Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Umejitahidi kuielezea ndugu hongera na yule dp cooper ni mtu aliyevalishwa uhusika wa mhalifu flani wa kweli ambaye hadi leo serikali ya Marekani haiwajahi kumpata baada ya kuiba mamilioni ya dola na kusepa nayo so ktk prison break alivaa uhusika wa mtu aliyekamatwa kwa uhalifu wa pesa nyingi ambazo hazikupatikana
Thx, 'm humbled, japo niliicheck kitambo sana,na khsu dp cooper uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom