………………………..inaendelea
USHAHIDI WA MASHAMBULIZI YA MADHABAHU YA KANISA A AMBAYO YAMESHAWAHI KUFANYIKA HUKO NYUMA…….,
Ushahidi wa mashabubulizi ya aina hii upo mwingi na ni pamoja pia na kwenye Ibada za katikati ya wiki. Angalau mara moja au mara mbili, kuna baadhi ya
mafundisho ya J5 ambayo yaliwahi kuonyesha dhahiri kabisa kuwa KM-A alisimama kufundisha masomo hayo ya katikati ya wiki, akiwa anamponda YESU na kumsifu shetani
Katika hili la mafundisho ya ajabu, kuna siku mhusika hadi ilipelekea akaondoka kwenye kipindi cha Ibada ya jioni ya J5, kilichokuwa kinaendeshwa na KM-A, baada ya kuona fundisho alilokuwa anafundsha kwa wiki pili mfululizo, lillikuwa linamsifu shetani na kumponda Yesu. Nadhani ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2018, ilikuwa ni muda mfupi tu baada ya mhusika kuwa amerudi kutoka uhamishoni KANISA B
TUKIO LA HIVI KARIBUNI KABISA LENYE USHAHIDI WA MASHAMBULIZI YA AINA HII KWENYE MADHABAHU
Hili ni lile lililotokea mwaka jana mwishoni au mwanzoni mwa mwaka huu. Wakati tukio hili lianatokea, taarifa za kwamba KM-A huwa ana kawaida ya kupotea madhabahuni halafu anakuja kupanda tena baada ya mtu mwingine kuwa amesimama madhabahuni na kutamka maneno machafu, zilikuwa zimeshajulikana. Kwa hiyo baada ya kuwa amekwama, safari hii aliamua kushambulia madhabahu yeye mwenyewe peke yake kwa kutumia njia kama ilivyoelezwa hapa chini
Ikumbukwe pia kuwa hili ni mojawapo ya matukio yale ambayo ilikuwa imeshindikana kwa mtu yeyote yule kupanda JUU madhabahuni na kushambulia madhabahu akiwa akali JUU. Ili mtu ashambulie madhabahu, ilibidi aanze kwa kusimama CHINI kwanza, mbele ya madhabahu
KM-A AANZA KUFUNDSHA SOMO LA SIKU ZA KATIKATI YA WIKI (J5) LILILOHUSU MWILI NAFSI NA ROHO
Kawaida, mtu anapokuwa anafundisha somo la katikati ya wiki, huwa hafundishi akiwa amepanda juu madhabahuni, huwa anafundisha akiwa amesimama CHINI, MBELE YA MADHABAHU
- Kwa hiyo KM-a alianza kufundisha somo hili akiwa anasimama chini ya madhabahu, lengo ikiwa ni baadaye kupandisha juu madhabahuni
- Mhusika hana kumbukumbu ilichukua muda gani somo hili la J5 kugeuka na kuwa la siku zote mbili za J5 na J2 tena, lakini ukweli ni kuwa somo hili baadaye lilikuja kubadilika na kuwa la siku zote za J5 na J2
- Hii huwa siyo kawaida sana kwa somo linalofundishwa J5 kuhamia na J2 tena kwa sababu mahudhurio ya waumini katikati ya wiki huwa siyo mazuri kama ya yale ya J2 kwa sababu wengi wao huwa hawana nafasi ya kuhudhuria Ibada za katikati ya wiki
- KM-A alifanya ili apate uhalali wa kuendelea kulirudia rudia somo hilo; kwamba ilipokuwa inatekea kuwa amelifundisha J5; alikuwa anapata uhalali wa kulirudia tena J2 kwa sababu wengi wa waumini si wahudhuriaji wazuri wa Ibada za katikati ya wiki
Hapa KM-A aliamua kufanya hivi kwa sababu
- Somo hili alianza kulifundisha katika kipindi ambacho alikuwa hana uwezo wa kupandiisha JUU madhabahuni, ila alilihitaji ili baadaye limuwezeshe kupandisha JUU madhabahuni.
- Kipindi anaanza kufundisha somo hili, mbinu zake za awali ambazo alikuwa anazitumia, zile za kutumia watu wengine kwanza halafu yeye anafuata baadaye, zilikuwa zimeshajulikana na alikuwa hawezi tena kuzi-apply
- Ilimbidi abuni mbinu mpya kama hii, ya kuanzia chini ya madhabahu kwanza kwa sababu kawaida somo la J5, watumishi huwa wanalifundisha wakiwa wamesimama CHINI MBELE YA MADHABAHU
Kwa hiyo:
- Alianza kufundisha somo kwa siku zile za J5 tu kwanza ambazo kawaida halazimiki kusimama juu madhabahuni (na alikuwa anajua moyoni mwake kwa wakati huo kuwa alikuwa hawezi kusimama JUU madhabahuni), na baada ya hapo sasa alipoona upepo unakwenda vizuri, somo hilo hilo likaongezea tena za siku za J2, likawa linafundishwa J5 na J2.
- Baada ya somo hilo kuwa limehamia na siku za J2 pia, KM-A akawa sasa anatumia sehemu zote mbili, JUU YA MADHABAHU NA CHINI YA MADHABAHU, kutokana na sababu ya msingi ambayo alikuwa ameiambatanisha na somo hilo; vijana watatu ambao walikuwa ni vielelzo kwnye somo hilo na ambao wao muda wote walikuwa wanasimama CHINI MBELE YA MADHABAHU AU MBELE YA WAUMINI wakiwakilisha NAFSI, MWILI NA ROHO,
- KM-A alipokuwa akifundisha somo hilo, kwa sababu mifano ya kufundishia ilikuwa iko CHINI mbele ya madhabahu, alikuwa analazimika sasa kushuka na kupanda JUU ya madhabahu muda wote wa somo hilo
- Muda wote alipokuwa anafundisha somo hilo, alikuwa sasa anafanya zoezi la kupandisha JUU ya madhabahu
- Baada ya kuwa amelifundisha somo hilo kwa muda, hatimaye sasa akawa amefanikiwa kushambulia madhababu
- Baada ya kuwa amefanikiwa kushambulia madhabahu, akawa sasa ana uwezo wa KUPANDISIHA JUU MADAHABAHUNI
Ikumbukwe kuwa wakati anafundisha somo hili, kwa wakati huo huo alikuwa anaShambulia MWILI, NAFSI NA ROHO za waumini waliokuwa wakimsikiliza kwenye somo hilo, na baada ya kuwa amesha-TEST POTENCY YA WEAPON aliyokuwa ame-devise,
waumini hawa wakakribishwa sasa kwenye sherehe ambayo ilibidi waumini waje waalalamike Kanisani
Na kwa sababu alijua kuwa waumini hao lazima wangelalamika, AKAPANDISHA JUU MADHABAHUNI SASA KUANZIA PALE, waumini waliolalamika wakiwa wamempandisha wenyewe JUU pasipo wao wenyewe kujua, na huku wakiwa wameshambuliwa pia
Ni kweli waumini hawa walikuwa wameshambuliwa, lakini kilichompandisha juu KM-A siyo malalmiko yao bali kile alichokuwa amekkihangaikia siku nyingi tangu siku alipoanza kufundsha SOMO LA NAFSI, MWILI NA ROHO
BAADA YA KUWA AMEFANIKIWA KUPANDISHA JUU MADHABAHUNI KWA JITHADA ZAKE YEYE MWENYEWE PASIPO KUHUSISHA MTU MWINGINE
………………..inaendelea