Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau tag yako mkuuHapana ndugu mimi sio miongoni mwa yoyote katika simulizi hii ila nimeona kumekuwa na uhitaji sana wa watu kutaka kuipata story kwa njia ya maandishi ndio nikaamua kuiandika ili tupate kuusoma huu mkasa wa Rojas kwani sio watu wote waliojaaliwa kusikia simulizi hii redioni,hiyo ya mambo ya kwa Madiba nakuahidi kama ipo nayo haitapita siku nyingi ntaitupia hapa,ubarikiwe ndugu
Unakumbuka yule mama bonge kwenye ndoto alimuambia Rojas "wewe ni wa huku tu hizo pesa sio za kwako "( Rojas alikua amelalia kitanda cha kamba ndotoni)Mbuzi wa masikini hazaiiii
Iko kwenye mfumo wa pdf,ndugu... nijuzeKama umewahi kufatilia thread zangu unaweza kunijudge hivyo ingawa thread yangu hii ni ya tatu na nikundoe hofu thread yote nishaiandika yote kilichobakia ni kupost tu na kwa siku ntakuwa naituma mara mbili kwa siku,asubuhi na jioni,uwe na amani
Kabisa mkuu, Rojaz ameanzia gia namba 3, ila 1 na 2 zipo gerezaniKweli mkuu kutoa siri ndio kumeharibu kila kitu
Acha tu mkuu, unatamani masaa yarudi nyuma, ila ndo hivyo ishatokea. Pombe sometime siyo kabisaUlilala na gari la mkaa[emoji23] unaamka asubuhi unajiuliza ni mimi kweli ndio niliyefanya hili jambo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ufike salamaNgoja nitaisoma dear, nipo safarini sasa
Barikiwa ndugu yanguUsisahau tag yako mkuu
😂😂😂😂 umekumbuka alivyochambwa ndotoni na yule mmamaUnakumbuka yule mama bonge kwenye ndoto alimuambia Rojas "wewe ni wa huku tu hizo pesa sio za kwako "( Rojas alikua amelalia kitanda cha kamba ndotoni)
Hapana mimi uwa nasikiliza then naandika na nasave ktk whatsap yangu so unapofika muda wa kupost uwa na copy na kuja kupaste jukwaani hivyo kwakuwa episode zote nishaziandika inabakia kutupia tu
Ulichakata mbususu ya Juve😂😂Acha tu mkuu, unatamani masaa yarudi nyuma, ila ndo hivyo ishatokea. Pombe sometime siyo kabisa
Kuna watu wa hivyo, kuna mwaka nilikuwa na prosiponds zangu za kutosha tuu,. Nikawa nalalamika ofisi hainipi muda mara safari mara huku yaani tafrani. Kuna siku nilienda kwa best yangu Mzenji nikamwambia bwana eeenh miye nawahi kesho nina paper mwenzio, alikuwa na ndugu yake pale akaniuliza una exams kesho eeenh nenda tuuu utafaulu ila nenda asubuhi sana. Nikasema huyu nae ananichanganya tuu miye nataka kunenepesha ng"ombe siku ya mnada yeye hajui zima moto huyu. Kesho saa 12 nipo groud pale nikaaa kwenye meza akaja kijana mmoja simfahamu akatoa past paper zake akawa anacheki cheki. Nikamuuliza unafanya huo mtihani akasema ndiyo. Nikajisogeza na calculator yangu tukaanza kusolve ile exams alafu ulikuwa na solutions kwa nyuma. Tunasovu tunaangalia majibu nyuma. Saa 2 kamili tunaingia kwenye class paper limeridi kama lilivyo. Nikawa namuangalia yule kijana tunatasamu tuuu. Nilipotoka yule jamaa akanipigia simu akania.mbia nimekusaidia eti Aisee nilimweleza aisee weee acha tuu nikasema dunia ina mambo hiii. Yule jamaa yupo huko south huko anaishi.Na me nimehisi hivi na ndio maaana masharti mengi sana na machale jamaa yanamcheza
Tena nikaona mbichi tam kishenz yaanUlichakata mbususu ya Juve[emoji23][emoji23]
Duh?Kuna watu wa hivyo, kuna mwaka nilikuwa na prosiponds zangu za kutosha tuu,. Nikawa nalalamika ofisi hainipi muda mara safari mara huku yaani tafrani. Kuna siku nilienda kwa best yangu Mzenji nikamwambia bwana eeenh miye nawahi kesho nina paper mwenzio, alikuwa na ndugu yake pale akaniuliza una exams kesho eeenh nenda tuuu utafaulu ila nenda asubuhi sana. Nikasema huyu nae ananichanganya tuu miye nataka kunenepesha ng"ombe siku ya mnada yeye hajui zima moto huyu. Kesho saa 12 nipo groud pale nikaaa kwenye meza akaja kijana mmoja simfahamu akatoa past paper zake akawa anacheki cheki. Nikamuuliza unafanya huo mtihani akasema ndiyo. Nikajisogeza na calculator yangu tukaanza kusolve ile exams alafu ulikuwa na solutions kwa nyuma. Tunasovu tunaangalia majibu nyuma. Saa 2 kamili tunaingia kwenye class paper limeridi kama lilivyo. Nikawa namuangalia yule kijana tunatasamu tuuu. Nilipotoka yule jamaa akanipigia simu akania.mbia nimekusaidia eti Aisee nilimweleza aisee weee acha tuu nikasema dunia ina mambo hiii. Yule jamaa yupo huko south huko anaishi.