Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,811
- 7,561
- Thread starter
- #2,901
BAADA YA KUKABIDHIWA BARUA YA KUFUKUZWA KANISANI, MHUSIKA ALINYOOSHA MOJA KWA MOJA HADI NYUMBANI KWAKE AKATULIA
DOKEZO MUHIMU:
Mwanafunzi aliyefariki akiwa yupo field huko Mbeya, alifariki baada ya BAADHI ya wanafunzi wenzake kuwa wameshambuliwa kupitia MORPHOLOGY za majina yao
Somo la uanafunzi na maandiko lililofundishwa kwa mara ya kwanza J2 hiyo kutoka kwenye Kitabu cha Esta, liliwahusu HAMANI na MODEKAI ambao nao pia, waliwahi kuingia kwenye mgogoro uliopelekea HAMANI kumwandikia Barua mfalme akitaka Wayahudi wote wauawe akiwemo MODEKAI
HUYU HAMANI ALIKUWA NI NANI
Kwenye Kitabu cha Esta, Hamani alikuwa mkuu wa wakuu au waziri mkuu katika ufalme wa Uajemi chini ya Mfalme Ahasuero. [1, 2, 3]
Maelezo Muhimu Kumhusu Hamani
Katika Kitabu cha Esta, Hamani aliandika barua ya amri ya kifalme (tamko au dikrii) ya kuangamiza na kuua Wayahudi wote waliokuwa wanaishi katika ufalme wa Uajemi. [1, 2]
Barua hii ilikuwa na sifa na maelezo yafuatayo kufuatana na Esta 3:12-15:
MAONI BINAFSI YA MHUSIKA KUHUSIANA NA SOMO HILO
Somo hili lilikuwa na ANALOGY fulani na matukio ambayo yamekuwa yakiendelea hapo Kanisa A; ukizingatia kwenye kipindi kile cha ajali ya ndege ya Bukoba yalitumika mafungu kutoka kwenye Biblla, mojawapo ni lile linalohusiana na Yesu kupaa Mbinguni. Fungu hili la Yesu kupaa mbinguni, liliwakilisha ndege iliyowahi kupata ajali, kupaa juu, na lile la Yesu kurudi tena duniani baada ya siku 50 safari hii akiwa kwenye nafsi nyingine ambayo ni Roho Mtakatifu, liliwakilisha ndege iliyopata ajali wakati wa kushuka. Huyu Roho Mtakatifu alishuka siku ya Penetekoste wanafunzi wake walipokuwa wapo mahali pamoja wakisali NA ALIENDELKEA KUSHUKA, na pia vile vile, NDEGE ILIYOWAHI KUPATA AJALI, nayo ilishuka siku ya J2 waumini walipokuwa wapo mahali pamoja makanisani wakifanya Ibada
Mara baada ya AJALI kutokea, alipatikana shujaa MAJALIWA
Kuna analogy kati ya kle kilichowahi kufundishwa lkwenye somo hilo siku ya J2 ya tarehe 30/08/2026 na yale ambayo yamekuwa yakiendelea Kanisani hapo
KUHUSIANA NA EL-NINO: KINGINE CHA MUHIMU CHA KUKUKMBUKA PIA KUHUSIANA NA EL-NINO; AMBACHO WATU HAWATAKIWI KUKIPOTEZEA
Neno EL-NINO ni SUPERKEY ya neno "El" ambalo linamaanisha Mungu, na neno "METEOROLOGY" ni SUPERKEY ya neno meter, na pia linabeba attributes za “--ORO-.” Neno meter ni mojawapo ya SI units ya fundamental quantities; quantities ambazo ziko connected na aina zote za mada na hivyo meter ni SUPERKEY ya mada za aina zote (matter)
UPNEXT: ANALOGY NYINGINE KUTOKA KWENYE SOMO LA SIKU HIYO INAYOHUSIANA NA SAFARI YA MR X YA KAHAMA (KAHAMA??!!!!, HAMANI??!!!!)

- Wanafunzi walioshambuliwa kwanza ni wale ambao majina yao ni SUPERKEY za maneno kama MTO na pia RIVER
- Binti aliyekuwepo Kanisani J2 ya tarehe 30/08/2026, akiwa anatamka mara kwa mara jina la sehemu moja iliyopo huko Mororgoro ambayo jina lake linafanana na neno MATAMBO, alikuwa anataja neno hilo kwa sababu ni SUPERKEY ya neno MTO; na chances ni kwamba hadi kufikia siku hiyo, alikuwa anazo tayari taarifa za msiba wa mwanafunzi uliokuwa umetokea huko Mbeya
Somo la uanafunzi na maandiko lililofundishwa kwa mara ya kwanza J2 hiyo kutoka kwenye Kitabu cha Esta, liliwahusu HAMANI na MODEKAI ambao nao pia, waliwahi kuingia kwenye mgogoro uliopelekea HAMANI kumwandikia Barua mfalme akitaka Wayahudi wote wauawe akiwemo MODEKAI
HUYU HAMANI ALIKUWA NI NANI
Kwenye Kitabu cha Esta, Hamani alikuwa mkuu wa wakuu au waziri mkuu katika ufalme wa Uajemi chini ya Mfalme Ahasuero. [1, 2, 3]
Maelezo Muhimu Kumhusu Hamani
- Cheo Chake: Alipandishwa cheo na kuwa mshauri mkuu au waziri mkuu, akawa na mamlaka makubwa kuliko maakida wengine wote. [1, 2, 3, 4]
- Asili Yake: Alikuwa Mwagagi (mwana wa Hamedatha Mwagagi), jambo linalomuunganisha na kabila la Waamaleki, maadui wa zamani wa Waisraeli. [1, 2]
- Uhasama na Mordekai: Alikasirika sana na kutaka kumwangamiza Mordekai (binamu na baba mlezi wa Esta) kwa sababu Mordekai alikataa kumwinamia au kumpigia magoti. [1, 2]
- Mpango Mbaya: Alipanga kuwaua Wayahudi wote waliokuwa katika ufalme wa Uajemi kwa kupiga kura iliyoitwa Puri. [1, 2]
- Mwisho Wake: Mipango yake iligunduliwa na Malkia Esta na Mordekai, hatimaye Hamani aliuawa kwa kutundikwa kwenye ule mti aliomwekea tayari Mordekai
Katika Kitabu cha Esta, Hamani aliandika barua ya amri ya kifalme (tamko au dikrii) ya kuangamiza na kuua Wayahudi wote waliokuwa wanaishi katika ufalme wa Uajemi. [1, 2]
Barua hii ilikuwa na sifa na maelezo yafuatayo kufuatana na Esta 3:12-15:
- Lengo la Barua: Amri ya kuwaharibu, kuwaua, na kuwafisha Wayahudi wote—vijana kwa wee, watoto wachanga na wanawake pia—kwa siku moja, na kuchukua mali zao kama nyara.
- Mamlaka: Iliandikwa kwa jina la Mfalme Ahasuero na kupigwa muhuri kwa pete ya kifalme ili isitangulike (isiweze kufutwa).
- Lugha na Maandishi: Iliandikwa na kutafsiriwa kwa kila jimbo kulingana na mwandiko wake na kila taifa kwa lugha yake.
- Tarehe ya Maangamizi: Barua ilitaja tarehe rasmi ya mauaji hayo kuwa ni siku ya 13 ya mwezi wa 12 (mwezi wa Adari). [1, 2]