UPDATE: THURSDAY 28th MARCH 2024
MAMBO MAWILI MUHIMU AMBAYO MHUSIKA ANAPENDA KUYAONGELEA LEO
MOSI: KUHUSIANA NA SEMINA YA ROHO MTAKATIFU ILIYOFANYIKA FEBRUARY 2012
Semina hii ilikuwa ya kwanza kabisa tangu mhusika aokoke, na alikuwa na takribani miezi 9 tangu siku alipookoka
- Ilimchukua mhusika miezi 6 kamili au nusu mwaka, tangu aanze kwenda Kanisani hadi siku alipokata shauri na kuamua kuwa mlokole
- Assuming Semina hii ingeletwa Kanisani baada ya mwezi mmoja au miwili tangu alipoanza kwenfda kanisani, uwezekanao mkubwa ulikuwa ni kwamba mhusika angeokoka ndani ya kipindi hicho cha mwezi mmoja au miwili
Semina hii haikuweza kuja ndani ya muda huo mfupi kwa sababu ilikuwa inasubiria mhusika aokoke kwanza halafu ndiyo iweze kufanyika
Semina hii isingeweza kufanya kile kilichokuwa kimekusudiwa kama ingeletwa kabla mhusika hajaokoka
PILII: KUHUSIANA NA TATAIZO ALILOKUWA AKILILALAMIKIA MARA KWA MARA KUWA KILA ILIPOKUWA INATOKEA AKAENDESHA GARI KWA REVERSE AKIWA ANATOKA NJE YA UZIO WA KANISA BAADA YA IBADA KUMALIZIKA, AJALI MBAYA SANA ZILIKUWA ZINATOKE
Ajali hizi zilikuwa zinatokana na kile kilichofanyika kwenye DNA zake, mlango huo ulikuwa umekuwa connected na REVERSE MOVEMENT kupitia DNA zake
Kulikuwa na mlango kwenye DNA ambao ulikuwa unatumika ku-manufacture ajali na
FORMULA ZA NAMNA YA KUUTUMIA MLANGO HUO ZILIKUWA ZINATENGENEZWA NA WAHUSIKA WENYEWE, huku mojawapo ya fomula hizo ikiwa ni mhusika kuendesha gari kwa REVERSE GEAR
J2 iliyopita ya tarehe 24/03/2024, yule mama wa siku zote mwenye Harrier; alimsubiria tena mhusika kwa maukusudi pale getini, na alipotaka kuingia, yule mama ndiyo akaanza kutoka, akimlazimisha mhusika kurudi nyuma kwa REVERSE GEAR
Hadi unafika muda wa mhusika kwenda kuchukua gari lake nje ili aliingize ndani ya uzio wa Kanisa, magari yote ya watu wa Ibada ya kwanza yaliyokuwa yanatakiwa kutoka nje, yalikuwa tayari yameshatoka
Ukimwangalia mama huyu kichwa, kinaonekana kuwa kiko sawa, ana akili timamu
Kutokana na hali hii, itamchukua mhusika karne nzima mhusika kuweza kuamini kuwa ajali ya ndege ya mwaka 2022 ilikuwa ni ya kawaida
Yule SHUJAA MAJALIWA, anaweza akawa anajua mengi zaidi ya vile ambavyo awali watu tulidhani kuwa alikuwa anajua, na ikitokea pia ikajulikana kuwa hakuwa shujaa mhusika hawezi kushangaa chochote
Baadhi tu ya matukio ambayo mhusika alishawahi kuyaleta humu yakiwa yanahusiana na mhusika kutengenezewa mazingira ya kumlazimisha kuendesha gari REVERSE GEAR ni haya hapa yafatayo
#1,790
#1,789
#1,787
#1,394
#1,392
#1,345
#1,344
#1,339
#1,317
#1,316
#1,314
#1,313
#1,300
#1,299
#1,113
#1,112
#951
#928
#926
#925
#924
Vinginevyo matukio mengine ya awali ambayo yameshawahi kumhusisha mama mwenye gari Harrier ni haya hapa
#1,339
#1,299
#1,114
#1,113
#1,112
#924
#923
Mbali na huyu mama wa Kanisani, mtu mwingine ambaye ameanza kuonekana kuwa
“awkward” huku naye akiwa ni mmiliki wa gari aina ya Harrier, ni huyu mstaafu ambaye jina lake lina sauti yenye mapigo “GENE”
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA