Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Ssante cuzo hapo mchanganyo umeanza. Je kaka mkweli au anampoteza maboya...
Naona hela zikienda kuyeyuka, kuna ndugu huwa na wivu mtu akipata pesa. Acha tuone yajayo... barikiwa kwa uandishi cuzo ake.
sasa cuzo wa mie unaniuliza na nikijibu si nitakuwa nauza ramani😂😂 pesa ni shetani na ni bora uwenazo za kiasi kwakuwa mo money mo problem ndio hii sasa,ubarikiwe cuzo wa mie🙌
 
Ssante cuzo hapo mchanganyo umeanza. Je kaka mkweli au anampoteza maboya...
Naona hela zikienda kuyeyuka, kuna ndugu huwa na wivu mtu akipata pesa. Acha tuone yajayo... barikiwa kwa uandishi cuzo ake.
Anajifanya anahofia usalama wa mdogoake kumbe wivu tu ndio unaomsumbua,yaan atamharibia mdogo wake maisha huyu shetani
 
Sana kumbe umeliona hilo pia? Wakati mwingine bora mtu baki, kuliko ndugu. Nina wasiwasi alikuwa akimfatilia akiwa anaenda gerezani, nani anayeenda kumuona. Alishamfatilia nyendo zake zote, Rojaz anarudi kwenye umasikini na majuto ni mjukuu.
 
Kaka mtu anajikuta FBI

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Rojaz snitch‼️ miyeyusho
 
Sana kumbe umeliona hilo pia? Wakati mwingine bora mtu baki, kuliko ndugu. Nina wasiwasi alikuwa akimfatilia akiwa anaenda gerezani, nani anayeenda kumuona. Alishamfatilia nyendo zake zote, Rojaz anarudi kwenye umasikini na majuto ni mjukuu.
Cuzo 😂😂😂 unaumizwa roho sana na kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…