya juu mno kiasi kwamba wenye magari waliokuwa jirani waliisikia
Mhusika alimwambia mzee huyo kwa sauti ya juu sana na ya ukali mno akisema TWENDENI KITUONI, na alirudia tena akasema TWENDENI KITUONI!!
Ni kwa sababu tangu wanaondoka kwenye sehemu waliyojidai watu hao kumkamata, mhusika alikuwa tayari ameshawabaini kuwa walikuwa ni vishoka
RCG ilitakiwa kufanya kazi kwenye TV mpya, na duka ambalo mhusika alinunua TV ndiyo lile ambalo lingechafuliwa kuwa lilimuuzia bidhaa yenye matatizo, ilhali siyo kweli
Mfanyakazi huyu aliyemletea mapanga OM-1, ana zaidi ya mwaka mmoja tangu ahamie idarani hapo, isipokuwa kwa jana J4, ndiyo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuingia ofisini kwao mhusika
Kama mfanyakazi huyu aliwahi kuingia kwenye ofisi hiyo kabla, basi itakuwa ni kwenye siku ambayo mhusika alikuwa ametoka kidogo nje ya ofisi
Mhusika anayataja mapanga haya ya OM-1 kwa sababu kwa namna ambavyo ameshamfahamu OM-1, hakipo kitu kidogo au kikubwa ambacho OM-1 huwa anafanya pasipokuwa kimebeba maana kubwa nyuma yake; hakipo
YALE AMBAYO OM-1 AMEYAFANYA KWENYE LAPTOP YA MHUSIKA KUPITIA KIFAA HICHO (AMBACHO MHUSIKA ANAKIITA RCG) KUANZIA DESEMBA MWAKA JANA HADI JANA J4 YA TAREHE 11/02/2025
Chances ni kwamba kilichokuwa kimemleta OM-1 ofisini jana J4 ya tarehe 11/02/2025, ilikuwa ni kwa ajili ya ku-renew operations zake ambazo amekuwa mara kwa mara akizifanya kwenye Laptop ya mhusika, kupitia kifaa hicho
………………….inaendelea

- RCG hii ndiyo ile ambayo kwa sasa inamilikiwa na OM-1, na ambaye hakuwepo ofisini siku hiyo
- Kwa ujumla wiki yote hiyo OM-1 hakuwa ameonekana ofisini na tangu kipindi cha mwisho alipowahi kuonekana ofisni, OM-1 alikuja kuonekana tena ofisini jana J4 ya tarehe 11/02/2025 na ilikuwa ni kwa muda tu