Mkasa wa kweli kabisa maisha ya ujana wa mapenzi

Mkasa wa kweli kabisa maisha ya ujana wa mapenzi

Huyo mbona kama namjua na hilo jina ni halisi bila shaka. Nimeitembelea sana mitaa hiyo.
Kweli mkuu ni la uongo ila jambo lilinikuta mitaa ya hayanga kule jambo halikuwa dogo lkn nashukuru Mungu nilicholopoka na usiku ukaisha bila usingizi mpaka asubuhi wala machine kuwaza kukoboa tena
 
Nimesoma ila sijaelewa kitu.
20250207_213556.jpg
 
Mkasa ni wa kweli kabisa

Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote.

Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa huko kwao TUKUYU, mfupi mweusi ana kwa mwanya fulani amaizing ni mcheshi sana

Basi siku moja alhamisi tulivu na baridi la mbeya nikiwa nimetoka job saa 9;30 jion nilienda geto na kupumzika kidg na baadae kuelekea buchani mtaa wa shewa.

Nilifika shewa mida yaa saa 1 hivi nilikaa sana huko mpaka mida ya saa 3. Usiku mida hiyo nikiwa nalud geto mtaa wa ituha nikiwa natembea kwa miguu koz hakuna usafili unaonganisha kwa dala dala au bajaj labda pkpk

Nikiwa njiani nalud geto msg ilingia kutoka kwa rose akinijulia hali yangu basi nami nilikua na upwiru na balid la mbeya chap nikaingiza story za hapa na hapa akasema njoo geto kwangu ule msosi kama hujala nimepika mwingi nikasema yes leo naend kula vyote mpish na chakula chake

Nilifika geto nikaoga perfume kidg kuondoa kikwapa huyoo nikatoka dk 10 nilikua nimefika maeneo ya ilomba nikala msosi saa 5 usiku nikamwambia kama utani ila nilikua namaanisha nikamwambia chakula nimekula bado wewe sasa. Na hapo sijawai kumtongoza zaid urafiki wa kawaida tu.

Kweli nikafanya yangu tena nilipiga kimoko tu nilijihisi mchovu gafla sikutaka kulazimisha nikasema usiku usiku nivute pumzi niiamkie BWANA BWANA BWANA

Usiku nimelala sijui nilikua naota sijui ilikua picha la kweli sijui hata ilikuaje niliota jamaa ananyanyua rungu sio rungu panga sio panga anataka kunijeruhi kwa nguvu nililuka.

Kumuwai nimdake kabla hajashusha na huku nimeandaa mkono wa kulia konde zito lkn huku nikipiga yowe kubwa balaaa usiku wa saa 7.

Lakini haikuwa kweli nilichokiona nilijikuta nipo chini ya kutoka ukutani nilipo lala huku moyo ukigonga mbio hatari na yule dem akiwa amenishikilia baada ya kukurupuka kijasho kidg kikinitoka huku akiniuliza nini?? Nini?? Mimi hata sielewi nini. Kimetokea.

Sikulala tena mpaka kunakucha asubuhi saa 11 niliamka nikaenda geto kwangu nikiwa na mawazo lukuki niktafakali kilicho tokea bila majibu mpaka leo sijui nini kilinisibu na haijwai kutokea tena hata kabla na sasa ile hali..

Lakini nilihisi yule demu huenda alikua mchawi au lah au ni kitu kibaya kilitaka kunipata Mungu na mizimu ya kina babu iliiniokoa. na sijawai kumludia yule dem

Kama kuna mtaalam ile ndoto ilikua ina maanisha nini wakuu maana mpaka leo najiuliza lakini wapi sijapata majibu na yule dem nikimuuliza naye anasema haijawai kumtokea kule ndan hali ile
Unapiga kimoko alafu unajiita mwanaume??
Cc : ephen_ Cute bebz
 
Nasikitika kukwambia wanawake wengi pamoja na udhaifu na uzuri, wengi wako kwenye missions dhidi ya wanaume, (Spiritual mission) Kuna wanaojua, na Kuna wanaotumika bila wao kujua ili kuharibu Mema na makubwa aliyopangiwa mwanaume,/ kijana maishani mwake. Maana Nyoka anajua mwanaume akitoboa kwa vyovyote atakuwa na athari kwenye ufalme na mission zake.

Mbaya zaidi vijana wengi wakiume kama sio wote hawajui hili, inaweza kuona jinsi mama atakavyomlinda na kumzingira mwanae wa kiume, maana wanawake wamama wengi wanajua/ wanahisi hili.
 
Back
Top Bottom