UPDATE: MONDAY, 17th MARCH 2025
CODE YA SALAMA (CODSA)
.............INAENDELEA
CODE HII NA UHUSIANO WAKE NA SOMO LA “MWILI, NAFSI NA ROHO” ALILOWAHI KUFUNDISHA KM-A MWISHONI MWA MWAKA 2020
Kilichotokea baada ya somo hilo kuwa limefundishwa na kuhitimishwa, mwezi Desemba 2020 waumini wa Kanisa A walialikwa kwenye sherehe ya harusi ambako walienda wakarushiwa mapepo, na maelezo kuhusiana na tukio hilo mhusika alishawahi kuyaleta humu kupitia baadhi ya post mojawapo ikiwa ni hii hapa
#1,160
Vinginevyo maelezo kuhusiana na namna somo hilli lilivyofundishwa, yapo kwenye post hizi hapa
#388
#406
#415
#419
#420
#423
#849
CHRONOLOGY OF EVENTS KAMA ZILIVYOTOKEA KWENYE MAZINGIRA YA MHUSIKA, MARA TU BAADA YA KM-A KUWA AMEHITIMHISHA KUFUNDISHA SOMO LAKE LA MWILI NAFSI NA ROHO
DESEMBA 2020 waumini wa Kanisani kwake mhusika walikaribishwa kwenye harusi, ambako walienda wakarushiwa mapepo
Baada ya hapo,
mwanzoni mwa JANUARY 2021, UKARABATI WA DHARURA WA JENGO LA IDARA ILIMO OFISI YA MHUSIKA ULIANZA
- Kwa kifupi tu ni kwamba kwenye ujenzi wowote ule huwa hapakosekani vumbi, ambalo linawakilisha MWILI, NAFSI NA ROHO ya mwanadamu pamoja na milio ya sauti za kugonga gonga, ambazo ni WAVES
- Sauti za kugonga gonga huwa zinarusha oeo kwenye WAVES na hivyo kwenye maneno kwa sababu maneno ni SOUND WAVES, na vumbi huwa linarusha pepo kwenye nyanja hizo zinazounda binadamu kamili
Ukarabati huu ulikuwa ni wa
kupaka rangi ofisini pamoja na
kujengea kwa tofali baadhi ya partitions za ofisi, zile ambazo wakati jengo linajengwa, zilitengenezwa kwa kutumia chip boards
MMU alisisistiza kuwa ukarabati huo inabidi ufanyike kwa wakati huo kwa sababu fedha iliyokuwa allocated kwa kazi hiyio, ilikuwa imeshakaa siku nyingi tangu ilipotoka Wizarani
Kutokana na hali hiyo, baadhi ya staff walikuwa wanalazimika kuhama kwa muda kwenye ofisi zao, mhusika akiwa mmoja wao
Vile vile, ilipofika
Ijumaa ya tarehe 05 March 2021: Kikao cha dharura cha wana-idara kiliitishwa kwenye muda wa baada ya saa Tisa alasiri
- Aliyeitisha kikao hiki alikuwa ni MMU
- Kikao hiki kiliitishwa kwa njia ya mtu kupita kwenye korido akipaza sauti kuwa watu walitakiwa wakusanyike kwenye chumba cha mkutano muda ho
- Kikao hiki kilihusiana na uchaguzi wa kumpigia kura Mkuu wa Taasisi zingine ndogo ndogo mbili zilizoko Nzega na Dodoma, ambazo ziko chini ya Taasisi mama anayofanyia kazi mhusika
Aliyepita kwenye kura za awali kwenye uchaguzi wa siku hiyo alikuwa ni wajina wa MR X (WJNX)
KILE KILICHOPELEKEA MHUSIKA AKAIPA CODE HII JINA LA “SALAMA”:
BINTI MSIMAMIZI WA UCHAGUZI TAJWA HAPO JUU HAKUWA STAFF WA TAASISI BALI MGENI KUTOKA NJE YA TAASISI, AMBAYE ALIKUWA AMEANDALIWA KWA KUPEWA IDENTITY BANDIA ILIYOMWONYESHA KUWA NI STAFF WA TAASISI, HUKU AKIPEWA PIA JINA BANDIA LA “SALAMA”
Kawaida, uchaguzi huu ulitakiwa usimamiwe na staff wa Taasisi na si stranger kutoka sehemu nyingine, na ndiyo maana msimamizi wake alilazimika kupewa FEKI IDENTITY
Ikumbukwe kuwa hadi kufikia siku hiyo, pepo alikuwa tayari amesharushwa kwenye neno SALAMA miaka mingi nyuma, isipokuwa ilipofika mwishoni mwa Desemba 2020, KM-A alianza kum-renew pepo huyo kwa kufundisha somo lililohusiana na MWILI, NAFSI NA ROHO
Hapa sasa KM-A alikuwa anaandaa mazingira safi kwa ajili ya ukarabati wa jengo uliokuwa umebakiza siku chache mbele kuanza mwanzono mwa January 2021
YALE YA MUHIMU YAIYOJIRI KWENYE UCHAGUZI HUO
Msimamizi wa uchaguzi ambaye alisemekana kuwa alitokea kwenye idara ile nyingine alichelewa kuwasili kwenye kikao hicho
Baada ya dakika kadhaa kupita watu wakiwa wanasubiria, hatimaye msimamizi huyo wa uchaguzi aliwasili akiwa amevaa barakoa kwa umakini ambao haukuwa wa kawaida sana, kiasi kwamba barakoa hiyo ilikuwa imeficha baadhi za features za sura yake usoni
Maelezo mengine ya ziada kuhusiana na msimamizi huyu yaliwahi kuwajieni humu kupitia post hii hapa
#1,223
Msimamizi huyu alikuwa ni binti mrembo sana, huku akiwa ni stranger kutoka nje ya Taasisi, hakuwa mfanyakazi wa Taaisis isipokuwa kwa wakati huo, mhusika hakuweza kubaini kuwa binti huyu alikuwa ni
“stranger from outside”
Baada ya kutambulishwa na MMU, ilisemekana kuwa mojawapo ya majina yake ni “SALAMA”ilhali kumbe jina hili “SALAMA” halikuwa jina la binti huyu mgeni bali
la Mkuu wa Idara (MWI) wa wakati huo wa Idara ile nyingine, na ambaye yeye si mwanamke bali mwanamme
Kwa hiyo binti huyu mgeni na ambaye hakuwa mfanyakazi wa Taaisisi alikaribishwa kuja kusimamia uchaguzi wa siku hiyo, huku akiwa amepewa jina la bandia linalofanana na jina la MWI mwanamme wa mojawapo za Idara zilizopo kwenye Taasisi
Baada ya utambulisho, binti alisimamia uchaguzi na baada ya kupatikana mshindi, alifunga kikao kwa makubaliano kuwa angerudi tena wiki inayofuata siku ya J3 ya tarehe 08/03/2021; safari hii sasa ikiwa ni kwenye kusanyiko la Sikukuu ya Wanawake ambalo nalo pia lilikuwa limeitishwa na MMU; mithili ya ilile lilliofanyika J4 ya wiki iliyopita ya tarehe 11/03/2025, na ambalo mhusika hakuweza kuhudhuria
Hata hivyo, ilipowadia siku ya kusanyiko hilo (J3 ya tarehe 08/03/2021); binti huyu hakuonekana tena kwenye kusanyiko tajwa isipokuwa, mabinti wengine tu tofauti ambao nao walisemekana kutokea kwenye Idara yake
UTAFITI MWINGINE ULIOKAMILIKA KILICHOKUWA KIMELENGWA KWENYE MAKUSANYIKO HAYO MAWILI YA KIPINDI HICHO KUANZIA LILE LA IJUMAA YA TAREHE 05/03/2021 NA JINGINE LILILOFUATA J3 YA TAREHE 08/03/2021
Facts zilizopo hadi kufikia muda huu zinaonyesha kuwa MMU na kundi lake walikuwa wamepanga kulipua sehemu ya jengo, huku mhusika akiwa ni target
- Plan hii ilikuwa ifanye kazi iwapo tu mhusika angeamua kubaki ofisini kwenye mojawapo ya makusanyiko hayo mawili yaliyokuwa yameitishwa na MMU
- Kwenye kusanyiko lile la kwanza la Ijumaa, plan ya MMU ilifeli na hivyo kupelekea akalazimika kuweka mtego mwingine kwenye kusanyiko la pili la J3 ya wiki iliyokuwa inafuata
Still, kwenye J3 hiyo mhusika aliamua kuhudhuria kusanyiko na hivyo plan zote mbili za MMU kuwa zimefeli kufanya kazi; ila hakukataa tama na alinedelea plans zingine nyingine nyingi tu tangu kipindi hicho, hadi ilipofika tena J5 ya wiki iliyopita tarehe
12/03/2025
PLAN NYINGINE YA MMU INAYOFANANA NA HIZI MBILI, ILIYOKUWA IWE EXECUTED WIKI JANA J5 YA TAREHE 12/03/2025
Kwa plan hii ya wiki jana, MMU aliitisha tena kusanyiko la Sikukuu ya Wanawake lililofanyika J4 ya tarehe 12/03/2025, na ambalo mhusika hakuhudhuria; kitu ambacho watu wengi wenye akili timamu walikuwa wamekitarajia
Baada ya kusanyiko hilo kupita, kesho yake J5 ya tarehe 12/03/2025; mhusika alikoswa koswa kufanyiwa tukio na OM-1 na maelezo ya namna alivyokoswa koswa, yanafuata muda mfupi ujao
CODE YA SALAMA (CODSA)
.............INAENDELEA