Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #681
KUHUSIANA NA MADAI YA FEDHA ZAKE PAMOJA NA STAHIKI ZINGINE KUTOKANA NA KUWA ANASHUSHWA NGAZI NA ALIYOWAHI KUYATOLEA MAELEZO HUMU JUKWAANI
Madai hayo hajawahi kulipwa hadi leo. Kwa ujumla hakuna chochote ambacho kimeshafanyika hadi leo hii kuhusiana na madai yake yote, yakiwemo ya cheo pamoja na maslahi ya fedha
Mwanzoni mwa mwezi April 2021, aliandika barua zingine tena kwa kutumia anwani sasa iliyokuwa inasemekana kuwa ni sahihi, baada ya zile za mwanzo kuwa zimerudishwa katikati ya Januari 2021
Possibly hati ya kiapo ile aliyowahi kujaza mwaka 2015 ilikuwa imepotea kwenye faili, hakuuliza sababu kwa nini alitakiwa tena kujaza hati hiyo ya kiapo
Kwa hiyo kwenye hati hii ya pili, MWI alikuwepo na alimwelekeza kuaajza cheo kidogo cha nyuma, nai cheo hicho ndiyo kikawa kina mshahara mkubwa kidogo kuzidi ule aliokuwa nao wakati akiwa na cheo kikubwa
Kwa hiyo, cheo kile alichowahi kunyang’wanywa mwaka 2012 hajawah kurudishiwa hadi leo na vile vile

- Safari hii hakuwapa kopi barua hizo wakuu wengine wa taasisi kwa sababu zile alizokuwa amewahi kuwapa, mwanzo zilikuwa na maelezo yaleyale isipokuwa anwani zake tu ndiyo zilizokuwa tofauti na hizi za april 2021
- Mpaka leo hii, bado hajaweza kupata majibu ya barua hizo, na hivyo hajawahi kulipwa chochote kama stahiki zake
- Ya kwanza aliomba arekebishiwe cheo na hivyo arudishiwe cheo chake alichowahi kunyang’anywa baada ya kuwa amepandishwa daraja Julai 2012
- Ya pili aliomba alipwe malimbikizo yake kufuatana na marekebiisho aliyoomba yafanyike kwa kutumia barua ya kwanza, yaani ile ya marekebisho ya cheo chake
- Kuanzia Mwezi wa 12, 2012 alianza kulipwa mshahara wenye ongezeko kidogo, ila wa cheo cha kidogo kuliko kile alichokuwa amelazimishwa kuwa nacho baada ya kunyang’anywa kile alichowahi kupandishwa Julai 2012
- Kwa hiyo cheo cha mwanzo kilikuwa KIKUBWA Iila chenye mshahara MDOGO na kwa sasa inasemekana yuko kwenye cheo KIDOGO kuliko kile cha mwanzo, ila msahara wake ni MKUBWA kiasi kuzidi ule wa cheo kikubwa alichokuwa nacho awali
- Hakuna barua yoyote aliyandikiwa na kuisaini kuhusiana na marekebisho haya mshahara huu mkubwa kiasi, ni ya kulazimishwa
- Hajawahi kupatai Salary slip tangu mwaka 2018, huwa anaona NET PAY tu wenye aacont yake ya benki
Possibly hati ya kiapo ile aliyowahi kujaza mwaka 2015 ilikuwa imepotea kwenye faili, hakuuliza sababu kwa nini alitakiwa tena kujaza hati hiyo ya kiapo
Kwa hiyo kwenye hati hii ya pili, MWI alikuwepo na alimwelekeza kuaajza cheo kidogo cha nyuma, nai cheo hicho ndiyo kikawa kina mshahara mkubwa kidogo kuzidi ule aliokuwa nao wakati akiwa na cheo kikubwa
Kwa hiyo, cheo kile alichowahi kunyang’wanywa mwaka 2012 hajawah kurudishiwa hadi leo na vile vile
- Hajawahi kupanda cheo tena tangu wakati huo
- Hajawahi kulipwa arrears wala malimbikizo yoyote yale ya mshahara tangu kipindi hicho cha mwaka 2012 hadi leo hii