Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Pamoja sana
 
Inasisimua sana hii simulizi lakini kivipi huyo mfungwa akachezea kifungo kirefu hivyo wakati akiwa na mipesa ya kutosha kugharamia budget ya wizara ya mambo ya ndani ya Chato
Ndio mafikirisho yanaanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…