J3 HIYO WAKATI MHUSIKA ANAINGIA OFISINI ALIWAKUTA WATU WAWILI OM-2 NA MFD WAKIWA WAMEJIFUNGIA OFISINI WAKATI OFISI HAINA AC
Kwa muda usiopungua miaka miwili sasa, J3 ya wiki hii ndiyo ilikuwa siku ya yake ya kwanza mhusika
kukuta ofisini hiyo ikiwa imefungwa mlango na madirisha, huku ndani kukiwa kuna watu
Tangu April 2022, mara zote ofisi hii imekuwa ikikaa mlango wazi kunapokuwepo watu ndani, na mara zote imekuwa ikiwa imefungwa mlango panapokuwa hamna watu ndani
Hii ndiyo imekuwa kawaida ya ofisi hii tangu muda huo kwa sababu haina AC
ASUBUHI WAKATI MHUSIKA BADO YUPO KWENYE KORIDO AKIELEKEA ULIPO MLANGO WA OFISI YAO
Akiwa yupo kwenye korido, aliona mlango wa ofisi ukiwa umefungwa, kitu kilichopelekea abashiri kuwa pengine
officemates walikuwa bado hawajafika ofisini, au walikuwa wamefika na hatimaye kuelekea sehemu zingine kama vile madarasani
Baada ya kufika mlangoni, alihamaki kidogo kuwaona watu wawili ndani ya ofisi wakiwa wamekaa; ambao ni OM-2 na MFD
Mhusika alijaribu kuwahoji kwa nini waliamua kujifungia kwenye chumba ambacho hakina AC na wao walimjibu kuwa ni kwa sababu walikuwa wamewasha AC
Hapakuwa na ubaridi wowote wa AC ndani ya ofisi isisokuwa upepo wa FENI ya AC, na hivyo baada ya maongezi hayo, kutokana na hali aliyokuwa nayo, mhusika aliwasihi wamruhusu ili aizime AC hiyo na pia afungue milango na madirisha; ukizingatia kuwa hata gari lake mhusika nalo vile vile hailina AC
Wawili hawa hawakuona shida kwenye ombi hilo la mhusika na walimruhusus akafungua mlango pamoja na madirisha
BAADA YA DAKIKA KADHAA KUPITA
- MFD aliaga na kuondoka, na baada ya hapo, hajaonekana tena mazingira ya ofisini hadi leo
- Muda mfupi baadaye tena, OM-2 naye alisema anaelekea kwenye presentation ambayo baada ya mhusika kuangalia circular kwenye email, kwa wakati ho hakuuona mwaliko wa presentation hiyo na hivyo kudhani kuwa pengine OM-2 alikuwa anaelekea kwenye presentation ambayo si ya Idara
Hata hivyo, muda mfupi baadaye mbele, mhusika alifanikiwa kuuona mwaliko wa
presentation hiyo kupitia email yake, huku muda wa
presentation hiyo ukiwa unaelekea mwisho, na hivyo mhusika hakufanikiwa kuhudhurua
presentation hiyo
- Wakati huo, OM-2 alikuwa tayari ameshaondoka kuelekea kwenye presentation
- Kwa upande wa OM-1, yeye muda wote huo hakuwepo ofisini humo; alikuwa tayari ameshaadimika kwa kile kilichokuja kujulikana baadaye kwamba ni kutokana na kazi ambazo amekuwa akipewa kuzifanya nje ya mazingira ya ofisini, tangu mwanzoni mwa wiki jana
BAADAYE, DAKIKA CHACHE MHUSIKA AKIWA NJE YA OFISI KWENYE VERANDA:
ALIPATA TAARIFA ZA MWALIKO WA MDOMONI KUTOKA KWA MWI ALYEKUWA ANASHUSHA NGAZI, KUWA SAA 5:00 KAMILI KULIKUWA NA PRESENTATION NYINGINE YA MGENI KUTOKA NJE YA TAASISI
Wakati huo, mhusika alikuwa ametokea juu washroom na hatimaye kuamua ku-pose kwa dakika chache kwenye kijiwe chake cha siku zote; mahali ambapo alimkuta amepumzika pia
staffmate mwingine ambaye mlango wa ofisi yake ndiyo mlango pekee ulio jitrani kabisa na kijiwe hicho
Wakiwa wapo hapo wanabadilisha mawili matatu,
MWI alitokeza akiwa anashusha ngazi na baada ya salaam na kabla hajaenda mbali akiwa anaendelea kushusha ngazi, ndiyo pale mkuu huyo aliwapojulisha wawil hao kuwa kulikuwa na
presentation nyingine iliyokuwa inatakiwa kuanza saa tano kamili
Baada ya kusikia hivyo, mhusika na mwenzake, walianza kushusha ngazi wakielekea chini uliko ukumbi wa
presentation hiyo
- Hii ilikuwa ni presentation ya mgeni kutoka nje ya taasisi, na possibly nje ya nchi
- Mhusika aliwaza akisema kuwa wakati mwingine mgeni huyu anaweza kuwa alikuwa ni mpitaji tu ambaye aliamua ku-share kitu na researchers wenzake na hivyo haikuwa lazima mualiko wa presentation yake uwe kwa maandishi kwa sababu presentation hiyo inaweza kuwa ilikuwa ni ya dharura
- Kwa hali hiyo MWI alikuwa na haki zote za kuwaalika baadhi ya watu kwa njia ya mdomo tu
Hiki ndiyo kitu pekee kilichomjia mhusika kichwani kwake wakati mwaliko huo wa MWI na hivyo baada ya hapo staff wawili hawa kuamua muda huo huo,
kumfuata kwa nyuma MWI wakiwa wanaelekea kwenye presentation hiyo
BAADA YA PRESENTATION KUMALIZIKA
Hapa ndiyo pale mhusika alipata kitu tofauti kichwani kuhusiana na mwaliko wa MWI,
trigger ya kitu hicho akiwa ni binti mrembo anyefanya kazi kwenye maabara ya MR X
Kwa hiyo mara baada ya presentation hiyo kumalizika,
binti anayefanya kazi kwenye maabara ya MR X alifanya kitu kingine tena kilichopelekea mhusika kuwa na mtizamo mwingine mpya juu ya mwaliko wa mdomo wa MWI kwenye presentation ya siku hiyo
Baada ya hapo, kilichotokea ni kwamba kuanzia pale, mhusika alianza kurudi tena nyuma akiunganisha kitendo cha binti huyo na lile tukio la watu aliowakuta wamejifungia ofisini asubuhi kwenye ofisi ambayo haina AC
Mbali na hilo, mhusika aiiunganisha pia na tukio lile la mwanafunzi wa ngazi za juu aliyekuwa
kwa mara ya kwanza, amehamia chumba jrani akiendelea kufanya kazi zake humo, na
ambaye yeye hakuwa amekaribishwa kwenye presentation hiyo; wakati katika hali ya kawaida, huyu ndiyo aliikuwa anafaa au anahitajika zaidi kwenye presentation hiyo, possibly kuliko watu wengine wote waliokuwa wamefanikiwa kuhudhuria presentation hiyo
- Mwanafunzi huyu, yeye hakuwa amealikwa, na alikuwepo anaendelea na kazi zake kwenye chumba jiarni wakati wa presentation ya mgeni ilipokuwa inaendelea
- Mbali na hilo, OM-2 naye hakuwepo kwenye presentation hiyo, pengine labda aliweza kuhudhuria ile ya kwanza na hatimaye kuondoka, au alipata udhuru na hivyo kushindwa kuhudhuria presentation zote mbili
- Kwa upande wa OM-1, yeye mikusanyiko ya namna hii kwake imeshaonyesha dhahiri kaibsa kuwa ni KITUO CHA POLISI, and he was nowhere to be seen
Zaidi ni kuwa, swahiba wa karibu wa OM-1,
yule ambaye amekuwa akichengana na RATIBA YA VIPINDI VYA MASOMO YA WANAFUNZI tangu aajiriwe mwanzoni mwa mwaka uliopita wa 2023, naye pia hakuwepo kwenye presentation hiyo
KILE AMBACHO EXCATLY ALIFANYA BINTI ANYEFANYA KAZI KWENYE MAABARA YA MR X
Binti huyu mrembo alikuwepo kwenye
presentation ya mgeni, na ilipomalizika alitoka na kwenda kusimama karibu na lango kuu la kuelekea iliko ofisi yake,
ground floor
Lango hilo liko jirani na
men’s room zilizopo
ground floor
- Baada ya kutoka kwenye presentation, huku akimpita binti na kumsalimia, mhusika alinyoosha moja kwa moja na kwenda kuingia kwenye service rooms hizo
- Wakati anataka kutoka, pale mlangoni alipishana na staff mwingine WAJINA WA MR X (first name), na waliteta mawili matatu kuhusiana uzuri wa presentation ya mgeni, wote wakiwa bado wapo kwenye vyumba hivyo vya huduma ya wanaume
Hapo kabla ya p
resentation ya mgeni kuanza, mhusika na WAJINA huyu waliteta kitu kilichokuwa kinahusiana na mwonekano wa macho yake (wajina). Yalikuwa yamevimba kiasi na mhusika alipomuona, alilazimika kumuuliza kuna nini kilikuwa kimemsibu na WAJINA alijibu kuwa ilikuwa ni
attack inayoitwa “RE”
(RE---mwenye uzoefu na afahamu)
Huyu alikuwa amepata shambulio la CELL RECEPTORS
Kwa hiyo mtu huyu alionekana akiteta kitu na mhusika kabla na baada ya
presentation, na kuteta kule kwa mara ya pili au ya mwisho, kulifanyika kama kwa usiri fulani, wawili hawa wakiwa ndani ya
men’s service rooms za ground floor
…………………inaendelea