Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,811
- 7,561
- Thread starter
- #2,781
UPDATE: TUESDAY, 09TH JUNE 2026
CODE YA “KILL…..”INAENDEKEA
KILE KILICHOKUWA NYUMA YA MAMBO AMBAYO YAMETOKEA KANISANI KWA KIPINDI CHA HIVI KARIBUNI KUANZIA A J2 YA TAREHE 24/05/2026;
MAELEZO YA UTANGULIZI:
UHUSIANO WA MATUKIO HAYO NA STRUCTURE MPYA ILIYOJENGWA IDARANI JIRANI NA OFISI YA MKUU WA MAJOR UNIT (MMU)
Kwa kuanzia, J2 ya tarehe 24/05/2026 kulitolewa tangazo la ndoa Kanisani, lililosemekana kuwa lilikuwa ni la PLI, ilhali hapo kabla, mhusika hakuwa amewahi kulisikia tangazo la kwanza la ndoa hiyo
Zaidi ni kuwa wahuska wote wawili wa tangazo la ndoa hiyo, hawakuwepo Kanisani wakati linatolewa kwa mara hiyo iliyosemekeana kuwa ni ya pili. Vile vile wahusika hawakuwepo tena Kanisani J2 ya tarehe 31/05/2006 wakati tangazo lao linatolewa kwa mara nyingine iliyosemekana kuwa ni ya tatu na ya mwisho, kitendo kilchopelekea mhusika kushuhudia matangazo yote ya ndoa husika pasipo kuwafahamu kwa sura wanandoa wa matangazo hayo
Kwa hiyo ndoa iliyofungwa Kanisa A J2 iliyopita, ni ndoa ya kwanza ambayo imefungwa pasipo mhusika kuwa amewatia machoni wahusika wote wawili wa ndoa hiyo
KILICHOKUWA NYUMA YA PLAN YA TANGAZO HILO LA NDOA
Kilichokuwa nyuma ya tangazo hilo la ndoa, ndiyo kile kilichopelekea kutokea tukio litakaloelezewa hapa chini; tukio linaloshahibiana na jingine la zamani lililowahi kutokea majira sawa na ya sasa ila mwaka ukiwa ni wa 2024
MFANANO KATI YA MATUKIO HAYA MAWILI UMEKAA KAMA IFUATAVYO:
MOSI: TUKIO LA ZAMANI
Tukio hili la zamani ni la mwaka 2024 na lilitokea baada ya mambo makuu yafuatatyo kuwa yamefanyika kwanza
…..Siku ya pili ya wiki ilikuwa tarehe 02……, n.k.
Siku chache mbele baada ya structures hizo kuwa zimejengwa, kwenye siku moja ya Ijumaa mhusika alipokuwa amepumzika nyumbani kwenye majira ya baada ya saa 1:00 usiku, alipigiwa simu akitakiwa aende ofisini usiku huo kwenda kufunga chumba ambacho kilikuwa kimeachwa wazi, na mojawapo za funguo za akiba za chumba hicho alikuwa amekabidhiwa yeye. Taarifa za tukio hili zilishawahi kuwajieni humu kwa kina kupitia post allizowahi kuzileta humu husika ndani ya mwaka huo wa 2024
PILI:TUKIO LA SASA LILILOTOKEA MAJIRA YA SAA 3:00 USIKU; SIKU YA JUMAMOSI YA WIKI ILIYOPITA TAREHE 06/05/2026
Tukio hili nalo vile vile, limetokea baada ya mambo makuu yafuatatyo kuwa yamefanyika kwanza
….Siku ya pili ya wiki ilikuwa tarehe 12/05/2026……, n.k.
Baada ya kukamilika kujengwa, structure hii iliongezewa madoido ya kuwekewa GATES za pipes zilizopakwa rangi ya aluminium, kitu kilichofanyika weekend, probably Jumamosi ya tarehe 16/05/2026 au J2 ya tarehe 17/05/2026.
Baada ya hapo, J3 ya tarehe 18/05/2026 kulifanyika presentation ya binti kutoka kwenye ile idara nyingine, na kesho yake tena siku ya J4, RESEARCH WEEK iliyotakiwa kuwa imefanyika mwezi uliokuwa umepita kuanzia tarehe 08/04/2026; ilianza. Maelezo ya kina kuhusiana na structure hii, mhusika tayari ameshayatoa kupitia posts zilizotangulia; zikiwa chini ya code hii hii ya “KILL….”
MAELEZO YA TUKIO LENYEWE
Tukio hili la sasa nalo vile vile, linahusiana na simu ya emergenece aliyopigiwa mhusika majira ya saa 3:00 usiku; na katikahali ya kawaida, alitakiwa awahi sana kwenye Hospitali iliyopo umbali usiozidi km 10; kwa ajli ya kwenda kumuona mgonjwa ambaye alikuwa amezidiwa ghafla na alikuwa ana uhitaji wa damu
Hata hivyo, badaye imekuja kubainikka kuwa mgonjwa husika alikuwa na uhitaji wa maji na si damu, isipokuwa wakati mhusika anapigiwa simu, aliambiwa kuwa mgonjwa alikuwa ana “changamoto ya upungufu wa damu” na alikuwa anahitaji at least nyongeza ya lita mbili za damu
Pamoja na hayo, mhusika hakufanikiwa kwenda hospitalini bali alimtumia mtu mwingine mbadala; na taarifa alizozipata leo ni kwamba mgonjwa husika amshapona na yupo nyumbani akiwa amepumzika; hajaenda kazini
UHUSIANO WA SIMU HII YA JUMAMOSI SAA TATU USIKU NA TANGAZO LA NDOA LA KANISANI; PAMOJA NA MATUKIO MENGINE YALIYOJIRI OFISINI KWA SIKU YA IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA, NA PIA JANA J3 YA TAREHE 08/06/2026
KWA UPANDE WA KANISANI
Ikumbukwe pia kuwa, tukio la mhusika kupigiwa simu usiku saa tatu, limetokea kwenye wiki ambayo siku na tarehe zake zinaendana kwa mtindo ufuatao
Siku ya kwanza ya wiki ilikuwa tarehe 01/06/2026……
Siku ya pili ya wiki ilikuwa tarehe 02/06/2026……
Wakati huo huo, tarehe na siku hzi zinaoana vizuri zaidi na tarehe ambazo stuructures mpya za bararabani ziliwahi kujengwa mwaka 2024, tofauti yake ikiwa ni mwezi tu. Hii inamaanisha kuwa Kalenda ya mwezi April 2024, inafanana na Kalenda ya mwezi huu wa Juni 2026
Structures hizi zilizowahi kujengwa barabarani mwezi April 2024; zinatumia code ya marehemu mkwe wa wajina wa MR X muumini wa kule Kanisa A; yule Profesa wa Alhamis
Kutokana na hali hiyo, tangazo la kwanza la ndoa lililotangazwa huku likitajwa kuwa ni la pili, lilikusudiwa kuwahi schedule ya tarehe hizi na hivyo ilibidi liwahishwe ili liweze kuendana na pattern hii iliyoelezewa hapo juu; na hiki ndiyo kitu kilichopelekea MR X akaingia kazini kwenye mazingira ya ofisini, akishirirkiana na trainees ambao mmoja wao alikuwa na attributes za KATAVI, na mwingine za “CHOMA”, huku attribues za “CHOMA” zikiwa pia ziko connected na MWI ya mhusika
YALIYOJIRI OFISINI SIKU ZA IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA NA PIA SIKU YA J3 YA WIKI TAREHE 08/06/2026
Kwenye siku zote mbili hizi, shida kubwa kabisa kuwahi kutokea kwa mara ya kwanza, imekuwa ni namna ya kuzipata funguo za akiba (SPARE KEYS) za chumba cha darasa ambalo mhusika huwa anafundishia kwa siku za Jumatatu na Ijumaa. Kutokana na hali hiyo, angalau siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita mhusika alifanikiwa kuwa na access na chumba hicho, baada ya mtu mwingine kulifungua kwa kutumia fungua zake. Still, mhusika alilazimika ku-cancell kipindi cha masaa mawili cha siku ya jana J3 ya tarehe 08/06/2026; baada ya funguo za kufungua chumba hicho kukosekana kabisa. Hata hivyo, funguo hizo zipo isipokuwa Secreatary wa MWI anadai hajui amempa nani na hivyo inaonyesha “eti kuna mtu ambaye amezichukua funguo hizo na hatimaye kuamua kukaa nazo makusudi bila kuzirudisha kwake”
Custodians wa funguo zote idarani ni yeye Secretary pamoja na MWI. Kwa hiyo kile kilichotokea hasa siku ya jana J3, ni mwamba Secretary wa MWI aliamua kuficha funguo makusudi, na pia siku ya Ijumaa alifanya hivyo ila kwa bahati nzuri mtu mwingine mwenye funguo za chumba hicho alisaidia kukifungua chumba
SABABU KUU MBILI ZILIZOPELEKEA SECRETARY KUFICHA FUNGUO
Utafiti ambao mhusika alishauthibitisha pasipo shaka tangu kipindi kirefu, tangia miaka kadhaa iliyopita ni kwamba mhusika huwa anapewa funguo hizo pale tu zinapokuwa zimeambatana na pepo. Pale zinapokuwa hazina pepo, mhusika huwa hatakiwi kuzishika na hivyo, huwa hatakiwi kufungua au kufunga geti.
Kwenye cases zote za awali, pale ilipokuwa inatokea funguo kutokubeba pepo, mhusika alikuwa anakuta chumba kikiwa tayari kimeshafunguliwa na watu ambao ofisi zao zinatumia geti moja na chumba hicho. Pale ilipokuwa inatokea kuna pepo kwenye funguo, mhusika alikuwa anazipata funguo na kwenda akufungua mwenye
KWA NINI IMEKUWA HIVI KUHUSIANA NA FUNGUO HIZI KWA KIPINDI HIKI CHA WIKI JANA
Ni kwa sababu kulikuwa na tukio ambalo lilikuwa limepangwa juu yake na hivyo alitakiwa kuja baadaye, kuonekana kuwa alikuwa na mawasiliano na angalau watu kadhaa ofisini, kabla ya tukio kumfika; assuming lingekuja kumfika kweli
Kwa kuanzia, trick hii ilizinduliwa rasmi na MR X kwenye siku Ijumaa ya tarehe 29/05/2026; pale alipomuomba mhusika amu-bip kwenye simu yake akidai kuwa alikuwa amei-misplace na hivyo kushindwa kujua ilikuwa wapi. Mhusika alimbip mara mbil na ilipofika mara ya tatu, MR X alipokea simu akimjulisha kuwa alikuwa ameipata
Ilipofika tena Ijumaa ya wiki jana tarehe 05/06/2026; mhusika alilazimika kuwasiliana na watu wasiopungua wanne. Ilikuwa ni baada ya kutaarifiwa na Secretary wa MWI kuwa ndiyo wale waliokuwa na funguo za chumba na hapo ilikuwa ni kabla mhusika hajagundua kuwa Secretary alikuwa anaficha funguo hizo
Baada ya mtindo huo kujirudia tena jana J3 ya tarehe 08/06/2026, mhusika aligundua trick na hivyo hakuwasiliana na mtu yeyote kuzitafuta funguo hizo kwa sababu hata kwenye siku ile ya Ijumaa, hapakuwa na mmoja wao aliyekiri kuwa alikuwa nazo, isipokuwa kilichokuja kutokea baadaye ni kwamba mmoja wa watu walio na ofisi ndani ya chumba kingine kilichopo kwenye chumba hicho, ndiyo alifungua chumba kwa kutumia funguo zake. Still, hata huyu aliyefungua chumba, mhusika alilazimika kuwasiliana naye kwa simu. Vinginevyo funguo zile ambazo ni za spare, secretary anadai kuwa hamfahamu mtu aliyenazo
KWA NINI JANA J3 MHUSIKA ALIKOSA KABISA FUNGUO ZA CHUMBA CHA DARASA NA HATIMAYE KULAZIMIKA KUFUTA KIPINDI CHA MASAA MAWILI Ni kutokana na simu ile aliyopigiwa Jumammosi usiku
Baada ya mhusika kutokwenda Hospitalini usiku huo, ilitarajiwa kuwa kesho yake Jumapili angeenda hospitali; aidha asubuhi kabla ya kuelekea kanisani au baada ya kuwa ametoka Kanisani
MENGINE YA MUHIMU YALIYOJIRI KUTOKEA KANISANI, YANAYOHUSIANA NA TUKIO HILI LA SIMU YA USIKU WA JUMAMOSI
Kanisani kwake mhusika kuna replicas za watu halisi wafuatao; na hawa replicas ndiyo wamehisika kwenye mpango huu ambao maelezo yake yameelezewa hapo juu
Kwa hiyo mojawapo wa wafalme waliotajwa kwenye Kitabu cha Wafalme (KINGS) ni Mungu mwenyewe; na hii ndiyo nafasi wanayoshikilia kijambazi MR X na Profesa wa Alhamis; baada ya kuwa wamejipachika attributes za Mfalme maarufu duniani
Mhusika atafurahi sana iwapo mara baada ya kustaafu, siku moja atapata nafasi mahali fulani ya kutumika kama Mtumishi wa Mungu!!!
MADA ZINGINE AMBAZO BADO ZINAENDELEA NA PIA ZITAKAZOFUATA
Sub-code ya “CHOMA”; namna ambavyo iko connected na watu ofisini na pia Kanisani kwa mhusika
CODE YA “KILL….”, ITAENDELEA TENA
In the war between falsehood and truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Mathew 16:18-19; Joshua 1:5

- Structures mpya mbili za barabarani (matuta ya barabarani) zilijengwai
- Structure hizo zilijengwa jirani na eneo analoishi Mkuu wa Major Unit ya mhusika (MMU)
- Structure hizo vile vile, ziliwahi kujengwa kwenye wiki ambayo siku na tarehe zake zilikuwa zinaendana kwa mtindo ufuatao
…..Siku ya pili ya wiki ilikuwa tarehe 02……, n.k.
Siku chache mbele baada ya structures hizo kuwa zimejengwa, kwenye siku moja ya Ijumaa mhusika alipokuwa amepumzika nyumbani kwenye majira ya baada ya saa 1:00 usiku, alipigiwa simu akitakiwa aende ofisini usiku huo kwenda kufunga chumba ambacho kilikuwa kimeachwa wazi, na mojawapo za funguo za akiba za chumba hicho alikuwa amekabidhiwa yeye. Taarifa za tukio hili zilishawahi kuwajieni humu kwa kina kupitia post allizowahi kuzileta humu husika ndani ya mwaka huo wa 2024
PILI:TUKIO LA SASA LILILOTOKEA MAJIRA YA SAA 3:00 USIKU; SIKU YA JUMAMOSI YA WIKI ILIYOPITA TAREHE 06/05/2026
Tukio hili nalo vile vile, limetokea baada ya mambo makuu yafuatatyo kuwa yamefanyika kwanza
- Structures moja mpya imejengwa hivi karibuni mwezi uliopita, ila safari hii ikiwa ni kwenye eneo jirani na ofisi ya MMU
- Structure hizo vile vile, ziliwahi kujengwa kwenye wiki ambayo siku na tarehe zake zilikuwa zinaendana kwa mtindo ufuatao
….Siku ya pili ya wiki ilikuwa tarehe 12/05/2026……, n.k.
Baada ya kukamilika kujengwa, structure hii iliongezewa madoido ya kuwekewa GATES za pipes zilizopakwa rangi ya aluminium, kitu kilichofanyika weekend, probably Jumamosi ya tarehe 16/05/2026 au J2 ya tarehe 17/05/2026.
Baada ya hapo, J3 ya tarehe 18/05/2026 kulifanyika presentation ya binti kutoka kwenye ile idara nyingine, na kesho yake tena siku ya J4, RESEARCH WEEK iliyotakiwa kuwa imefanyika mwezi uliokuwa umepita kuanzia tarehe 08/04/2026; ilianza. Maelezo ya kina kuhusiana na structure hii, mhusika tayari ameshayatoa kupitia posts zilizotangulia; zikiwa chini ya code hii hii ya “KILL….”
MAELEZO YA TUKIO LENYEWE
Tukio hili la sasa nalo vile vile, linahusiana na simu ya emergenece aliyopigiwa mhusika majira ya saa 3:00 usiku; na katikahali ya kawaida, alitakiwa awahi sana kwenye Hospitali iliyopo umbali usiozidi km 10; kwa ajli ya kwenda kumuona mgonjwa ambaye alikuwa amezidiwa ghafla na alikuwa ana uhitaji wa damu
Hata hivyo, badaye imekuja kubainikka kuwa mgonjwa husika alikuwa na uhitaji wa maji na si damu, isipokuwa wakati mhusika anapigiwa simu, aliambiwa kuwa mgonjwa alikuwa ana “changamoto ya upungufu wa damu” na alikuwa anahitaji at least nyongeza ya lita mbili za damu
Pamoja na hayo, mhusika hakufanikiwa kwenda hospitalini bali alimtumia mtu mwingine mbadala; na taarifa alizozipata leo ni kwamba mgonjwa husika amshapona na yupo nyumbani akiwa amepumzika; hajaenda kazini
UHUSIANO WA SIMU HII YA JUMAMOSI SAA TATU USIKU NA TANGAZO LA NDOA LA KANISANI; PAMOJA NA MATUKIO MENGINE YALIYOJIRI OFISINI KWA SIKU YA IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA, NA PIA JANA J3 YA TAREHE 08/06/2026
KWA UPANDE WA KANISANI
Ikumbukwe pia kuwa, tukio la mhusika kupigiwa simu usiku saa tatu, limetokea kwenye wiki ambayo siku na tarehe zake zinaendana kwa mtindo ufuatao
Siku ya kwanza ya wiki ilikuwa tarehe 01/06/2026……
Siku ya pili ya wiki ilikuwa tarehe 02/06/2026……
Wakati huo huo, tarehe na siku hzi zinaoana vizuri zaidi na tarehe ambazo stuructures mpya za bararabani ziliwahi kujengwa mwaka 2024, tofauti yake ikiwa ni mwezi tu. Hii inamaanisha kuwa Kalenda ya mwezi April 2024, inafanana na Kalenda ya mwezi huu wa Juni 2026
Structures hizi zilizowahi kujengwa barabarani mwezi April 2024; zinatumia code ya marehemu mkwe wa wajina wa MR X muumini wa kule Kanisa A; yule Profesa wa Alhamis
Kutokana na hali hiyo, tangazo la kwanza la ndoa lililotangazwa huku likitajwa kuwa ni la pili, lilikusudiwa kuwahi schedule ya tarehe hizi na hivyo ilibidi liwahishwe ili liweze kuendana na pattern hii iliyoelezewa hapo juu; na hiki ndiyo kitu kilichopelekea MR X akaingia kazini kwenye mazingira ya ofisini, akishirirkiana na trainees ambao mmoja wao alikuwa na attributes za KATAVI, na mwingine za “CHOMA”, huku attribues za “CHOMA” zikiwa pia ziko connected na MWI ya mhusika
YALIYOJIRI OFISINI SIKU ZA IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA NA PIA SIKU YA J3 YA WIKI TAREHE 08/06/2026
Kwenye siku zote mbili hizi, shida kubwa kabisa kuwahi kutokea kwa mara ya kwanza, imekuwa ni namna ya kuzipata funguo za akiba (SPARE KEYS) za chumba cha darasa ambalo mhusika huwa anafundishia kwa siku za Jumatatu na Ijumaa. Kutokana na hali hiyo, angalau siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita mhusika alifanikiwa kuwa na access na chumba hicho, baada ya mtu mwingine kulifungua kwa kutumia fungua zake. Still, mhusika alilazimika ku-cancell kipindi cha masaa mawili cha siku ya jana J3 ya tarehe 08/06/2026; baada ya funguo za kufungua chumba hicho kukosekana kabisa. Hata hivyo, funguo hizo zipo isipokuwa Secreatary wa MWI anadai hajui amempa nani na hivyo inaonyesha “eti kuna mtu ambaye amezichukua funguo hizo na hatimaye kuamua kukaa nazo makusudi bila kuzirudisha kwake”
Custodians wa funguo zote idarani ni yeye Secretary pamoja na MWI. Kwa hiyo kile kilichotokea hasa siku ya jana J3, ni mwamba Secretary wa MWI aliamua kuficha funguo makusudi, na pia siku ya Ijumaa alifanya hivyo ila kwa bahati nzuri mtu mwingine mwenye funguo za chumba hicho alisaidia kukifungua chumba
SABABU KUU MBILI ZILIZOPELEKEA SECRETARY KUFICHA FUNGUO
Utafiti ambao mhusika alishauthibitisha pasipo shaka tangu kipindi kirefu, tangia miaka kadhaa iliyopita ni kwamba mhusika huwa anapewa funguo hizo pale tu zinapokuwa zimeambatana na pepo. Pale zinapokuwa hazina pepo, mhusika huwa hatakiwi kuzishika na hivyo, huwa hatakiwi kufungua au kufunga geti.
Kwenye cases zote za awali, pale ilipokuwa inatokea funguo kutokubeba pepo, mhusika alikuwa anakuta chumba kikiwa tayari kimeshafunguliwa na watu ambao ofisi zao zinatumia geti moja na chumba hicho. Pale ilipokuwa inatokea kuna pepo kwenye funguo, mhusika alikuwa anazipata funguo na kwenda akufungua mwenye
KWA NINI IMEKUWA HIVI KUHUSIANA NA FUNGUO HIZI KWA KIPINDI HIKI CHA WIKI JANA
Ni kwa sababu kulikuwa na tukio ambalo lilikuwa limepangwa juu yake na hivyo alitakiwa kuja baadaye, kuonekana kuwa alikuwa na mawasiliano na angalau watu kadhaa ofisini, kabla ya tukio kumfika; assuming lingekuja kumfika kweli
Kwa kuanzia, trick hii ilizinduliwa rasmi na MR X kwenye siku Ijumaa ya tarehe 29/05/2026; pale alipomuomba mhusika amu-bip kwenye simu yake akidai kuwa alikuwa amei-misplace na hivyo kushindwa kujua ilikuwa wapi. Mhusika alimbip mara mbil na ilipofika mara ya tatu, MR X alipokea simu akimjulisha kuwa alikuwa ameipata
Ilipofika tena Ijumaa ya wiki jana tarehe 05/06/2026; mhusika alilazimika kuwasiliana na watu wasiopungua wanne. Ilikuwa ni baada ya kutaarifiwa na Secretary wa MWI kuwa ndiyo wale waliokuwa na funguo za chumba na hapo ilikuwa ni kabla mhusika hajagundua kuwa Secretary alikuwa anaficha funguo hizo
Baada ya mtindo huo kujirudia tena jana J3 ya tarehe 08/06/2026, mhusika aligundua trick na hivyo hakuwasiliana na mtu yeyote kuzitafuta funguo hizo kwa sababu hata kwenye siku ile ya Ijumaa, hapakuwa na mmoja wao aliyekiri kuwa alikuwa nazo, isipokuwa kilichokuja kutokea baadaye ni kwamba mmoja wa watu walio na ofisi ndani ya chumba kingine kilichopo kwenye chumba hicho, ndiyo alifungua chumba kwa kutumia funguo zake. Still, hata huyu aliyefungua chumba, mhusika alilazimika kuwasiliana naye kwa simu. Vinginevyo funguo zile ambazo ni za spare, secretary anadai kuwa hamfahamu mtu aliyenazo
KWA NINI JANA J3 MHUSIKA ALIKOSA KABISA FUNGUO ZA CHUMBA CHA DARASA NA HATIMAYE KULAZIMIKA KUFUTA KIPINDI CHA MASAA MAWILI Ni kutokana na simu ile aliyopigiwa Jumammosi usiku
Baada ya mhusika kutokwenda Hospitalini usiku huo, ilitarajiwa kuwa kesho yake Jumapili angeenda hospitali; aidha asubuhi kabla ya kuelekea kanisani au baada ya kuwa ametoka Kanisani
- Kawaida mhusika huwa anahudhuria Ibada ya kwanza pale inapotokea kuwa Ibada ya pili ni ya ndoa.
- Kutokana na hali hiyo, kama mhusika angeondoka J2 asubuhi kuelekea Hospitalini badala ya Kanisani, kwa wale ambao wamgemuona anaondoka nyumbani asubuhi mapema, wangeelewa kuwa alikuwa anaelekea Kanisani kwa sababu panapotokea kuwa kuna Ibada ya ndoa, mhusika huwa anahudhuria Ibada ya kwanza
- Ilipofika jana J3, mhusika alitarajiwa kuwa angeweza keelekea Hospitalini baada ya darasa kuwa limeahirishwa kutokana na kukosekana kwa funguo; kitu ambacho nacho hakufanya tena vilevile
- Ilitarajiwa pia kuwa mhusika angeweza kwenda Hospitalini baada ya muda wa kupita muda ambao darasa lake lilikuwa linaishia, ambayo ilikuwa ni saa 4:00; kitu ambacho nacho vile vile hakufanya
MENGINE YA MUHIMU YALIYOJIRI KUTOKEA KANISANI, YANAYOHUSIANA NA TUKIO HILI LA SIMU YA USIKU WA JUMAMOSI
Kanisani kwake mhusika kuna replicas za watu halisi wafuatao; na hawa replicas ndiyo wamehisika kwenye mpango huu ambao maelezo yake yameelezewa hapo juu
- Kwa kuanzia, kuna rafiki wa kike mtoto mchanga wa mhusika anaitwa DIANA; ambaye anawakilisha mtu maarufu duniani, kutoka kwenye familia moja maarufu dunia. Kuhusiana na hili la mtoto, husika alishapiga marufuku watoto wasitumike kwenye upumbavu, lakini naona marufuku yake bado haijaleleweka; lakini muda siyo mrefu itaeleweka tu
- Mbali na huyo, kuna muumini mwingine wa kike anayemuwakilisha aliyewahi kuwa Malkia maarufu duniani (RIP); ambaye huwa anahusika sana na maswala ya MEZA YA BWANA,
- Muumini huyu vile vile yuko connected na MMILIKI WA MADHABAHU aliyepo kwenye taasisi ya mhusika, na pia Profesa wa Alhamis; ambaye ni mmiliki wa structures za barabarani kwenye eneo jirani na anapoishi MMU, zile za mwaka 2024
- Mwingine ni MR X ambaye yeye yupo ofisini na pia Kanisani kwake mhusika, akiwa ni wajina wa mfalme (KING) maaraufu duniani
- Mwisho ni Profesa wa Alhamis; wajina wa MR X. Profesa huyu ndiye aliyepelekea matuta yake ya barabarani yaliyowahi kujengwa mwezi April 2024, kuwa updated na structure nyingine mpya iliyojengwa jirani na ofisi ya MMU
Kwa hiyo mojawapo wa wafalme waliotajwa kwenye Kitabu cha Wafalme (KINGS) ni Mungu mwenyewe; na hii ndiyo nafasi wanayoshikilia kijambazi MR X na Profesa wa Alhamis; baada ya kuwa wamejipachika attributes za Mfalme maarufu duniani
Mhusika atafurahi sana iwapo mara baada ya kustaafu, siku moja atapata nafasi mahali fulani ya kutumika kama Mtumishi wa Mungu!!!
MADA ZINGINE AMBAZO BADO ZINAENDELEA NA PIA ZITAKAZOFUATA
- The most connected individual; mu-Europe
- Wahusika wa bwala la maji mengi ndani ya jengo la Idara
- Structure mpya iliyojengwa jirani na ofisi la Mkuu wa Major Unit (MMU) na uhusiano wake na sub-code ya “Gamma-Kappa”