Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

Kwenda kwa mganga fake kuliharibu kila kitu kikubwa kumrudia Mungu

Asante sana shikamkono ukipata story nyingine tuletee barikiwa sanaa
Kuna nyingie naiandaa cuzo ni MOTO nipo katika kuisikiliza kwanza then niianze mdogo mdogo
 
Hata Yesu walimkataa itakua story?ulitaka ukajibie mtihani wa necta?
 
Boss asante tag haijanipa notification kumwa mwamba amenipa link kwenye uzi fulani hivi ndio nikaja kusoma.

[emoji120]
 
Mkuu umetisha sana,barikiwa sana kwa kutoa muda wako kuandika kisa kirefu namna hii. Hakika unastahili tuzo
 
Nimepata hasira kuna mijitu ina wivu na roho mbaya sana. Kaka mtu kashapata tamaa ya pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cuzo asante sana na umemaliza, huwa huna longolongo kabisa, barikiwa sana.
Huwezi amini nilipokuwa naisoma, ni kama naisikia sauti ya Rojaz akisimulia na sijawahi isikia.

Imenihuzunisha baadhi ya vipande, mpaka nikawa naogopa kusoma, sababu ya kuumia. Kweli mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni.
Hatimaye Rojaz ana familia na anaishi maisha yake.
Kuna mafunzo mengi sana nimeyapata humu.
 
Naomba unitumie audio mkuu
 
Salute kwako cuzo,ubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…