Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Daah hii ni nzito Mkuu, huezi kujua huenda hata sababu ya kutengana ni Roho zilizopo huko
 
Kama nikweli..mkuu we nijasiri sana
 
Kama nikweli..mkuu we nijasiri sana
Mkuu hapa nafeel safe sana yaani sijui kwanini eti maana sehemu zingine utakuta watoto wanashambuliwa sana na wanga ukikaa kidogo unatibu familia nzima yaani..
Tofauti na nilipohamia hapa..
Imekuwa tofauti sana
Siuguliwi hovyo kihivyo yaani.
So kwangu naiona ina advantage kibao.

Wanawake wetu ni nadra sana kutuelewa kwenye baadhi ya mazingira maana anaweza hata kuhisi unajuana na walioyafanya haya..
Mwanzo alikuwa na presha lakini baadae akaonesha kama ashazoea sasa sijui kama ilikuwa ni zuga tu?
 
Njoo pm basi.
Yaani wewe Kapeace unataka nianzishe thread kwaajili ya mazungumzo yetu tu wawili??
Haaaaa si uje pm tu?
 
Daah hii ni nzito Mkuu, huezi kujua huenda hata sababu ya kutengana ni Roho zilizopo huko
No mkuu huwa sipendi kuelekeza lame kwa vitu ambavyo havihusiki kabisa yaani.
Kuhusu issue ya wife ni kwasababu alikuwa ni singo maza niliemuoa
So mtoto wake alipokua na yeye akaona hilo
Basi hakusita kunyoosha makucha mazima kunielekea..
Pia kulikuwa na misuguano mikali sana wayback
Ambayo ilikuwa inanipa indications kuwa
Ndoa hii inaning'inia kwenye string za watoto tu yaani anashindwa kusepa kisa tuna watoto.
So nilichofanya niliamua tu ile kimafia kuukatili moyo wangu ili niione hatma yetu.
Nilitoa watoto kwenye circle yangu.
Nikampa mama yangu mzazi akaenda nao.
Kweli haikuchukua hata mwezi.
Mwanamke alibeba alivyoona vinamfaa akasepa mi niko kazini..

Hapo nikawa nimeiface reality iliyotisha kwenye fikra zangu.
Yaani ile picha ya kutisha kabisa niliamua kuikabili na sio kuishi kwa hofu..
But gues what mpaka leo naishi poa tu huku nikitafakari hatua nilizozipiga since day one namuaproach mke wangu..
Nikakumbuka baadhi ya red flags na nikajipa heko kwa kuweza kuikabili picha iliyotisha kichwani mwangu.
So kwa namna moja najiona hero kwa kuishinda hofu ya ndani.

Next chapter ya maisha yangu sihitaji kuwa na mistakes ndogo ndogo tena kama za kukosea kuchagua partner tena maana
Haya ni maisha yangu na ni jukumu langu kubagua maana kwangu sio dhambi.
Bali ni dhambi kwa wale naowabagua.
Kwasasa nadate na wanawake tofauti awe single maza nadate nao tu na wengi wao ndio wanalilia ndoa.
Imagine unalala na mtu leo kesho anataka uongee na mama yake..
Wanaunda chanell ya ndoa..
Wananiona kama vulnerable kwao bila kujua nachowaza kwa sasa..

Nikihitaji kuoa mke najua wapi naenda kumtoa..
Ni kijijini kwetu tena aliyefeli 4 ndio naenda kubeba but sharti awe bikra
Kama hana bikra nitaishia kumtumia bila huruma na kumuacha.
Sio dhambi kwangu maana mimi sio kwanza kumtumia,, wapo waliotangulia..
So hawa viumbe hawawezi kuwa source ya kuvunja ndoa ambayo ilikuwa inashikizwa kwa uzi uliosagika kati kati.
 
Bado hata sijaiomba ushasema haiombwi acha uoga basi Kapeace
Kwan una trauma?
Sijui hata nikusaidieje unaonekana una mengi sana huba limekuzidia, kwwnye huu uzi sipataki, pm sifungui na sitaki kufunguliwa uzi,
 
Safi sana Mkuu. Pole sana kwa hiyo changamoto asee Cheki na wataalam wa akina mshana wale kuna dawa za Kutumia au kusafisha huko ndani hayo amdude yote yanatoka
 
Safi sana Mkuu. Pole sana kwa hiyo changamoto asee Cheki na wataalam wa akina mshana wale kuna dawa za Kutumia au kusafisha huko ndani hayo amdude yote yanatoka
Mkuu unataka watoke tena waende wapi??
Maana huku ni ziwani hawaendi popote tupo kwenye himaya yao..
Pili nyumba ikibaki wazi sana huwa inaingilika na wachawi sana mkuu..
 
Kumbe sawa Mkuu.
 
Kumbe sawa Mkuu.
Wahenga walisema choose wisely your enermy hawakukosea kusema hivyo..
Utajikuta unaanza kupigana vita na LUCIFER mwenyewe wakati huo huo kuna mambo ya riziki tunachukua usaidizi kwake.
I hope hiyo code utaielewa vyema mkuu..
 
nimekuelewa vizuri sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…