MAELEZO YA UTANGULIZI KUHSIANA NA UJIO WA MGENI HUYU MRK MAZINGIRA YA OFISINI KWA MHUIKSA
Siku aliyofika mgeni huyu MRK mazingira ya ofisini kwa mhusika, ndiyo siku ile ile ambayo mhusika alikuwa amepitia ofisini na kukuta barua aliyoandikiwa na mamlaka za juu, aiidaiwai pango la nyumba, fedha isiyopungua
TZS 2,000,000/= na ambazo alitakiwa kuzilipa kupitia Benki; madai ambayo alishawahi pia kuyaongelea hapo awali kwenye baadhi ya post zake ikiwemo hii hapa
#321
Mgeni huyu MRK alifika maeneo ya ofisini na kuanzia MASJLA KUU, jengo la UTAWALA, na hatimaye kuelekezwa idarani kwa mhusika. Kwa kipindi hicho cha wakati wa likizo mhusika alikuwa anakuwa na ratiba za kwenda Kanisani kila wiki siku zaJ5 na Ijumaa kwa ajili ya Ibada, na kawaida alikuwa anafika Kanisani kuanzia saa 6 na kuondoka jioni kabla ya saa moja usiku
Kwa hiyo mgeni huyu siku hiyo aliwasili mazingira ya ofisini kwa mhusika na kumkuta mhusika amepita tu ofisni akielekea Kanisani. MR X alimchukua MRK na kumfikisha hadi Kanisa A, ambapo walimkuta mhusika akiwa bado yupo kwenye Ibada, hali iliypelekea mgeni amsubirie mwenyeji wake, wakati huo akiwa amewekwa kwa muda chini ya uenyekjie wa derevea wa KM-A
KILICHOTOKEA BAADA YA IMHUISKA KUTOKA KWENYE IBADA
- Mhusika alikutanishwa na mgeni wake na baada ya hapo, wawili hao waliachwa wakaendelea na maongezi yao
- MRK alimweleza mhusika kuwa alikuwa anahitaji msaada kiasi, ambapo mhusika alikubali kusaidia sehemu ya hitaji lake
- Baadaye ya maongezi hayo, wawili hawa walibadilishana namba za simu na kukubaliana kuwa watawasiliana zaidi
- Mhuiska alipotaka kuondoka ikaonekana hata MRK naye alikuwa anaelekea njia hiyo hiyo, kwa hiyo ikabiidi mwenyeji ampe lift mgeni wake
- Walipokuwa njiani, MRK akaeleza kuwa ana uhitaji mkubwa sana na wa haraka, hali iliyopelekea mhusika kumchukua MRK hadi maeneo ya Savei, japo kawaida MRK alitakiwa kuishia kwenye kituo cha magari Mlimani City ili kuanzia pale tena achukue magari ya kuelekea Morogoro Road
Mhusika alimchukua MRK hadi Savei dukani kwa jamaa zake, akachukua pale hela laki moja na kumkabidhi MRK na hatimaye kumrudisha kwenye kituo cha Mlimani City na kumuacha pale akaendelea a safari ya kurudi kwake
…………….inaendelea