Mkasa wa kweli kabisa maisha ya ujana wa mapenzi

Upwiru ulikuponza hahahaha ujana unatuchekesha kwani sijui upoje nashindwa PATA jibu
 
Huyo mbona kama namjua na hilo jina ni halisi bila shaka. Nimeitembelea sana mitaa hiyo.
Kweli mkuu ni la uongo ila jambo lilinikuta mitaa ya hayanga kule jambo halikuwa dogo lkn nashukuru Mungu nilicholopoka na usiku ukaisha bila usingizi mpaka asubuhi wala machine kuwaza kukoboa tena
 
Unapiga kimoko alafu unajiita mwanaume??
Cc : ephen_ Cute bebz
 
Nasikitika kukwambia wanawake wengi pamoja na udhaifu na uzuri, wengi wako kwenye missions dhidi ya wanaume, (Spiritual mission) Kuna wanaojua, na Kuna wanaotumika bila wao kujua ili kuharibu Mema na makubwa aliyopangiwa mwanaume,/ kijana maishani mwake. Maana Nyoka anajua mwanaume akitoboa kwa vyovyote atakuwa na athari kwenye ufalme na mission zake.

Mbaya zaidi vijana wengi wakiume kama sio wote hawajui hili, inaweza kuona jinsi mama atakavyomlinda na kumzingira mwanae wa kiume, maana wanawake wamama wengi wanajua/ wanahisi hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…