Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Mkuu shukrani sana kwa kutuletea hii story hakika inasisimua , sikubahatika kuisikiliza. Hii ndio first time kwangu na nimeielewa
 
Mkuu shukrani sana kwa kutuletea hii story hakika inasisimua , sikubahatika kuisikiliza. Hii ndio first time kwangu na nimeielewa
Usijali na pale patakapokuwa na story yoyote yenye kuvutia kweli ndugu yenu sitakuwa mchoyo tutashea ktk jukwaa hili,kikubwa uzima na nguvu na muda tu,mbarikiwe wasomaji wangu wote!
 
Kweli pata pesa tukujue tabia zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rojaz naye badala afanye matumizi, habari ya kujua kiasi za nini wakati hukuzitafuta !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…