CHRONOLOGY OF EVENTS
………………………inaendelea
KUHUSIANA NA WAKAZI WALIOWAHI KUISHI NYUMBA HIYO ILIYO YA JUU YA ILE YA MHUSIKA KUANZIA MWANZONI MWA MWAKA 2011
Mwaka 2011 hadi mwaka 2012, kwenye nyumba hiyo aliishi
kijana ambaye alikuwa bado hajaoa
- Kijana huyu alikuwa anafanya kazi ofisini kwa SMME
- Baada ya kutoka, waliingia tena watoto wa SMME na SMKE, mume na mke, ambao walikaa kuanzzia mwaka 2012 hadi mwaka 2016
Baada ya watoto wa SMME na SMKE kuondoka kwenye nyumba, ndiyo aliingia sasa JMM ambaye amekaa tangu kipindi hicho hadi leo
Kipindi JMM alipokuwa bado anatoka nyumbani asubuhi na kuelekea kazini, alikuwa anafanya kazi kwenye idara moja na
Mkuu wa Taasisi aliyepita, kabla ya huyu aliyepo sasa, yaani JMM alikuwa anafanya kazi idara moja na bosi wake SMME; kiongozi ambaye kwenye uongozi wa Taasisi nyuma yake alikuwa anafuatiwa na SMME
Kwa hiyo tangu 2011 hadi leo,
watu ambao wamekuwa wakikaa kwenye nyumba hiyo ni wale walio na uhusiano wa karibu tu na SSME
BAADA YA WATOTO WA SMME NA SMKE KUWA WAMEHAMIA KWENYE NYUMBA HIYO:
MAJI YA BAFUNI NYUMBANI KWA MHUSIKA YALIKATIKA GHAFLA TU NA HAYAJAWAHI KURUDI HADI LEO HII
Muda mfupi tu baada ya wakazi hawa wapya kuwa wamehamia kwenye nyumba hiyo, mhusika alikatiwa maji bafuni na hayajawahi kurudishwa hadi leo
Ikumbukwe kuwa maji hayo hayakukatika wakati mafundi walipokuwa wanafanya ukarabati bali yalikuja kukatika siku kadhaa mbele baada ya wakazi wapya kuwa wamehamia kwenye nyumba hiyo, mafundi wakiwa tayari walishamaliza kazi yao na kuondoka
Kwa hiyo kwa hali hii, inaonyesha kuwa
kuna MTU AMBAYE SI FUNDI alikuja baadaye kukata maji ya bafuni kwa mhusika siku kadhaa mbele, baada ya mafundi kuwa wamemaliza ukarabati na kuondoka
KUKATWA MAJI KWA MARA YA PILI TENA NYUMBANI KWA MHUSIKA MWAKA 2018, SAFARI HII YAKIWA NI YALE YA JIKONI
Maji ya bafuni yakiwa tayari yalishakatwa tangu mwaka 2012, mwaka 2018 yalikatwa tena yale ya jikoni
na hivyo kupelekea nyumba nzima ya mhusika kukosa maji
Baada ya hapo, mhusika aliishi bila maji kwenye nyumba nzima tangu mwaka 2018 hadi mwaka 2021 ikiwa ni zaidi ya miaka mitatu; kwa kufata reference ya miezi ambayo maji hayo yalikatwa na kurudishwa tena
Wakati maji haya yanakatika kwa mara ya pili mwaka 2018, hapakuwa na ukarabati wowote uliokuwa umewahi kufanyika kwenye jengo na hivyo inaonyesha pia kuwa
kuna MTU AMBAYE SI FUNDI, ambaye alikata tena maji nyumbani kwa mhusika
BAADA YA MAJI KUWA YAMEKATIKA NYUMBA NZIMA KWA ZAIDI YA MIAKA MITATU:
SIKU MAJI HAYO YALIPOKUWA YANARUDISHWA TENA UPANDE WA JIKONI MWAKA 2021; NI NYUMBA YA JMM TU NDIYO ILIHUSIKA KWENYE MCHAKATO WA URUDISHAJI MAJI HAYO NYUMBANI KWA MHUSIKA
Siku hiyo, mama mwingine jirani (siyo mke wa JMM), alimtaarifu mhusika kuwa mafundi watakuja kumrudishia maji maji kesho yake na hivyo kumuomba mhusika awepo nyumbani wakati mafundi hao watakapokuwa wamefika
Kesho yake, mafundi hao walifika kwenye muda ambao si wa saa za kazi, yaani walikuja baada ya saa 10, na mhusika alirudi kutoka kazini na kuwakuta wakiwa bado wananaendelea na kazi kwenye muda wa karibia saa 12 jioni
Mhusika hakuwa amepewa taarifa za muda wa ujio wa mafundi hao ba wala hakuitwa muda walipowasili na ndiyo maana alidhani kuwa pengine waliahirisha
- Hata hivyo alifurahi kuwakuta wapo wanaendelea na kazi na mengi yaliyojiri kwenye siku hiyo, mhusika atayaeleza naadaye
- Kwa kifupi tu ni kwamba mafundi hao walifanikiwa kurudisha maji nyumbani kwa mhusika, huku wakiacha MAJI MACHAFU, yakitirirka upande wa jikoni kwa mhusika, kutoka nyumbani kwa JMM
Maji hayo yaliendelea kulitirikia nyumbani kwa mhusika kwa takribani wiki moja au mbili hivi, kabla mafundi hao hawajarudi tena na kuyafunga
Mafundi hao walikuwa wametoka nje ya Taasisi na hivyo inaonyesha kuwa mafundi hawa waliletwa kama gheresha tu isipokuwa
kuna MTU AMBAYE SI FUNDI, ambaye alirudisha maji hayo nyumbani kwa mhusika
KUHUSIANA NA MAJI MACHAFU AMBAYO YAMEKUWA YAKITIRISHWA NA JMM KWA TAKRIBANI MWAKA MZIMA, KWA MWAKA HUU WA 2023
Baada ya maji machafu yaliyokuwa yanatirrika mwaka huu kutokea nyumbani kwa JMM kupitia bafuni kwa mhusika kukoma , yale
MAJI MENGINE MACHAFU KUTOKEA NYUMBANI KWA JMM KUPITIA JIKONI KWA MHUSIKA YENYEWE HAYAKUKOMEA WAKATI HUO BALI YALIENDELEA KUTIRIRKA NA YAMEENDFELEA KUTIRIRKA KWA MFULULIZO KUTOKEA KIPINDI HICHO HADI WIKI ILIYOPITA Desemba 21/12/2023
Kwa sasa, maji hayo yana
siku nne au tano tangu yalipoacha
kutirika kupitia jikoni kwa mhusika, na yamekuwa yakitirirka tangu miwshoni mwa
March 2023 kabla ya Pasaka ya April 2023
Hii naonyesha pia kuwa hakuna fundi yoyote aliyefika na kufanya ukarabati wa kuyazuia maji hayo kendelea kutiririka, hali inayoonyesha
kuwa kuna MTU AMBAYE SI FUNDI, ameyafunga maji hayo, ambaye amekuwa akiyatirirsha maji hayo kwa muda usiopungua miezi minane,
…………………..itaendelea
UP NEXT:
- PATTERN NZURI SANA ILIYOPO YA KUPUNGUA NA KUONGEZEKA KWA UMEME WA PLATES ZA JIKO LA UMEME LA MHUSIKA
- SHOTI YA KWANZA KABISA YA UMEME NYUMBANI KWA MHUSIKA TANGU MHUSIKA AANZE KUSHI KWENYE NYUMBA HIYO, ILIYOTKEA USIKU WA KUAMKIA J3 YA KRISMAS TAREHE 25/12/2023
- PATTERN NZURI SANA ILIYOPO YA KUKATIKA MARA KWA MARA NA KURUDI MARA KWA MARA KWA MAJI YA JIKONI NYUMBANI KWA MHUSIKA
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA