Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Usisahau tag yako mkuu
 
Ulilala na gari la mkaa[emoji23] unaamka asubuhi unajiuliza ni mimi kweli ndio niliyefanya hili jambo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu mkuu, unatamani masaa yarudi nyuma, ila ndo hivyo ishatokea. Pombe sometime siyo kabisa
 
Na me nimehisi hivi na ndio maaana masharti mengi sana na machale jamaa yanamcheza
Kuna watu wa hivyo, kuna mwaka nilikuwa na prosiponds zangu za kutosha tuu,. Nikawa nalalamika ofisi hainipi muda mara safari mara huku yaani tafrani. Kuna siku nilienda kwa best yangu Mzenji nikamwambia bwana eeenh miye nawahi kesho nina paper mwenzio, alikuwa na ndugu yake pale akaniuliza una exams kesho eeenh nenda tuuu utafaulu ila nenda asubuhi sana. Nikasema huyu nae ananichanganya tuu miye nataka kunenepesha ng"ombe siku ya mnada yeye hajui zima moto huyu. Kesho saa 12 nipo groud pale nikaaa kwenye meza akaja kijana mmoja simfahamu akatoa past paper zake akawa anacheki cheki. Nikamuuliza unafanya huo mtihani akasema ndiyo. Nikajisogeza na calculator yangu tukaanza kusolve ile exams alafu ulikuwa na solutions kwa nyuma. Tunasovu tunaangalia majibu nyuma. Saa 2 kamili tunaingia kwenye class paper limeridi kama lilivyo. Nikawa namuangalia yule kijana tunatasamu tuuu. Nilipotoka yule jamaa akanipigia simu akania.mbia nimekusaidia eti Aisee nilimweleza aisee weee acha tuu nikasema dunia ina mambo hiii. Yule jamaa yupo huko south huko anaishi.
 
Duh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…