Thx, 'm humbled, japo niliicheck kitambo sana,na khsu dp cooper uko sahihi kabisaUmejitahidi kuielezea ndugu hongera na yule dp cooper ni mtu aliyevalishwa uhusika wa mhalifu flani wa kweli ambaye hadi leo serikali ya Marekani haiwajahi kumpata baada ya kuiba mamilioni ya dola na kusepa nayo so ktk prison break alivaa uhusika wa mtu aliyekamatwa kwa uhalifu wa pesa nyingi ambazo hazikupatikana
Uongo wangu ni upi?argue with pointJamaa muongo ww
Kivipi mkuu mbona karudi kwenye mstari baada ya kutishwa na ile ndoto na anafanya vile anavyotaka rafiki yakeRojas amejaliwa roho nzuri ila akili kichwani hakujaliwa.
Vuta subira utaona kifuatacho itv...Kivipi mkuu mbona karudi kwenye mstari baada ya kutishwa na ile ndoto na anafanya vile anavyotaka rafiki yake
Tuongere sote ndugu yangu,ubarikiwestory kali sana hongera mwandishi
πππππRojas amejaliwa roho nzuri ila akili kichwani hakujaliwa.
Ni balaaHatari sana
yajayo yanafurahishaππKivipi mkuu mbona karudi kwenye mstari baada ya kutishwa na ile ndoto na anafanya vile anavyotaka rafiki yake
πππππππVuta subira utaona kifuatacho itv...
Itaendelea kama ilivyoanza na itaisha kama ilivyopangwa kwa uwezo wake muweza wa yote,ubarikiwe!Itaendelea
Rudia kuiangalia hiyo movie na kuielewa....utaujua uwongo wakoUongo wangu ni upi?argue with point
Ndio!Itaendelea