UPDATE: TUESSDAY, 05TH AUGUST 2026
CODE YA “KILL….” INAENDELEA
UHAKIKI ULIOFANYIKA OFISINI KWA MHUSIKA: MAMBO MUHIMU YALIYOJIRI KANISANI KWAO MHUSIKA WIKI CHACHE NYUMA KABLA YA UHAKIKI KHUO KUFANYIKA
MOSI: JUMAPILI YA TAREHE 05/07/2026 AMBAYO KINARA WA MATANGAZO (KWM) ALILITEMBELEA KANISA KWA AJILI YA HUDUMA
Kwa mara ya kwanza, gari yenye namba za usajili EES ilionekana Kanisani, na baadaye wiki mbili mbele gari hii ilikuwa replaced na gari nyingine yenye namba za usajili ESS
Utafiti wake mhusika kuhusiana na gari hizi, umemuonyesha kuwa mara zote, zimekuwa zikipaki kwenye eneo ambalo ni MTALO; ila ukiwa ni MTALO ambao hauonekani kwa macho. Sehemu ambayo zimekuwa zikipaki, haina MTALO isipokuwa ina uhusano wa karibu sana na MTALO kutokana na kuwa ni sehemu ambayo
MAJI MENGI ya mvua ambayo hushuka chini yakitokea juu ya paa la jengo pindi mvua zinapokuwa zinanyesha, hudondoka chini kwanza kabla hayajasambaa chini na kuanza safari ya kuelekea kwenye MTALO.
Mbali na haya, katika kujaribu kuya-refer matukio mengine mengi ya kipindi cha nyuma yanayohusiana na mmiliki wa gari hizi, matukio hayo yameonyesha pasipo shaka kuwa karibia mara zote pale mhusika anapokuwa amewasili Kanisani na kupaki gari lake kwa muda nje ya uzio wa Kanisa na hatimaye kubahatika kukutana au kumuona kwa mbali mama mmiliki wa gari hizi naye akiwa yupo nje ya uzio wa Kanisa; mara zote mhusika huwa anamuona au kukukutana naye kwenye sehemu iliyo na MTALO au iliyo jirani kabisa na MITALO; mitalo hii ikiwa ni ile iliyopo nje ya uzio wa Kanisa.
Kwa mifano michache tu katika kufafanua swala hili ni kama ifuatavyo:.
Kuna siku ilitokea mhusika akawa amepaki nje ya uzio wa Kanisa na alipaki gari lake sambamba na MTALO wa maji.
- Mara tu baada ya kuwa ameshuka kwenye gari, mama huyu naye aliwasili ghafla jirani na eneo lile akiwa na gari Saloon nyeupe yenye namba za usajili DQM.
- Siku nyingine tena mhusika alishuka kwenye gari, na siku hiyo alipaki kwenye mtalo vile vile, na mara tu baada ya kuwa ameshuka, kwa mbele jirani na kona ya kushoto kama unatokea kwenye Kanisa lililo jirani unaelekea ndani ya Kanisa husika, alimuona mama huyu akiwa yupo anaongea na watu waliokuwa kwenye gari aina ya RAV4 nyeupe ambayo nayo ilikuwa imepaki kwenye MTALO wa upande wa ng’ambo ya pili ya barabara.
Baada ya mhusika kuwa amekaribia sehemu ile, watu aliokuwa anaongea nao walifunga vioo, possibly kupisha ili inzi apite kwanza; na kwa sababu siku hizi vioo ni tinted, hakuweza kuwafahamu watu ambao mama huyo alikuwa anaongea nao. Evidence ambazo mhusika amekuwa akizipata kwa siku za hivi karibuni, zinaanza kuonyesha kuwa mama huyu ndiyo anaweza akawa yuko linked zaidi na mambo ya MTALO Kanisani hapo kuliko waumini wengine amabo wamekuwa waki-trend kabla yake
Tukio jingine ni kwamba tangu siku ya kwanza mhusika alipobahatika kuiona gari yenye namba za usajili DQM ikiwa pamoja na mama huyu, tangia siku hiyo mhusika hajawahi kuiona tena gari hiyo ndani ya uzio wa Kanisa, ikiwa imepaki kwenye eneo jingine lililo tofauti na maeneo aliyayaelezea hapo juu na halikadhalika; gari zingine ambazo anamiliki mama huyu
Vinginevyo yupo pia mama mwingine ambaye aliwahi kufiwa na mume wake miaka michache iliyopita; mwanaume yule ambaye aliwahi kuwa Kiongozi wanaume. Mama huyu anaonekana kuwa yuko coordinated na huyu mwingine mwenye gari hizi zilizoelezewa hapo juu
- Baada ya kufiwa mama alipotea ghafla Kanisani, isipokuwa kwenye Ibada kama mbili hivi ambazo mhusika aliwahi kumuona zinazopishana interval ya angalau mwaka, moja ikiwa ni ile ambayo alitambulishwa mbele ya waumini kuwa alikuwa amepata msiba, na nyingine tena ya pili.
- Baada ya gari hizi mbili kuanza kuonekana Kanisani, mama huyu ameshaonekana Kanisani mara mbili, na mara ya kwanza ilikuwa ni J2 ya tarehe 12/07/2026; ambayo alionekana akipita na gari lake na kwenda kupaki mwishoni kabisa mwa MTALO, opposite na jengo la Makao Makuu
Ilikuwa ni kwenye kipindi ambacho Ibada ya kwanza ilikuwa imemealizika na wengi wa waumini waliokuwa kwenye Ibada ya kwanza walikuwa wameshatoa magari yao nje. Muda huu ndiyo ule ambao mama huyu aliiningia Kanisani na mhusika alidhani kuwa amehudhuria Ibada ya pili lakini wakati wa Ibada ulipofika, mama huyu hakuonekana kwenye Ibada; na hata baada ya Ibada kumalizika, mhusika hakufanikiwa kumuona tena mama huyu. Wakati alipokuwa anapita kuelekea kwenye parking, gari la mwenzake lenye namba za usajili ES lilikuwa bado lipo kwenye parking yake ya MTALO
J2 nyingine ya mwisho ambayo mhusika alibahatika kumuona tena mama huyu, ni J2 iliyopita ya tarehe 09/08/2026.
Kwa hiyo mtu anaweza kuona namna frequency ya mama huyu inavyoelekea kubadilika kwamba ndani ya kipindi hiki cha sasa kisichozidi
mwezi mmoja, mhusika amebahatika kumuona
mara mbili na wakati huo huo, ndani ya kipindi kilichopita kisichopungua
miaka miwili, mhusika amebahatika kumuona
mara mbili vilevile
UTAFITI HUU WA MHUSIKA KUHUSIANA NA MTALO UKIUHUSISHA VILE VILE NA SEHEMU AMBAZO GARI LA KM-A HUWA LINAPAKI SIKU ZOTE
Theory inayotokana na utafiti huu inaonyesha pasipo shaka kuwa karibia mara zote gari la KM-A limekuwa likipaki kwenye MTALO ukizingatia location za parking zake za siku zote ambazo huwa linapaki Kanisani hapo
PILI: TAREHE ZA MATUKIO MUHIMU KANISANI KUANZIA J2 YA TAREHE 12/04/2026
Ikumbukwe kuwa kwenye mwaka huu wa 2026, baadhi ya miezi iliyo na Kalenda zinazofanana ni
APRIL, JULY na
SEPTEMBER. Miezi hii mitatu Kalenda zake zimefanana japo si miezi pekee ndani ya mwaka huu wa 2026, ambayo Kalenda zake zinafanana; ipo miezi mingine pia kama vile Febrari na March
J2 hii ya tarehe 12/04/2026 ilikuwa ndiyo J2 ya mwisho ambayo Ibada ilifanyikia kwenye Kanisa jipya. Kuanzia J2 iliyofuata ya tarehe 19/04/2026, ibada zilihamia kwenye Kanisa la zamani na matukio yafuatayo yalitokea kwenye tarehe zilizoonyeshwa
J2 YA TAREHE 26/04/2026
- Viongozi wote wa Kanisa A walipandishwa juu ya Madhabahu ya zamani na kuwekwa wakfu upya
- Kundi la baadhi ya watoto Kanisani hapo liliwekwa wakfu pia
J2 YA TAREHE 05/07/2026
Kinara wa Matangazo (KWM) alifika kwa ajili ya huduma ya Ibada Kanisa A, tukio ambalo tayari limeshaelezewa hapo juu
- Kwenye J2 hiyo hiyo vile vile, mwenza wa KM-A alisimikwa kuwa Mchungaji
- Gari mbili ngeni zenye namba za usajili wa EES na ESS ambazo mhusika tayari ameshaziongelea hapo juu, zilianza kuonekana Kanisani
J2 YA TAREHE 26/07/2026
- Viti vipya vilitangazwa kuwasili Kanisani vikitokea nje ya nchi
- Tarehe iliyosemekana kuwa ni ya UZINDUZI WA JENGO, nayo ilitangazwa kuwa ni 26/09/2026
Maelezo kuhusiana na attributes za jina la kiongozi aliyetangazwa kuwa ndiye atakayekuja kuzindua jengo, zitafuata baadaye
KUHUSIANA NA MAMA MWENZA WA ALIYEWAHI KUWA KIONGOZI WA ZAMANI (RIP) WA KANISA HILO
Mama Mchungaji wa Kiongozi wa zamani aliyewahi, kiongozi yule ALIYEWAHI kumuachia nafasi kiongozi huyu aliyepo sasa baada ya kufariki, alionekana tena Kanisani kwa mara ya kwanza siku hiyo baada ya kuwa amepotea kwa siku nyingi sana
Siku hiyo, mama huyu aliambatana na muumini mwingine kijana wa kiume Kanisani hapo ambaye; baada ya J2 hiyo kuwa imepita, kijana huyo hakuonekana tena Kanisani hapo hadi ilipofika J2 iliyopita ya tarehe 09/08/2026 Anaweza pia kuwa alikuwepo Kanisani ila alibadilisha muda wa Ibada
Utafiti wake mhusika unamuonyesha kuwa
uwepo wa mama huyu mke wa kiongozi wa zamani wa Kanisania, kwenye Ibada ya J2 ya 26/07/2026 ndiyo ule uliopelekea kwenyenwiki iliyofuata baada ya J2 hiyo, kuwepo kwa tukio la uhakiki ofisini kwa mhusika, na maelezo yake ya kina yanafuata muda mfupi baada ya taarifa zilizopo kwenye kipengele kinachofuata kuwa zimekamilika
J2 ILIYOPITA YA TAREHE 09/08/2026
Matukio yaliyojiri Kanisani kwenye J2 iliyopita ya tarehe 09/08/2026;
J2 ambayo KM-A hakuwepo tena Kanisani, ukiyaunganisha na yale ambayo yalikuwa tayari yameshatokea ofisini kwake mhusika kwenye wiki za mwezi uliopita wa Julai, yanaonyesha pasipo shaka kuwa
tukio la uhakiki wa vyeti ofisini kwa mhusika, lilitokana na ujio wa Mama mwenza wa marehemu kiongozi aliyepita, aliyefuatiwa na kiongiozi huyu huyu aliyepo sasa
MATUKIO MUHIMU YALIYOJIRI OFISINI KWA MHUSIKA KWA WAIKI ZA HIVI KARIBUNI LIKIWEMO LA UHAKIKI
Kwa kuanzia; mhusika anaomba
waumini wa Kanisa A wacheki kujiridhisha kama hakuna kaburi la mtu aliyewahi kuzikwa ndani ya uzio wa Kanisa A; na possibly baadaye aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi, kaburi hilo kutelekezwa na hatimaye kupotea kabisa lisiweze kuonekana
Kama kaburi hilo lipo au liliwahi kuwepo, basi litakuiwa lilikuwa kwenye sehemu ile iliyo jirani na MTALO. Details alizo nazo mhusika zinamuonyesha kuwa kuna possibility ya uwepo wa Kaburi la mtu ndani ya uzio wa Kanisa hilo, na kama litakuwepo basi uwezekano mkubwa litakuwa ni la yule aliyewahi kuwa Mchungaji wa zamani wa Kanisa hilo ambaye ni mume wa mama aliyefika Kanisani hapo J2 ya tarehe 26/07/2026; J2
ambayo viti vipya vilitangazwa kwa mara ya kwanza, kuwasili kanisani hapo
CODE YA “KILL….” INAENDELEA