ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hii story imeishia wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MREJESHO
Katikati ya Mwezi wa nane Niliamua kwenda Nyumbani kuwasalimia ndugu zangu baada ya karibu Miaka saba Kutengana nao, Kutkana na mambo kadha wa kadha.
Nilipofika nyumbani Mama yangu alishangaa sana kwa sababu kwa maelezo yake alisema alishakata tamaa na alifikiri huenda angefariki bila kuiona tena sura yangu, Aliongea mambo mengi sana nafikiri aliumizwa sana na umauzi nilioufanya
Aliongea kwa Uchungu sana lakini baada akamalizia kwa Furaha kuniona tena, alinisishi sana Tumalize tofauti na ndugu zangu aliwaombea msamaha lakini awaita walioko Dar wakaenda Nyumbani tukaa tukazungumza na niliona hakuna haja ya Kukunja tukubaliane tu tuishi kwa Upendo maana walionekana tayari walijutia walichokifanya.
Aliniambia kuna Jirani yake mmoja aliwahi kumwambia ameniona alisema hizo taarifa zilikuwa zinampa faraja sana kwama nipo hai, Japo huyu mtu alimuambia tu aliniona kama mara mbili napita mtaani kwake na pikipiki ila hajui ninaposhi wala hana mawasiliano na Mimi.
Alinieleza alivyokuwa anaenda kwenye mikutano ya injili na kwa manabii kutafuta maombi ili nirudi nyumbani, aliniambia kwamba kuna nabii mmoja alimtabiria akamwambia sipo dar nipo kijijini sana Huko kanda ya ziwa na nimerushiwa pepo.Nilicheka sana asee.
Alisema alitamana hata kwenda kwa waganga ila kutoka na imani yake alikuwa akisita.
Aliniambia aliwahi kuja dar kutembea kwa watoto wake na kila alipokuwa anatemeba alikuwa anashauku kubwa ya kukutana na mimi kwa njia ya kimiujiza japo hakufanikiwa
Ndugu zangu pia walikuwa wanashangaa sana niliwezaje kukaa dar zaidi ya miaka sita na wala tusikutane njiani hata kwa bahati mbaya wala kukutana na watu wa karibu kama majirani n.k
Nilitaka nimsimulie ndugu yangu mmoja kwamba wakati nafanya udalali aliwahi kunicheki nikaona whatsap picha yake nikam-block muda huo huo ila nikaona haina maanakwa sasa.
Mimi ndugu zangu nilikuwa najua wanapoishi na mitaa ya kwao hata kwa bahati mbaya nilikuwa sipiti na wala kuishi au kupanga karibu na mitaa hiyo yaan kama anaishi Gomz mm njia yote hiyo sipangi naenda tegeta au kimara. Hata fb nilikuwa nime wa follow nilikuwa nafuatilia mambo yao yote.
Ki kweli ndugu zangu walinifanyia Kitu kibaya sana, walifanya kitu kibaya mno na kwa busara sioni sana haja za Kukiandika hapa kwa undani ila ni kitu ambacho leo nisingekuwa Duniani labda au nisingekuwa hivi nilivyo, Na baada ya mpango waowaliojaribu kuufanya nikagundua mama yangu alionekana kuwatetea sana na Kuona nikitu cha kawaida ndio maana Niliamua kuwaaga an kuondoka na kuamua kufanya mambo yangu bila kuwashirikisha Chochote.
Ndugu wanaweza kukuzunguka na kufanya vitu vya Hovyo sana kwa sababu ya kutanguliza tama na ubinafsi ndio maana familia nyingi zinavurugika.
Wakati naondoka nyumbani na kuwaambia wasinitafute wala sitokaa nirudi hapo nyumbani nikiwa mzima au maiti waliona kama utani lakini niliweza.
Nilitoka home mwaka huo nilikuwa na laki mbili tu nikaja mjini nikaishia huko kibaha ndani ndani kidogo lakini nilipambana sana na maisha, ki ukwlei nime experience maisha yote ya shida, shida sana, msoto, hadi sasa naona kama anelekea kutoboa.
Basi baada ya amzungumzo na ndugu kuisha kama ilivyo mila na tamaduni zetu tulichinja mbuzi na Pombe kidogo tukashare kama ishara ya kumaliza tofauti zetu.
Baada ya Hapo ilibidi sasa niwaelezee mpango wangu wa Kuongeza familia na niliwambia kuna mwanamke nimezaa naye hivyo nataka Kumuoa nao walionekana kufurahi sana na Kunisapoti.
Tuliendelea na Mipango ya kutambulishana ambapo tulianza kwenda kwa Judi kujitambulisha kisha Judi na wazazi wake nao wakaja kwetu kwa ajili ya Utambulisho.
Kwa tamaduni za kabila letu mwanamke ukisha zaa nae hata kama kwao hawakujui unatuma wazazi wako a ndugu zako wanaenda kukutana na wazee wa binti wanakubaliana kama kuna faini unatakiwa kulipa kisha wanapanga sasa Kijana aje nyumbani kwao kwa ajili ya kujitambulisha hii inakuwa kama sherehe ndogo hivi ya kuvishana pete ila tofauti kidogo kisha, ukishajitambulisha unawalika family ya Binti nao waje kwenu.
Kwa hiyo tayari Judi tumeshamaliza hizo taraibu na Tumepanga tutafunga Rasmi ndoa mwishoni mwa mwaka huu.
Ni hayo tu.
hii mrejesho ndio nimemalizia imeisha hivyoHii story imeishia wapi
Tumia hekima na busara unapozungumza ....Ndugu zako wa kiume Kwa hio ni ...aaPa kupigika nimepapenda pangeendelea kwa miaka mingine 2 hivi, wanaume ni ...bwaa
Napozungumza au napoandika,! We sio .....aaa haya relaxTumia hekima na busara unapozungumza ....Ndugu zako wa kiume Kwa hio ni ...aa
Sawa Mama K ....😂😂 pamoja sana familia 🙌🙌Napozungumza au napoandika,! We sio .....aaa haya relax
Hongera sana mkuu kwa hatua uliyofikia...Nakuombea maisha yenye Baraka na mafanikio,mkeo mtarajiwa mtunze asee usiruke ruke tenah.MREJESHO
Katikati ya Mwezi wa nane Niliamua kwenda Nyumbani kuwasalimia ndugu zangu baada ya karibu Miaka saba Kutengana nao, Kutkana na mambo kadha wa kadha.
Nilipofika nyumbani Mama yangu alishangaa sana kwa sababu kwa maelezo yake alisema alishakata tamaa na alifikiri huenda angefariki bila kuiona tena sura yangu, Aliongea mambo mengi sana nafikiri aliumizwa sana na umauzi nilioufanya
Aliongea kwa Uchungu sana lakini baada akamalizia kwa Furaha kuniona tena, alinisishi sana Tumalize tofauti na ndugu zangu aliwaombea msamaha lakini awaita walioko Dar wakaenda Nyumbani tukaa tukazungumza na niliona hakuna haja ya Kukunja tukubaliane tu tuishi kwa Upendo maana walionekana tayari walijutia walichokifanya.
Aliniambia kuna Jirani yake mmoja aliwahi kumwambia ameniona alisema hizo taarifa zilikuwa zinampa faraja sana kwama nipo hai, Japo huyu mtu alimuambia tu aliniona kama mara mbili napita mtaani kwake na pikipiki ila hajui ninaposhi wala hana mawasiliano na Mimi.
Alinieleza alivyokuwa anaenda kwenye mikutano ya injili na kwa manabii kutafuta maombi ili nirudi nyumbani, aliniambia kwamba kuna nabii mmoja alimtabiria akamwambia sipo dar nipo kijijini sana Huko kanda ya ziwa na nimerushiwa pepo.Nilicheka sana asee.
Alisema alitamana hata kwenda kwa waganga ila kutoka na imani yake alikuwa akisita.
Aliniambia aliwahi kuja dar kutembea kwa watoto wake na kila alipokuwa anatemeba alikuwa anashauku kubwa ya kukutana na mimi kwa njia ya kimiujiza japo hakufanikiwa
Ndugu zangu pia walikuwa wanashangaa sana niliwezaje kukaa dar zaidi ya miaka sita na wala tusikutane njiani hata kwa bahati mbaya wala kukutana na watu wa karibu kama majirani n.k
Nilitaka nimsimulie ndugu yangu mmoja kwamba wakati nafanya udalali aliwahi kunicheki nikaona whatsap picha yake nikam-block muda huo huo ila nikaona haina maanakwa sasa.
Mimi ndugu zangu nilikuwa najua wanapoishi na mitaa ya kwao hata kwa bahati mbaya nilikuwa sipiti na wala kuishi au kupanga karibu na mitaa hiyo yaan kama anaishi Gomz mm njia yote hiyo sipangi naenda tegeta au kimara. Hata fb nilikuwa nime wa follow nilikuwa nafuatilia mambo yao yote.
Ki kweli ndugu zangu walinifanyia Kitu kibaya sana, walifanya kitu kibaya mno na kwa busara sioni sana haja za Kukiandika hapa kwa undani ila ni kitu ambacho leo nisingekuwa Duniani labda au nisingekuwa hivi nilivyo, Na baada ya mpango waowaliojaribu kuufanya nikagundua mama yangu alionekana kuwatetea sana na Kuona nikitu cha kawaida ndio maana Niliamua kuwaaga an kuondoka na kuamua kufanya mambo yangu bila kuwashirikisha Chochote.
Ndugu wanaweza kukuzunguka na kufanya vitu vya Hovyo sana kwa sababu ya kutanguliza tama na ubinafsi ndio maana familia nyingi zinavurugika.
Wakati naondoka nyumbani na kuwaambia wasinitafute wala sitokaa nirudi hapo nyumbani nikiwa mzima au maiti waliona kama utani lakini niliweza.
Nilitoka home mwaka huo nilikuwa na laki mbili tu nikaja mjini nikaishia huko kibaha ndani ndani kidogo lakini nilipambana sana na maisha, ki ukwlei nime experience maisha yote ya shida, shida sana, msoto, hadi sasa naona kama anelekea kutoboa.
Basi baada ya amzungumzo na ndugu kuisha kama ilivyo mila na tamaduni zetu tulichinja mbuzi na Pombe kidogo tukashare kama ishara ya kumaliza tofauti zetu.
Baada ya Hapo ilibidi sasa niwaelezee mpango wangu wa Kuongeza familia na niliwambia kuna mwanamke nimezaa naye hivyo nataka Kumuoa nao walionekana kufurahi sana na Kunisapoti.
Tuliendelea na Mipango ya kutambulishana ambapo tulianza kwenda kwa Judi kujitambulisha kisha Judi na wazazi wake nao wakaja kwetu kwa ajili ya Utambulisho.
Kwa tamaduni za kabila letu mwanamke ukisha zaa nae hata kama kwao hawakujui unatuma wazazi wako a ndugu zako wanaenda kukutana na wazee wa binti wanakubaliana kama kuna faini unatakiwa kulipa kisha wanapanga sasa Kijana aje nyumbani kwao kwa ajili ya kujitambulisha hii inakuwa kama sherehe ndogo hivi ya kuvishana pete ila tofauti kidogo kisha, ukishajitambulisha unawalika family ya Binti nao waje kwenu.
Kwa hiyo tayari Judi tumeshamaliza hizo taraibu na Tumepanga tutafunga Rasmi ndoa mwishoni mwa mwaka huu.
Ni hayo tu.
Shukran sana Mkuu tuko pamojaHongera sana mkuu kwa hatua uliyofikia...Nakuombea maisha yenye Baraka na mafanikio,mkeo mtarajiwa mtunze asee usiruke ruke tenah.
Asee kupata mwanamke kama Judy ni babati ila kupitia kumtumaini Mungu yeye anatengeneza njia.Tunashukuru sana kwa kushare nasi story ya maisha yako kwa kwl nimeburudika ,nimeelimika na nimejifunza meeng.
Mafunzo yangu makuu .
-Tusitetereke au kuacha kumtumaini Mungu katika nyakati zetu hapa duniani
-Tupambane mpaka tone la mwisho ,tusikate tamaa.
Dr blackMREJESHO
Katikati ya Mwezi wa nane Niliamua kwenda Nyumbani kuwasalimia ndugu zangu baada ya karibu Miaka saba Kutengana nao, Kutkana na mambo kadha wa kadha.
Nilipofika nyumbani Mama yangu alishangaa sana kwa sababu kwa maelezo yake alisema alishakata tamaa na alifikiri huenda angefariki bila kuiona tena sura yangu, Aliongea mambo mengi sana nafikiri aliumizwa sana na umauzi nilioufanya
Aliongea kwa Uchungu sana lakini baada akamalizia kwa Furaha kuniona tena, alinisishi sana Tumalize tofauti na ndugu zangu aliwaombea msamaha lakini awaita walioko Dar wakaenda Nyumbani tukaa tukazungumza na niliona hakuna haja ya Kukunja tukubaliane tu tuishi kwa Upendo maana walionekana tayari walijutia walichokifanya.
Aliniambia kuna Jirani yake mmoja aliwahi kumwambia ameniona alisema hizo taarifa zilikuwa zinampa faraja sana kwama nipo hai, Japo huyu mtu alimuambia tu aliniona kama mara mbili napita mtaani kwake na pikipiki ila hajui ninaposhi wala hana mawasiliano na Mimi.
Alinieleza alivyokuwa anaenda kwenye mikutano ya injili na kwa manabii kutafuta maombi ili nirudi nyumbani, aliniambia kwamba kuna nabii mmoja alimtabiria akamwambia sipo dar nipo kijijini sana Huko kanda ya ziwa na nimerushiwa pepo.Nilicheka sana asee.
Alisema alitamana hata kwenda kwa waganga ila kutoka na imani yake alikuwa akisita.
Aliniambia aliwahi kuja dar kutembea kwa watoto wake na kila alipokuwa anatemeba alikuwa anashauku kubwa ya kukutana na mimi kwa njia ya kimiujiza japo hakufanikiwa
Ndugu zangu pia walikuwa wanashangaa sana niliwezaje kukaa dar zaidi ya miaka sita na wala tusikutane njiani hata kwa bahati mbaya wala kukutana na watu wa karibu kama majirani n.k
Nilitaka nimsimulie ndugu yangu mmoja kwamba wakati nafanya udalali aliwahi kunicheki nikaona whatsap picha yake nikam-block muda huo huo ila nikaona haina maanakwa sasa.
Mimi ndugu zangu nilikuwa najua wanapoishi na mitaa ya kwao hata kwa bahati mbaya nilikuwa sipiti na wala kuishi au kupanga karibu na mitaa hiyo yaan kama anaishi Gomz mm njia yote hiyo sipangi naenda tegeta au kimara. Hata fb nilikuwa nime wa follow nilikuwa nafuatilia mambo yao yote.
Ki kweli ndugu zangu walinifanyia Kitu kibaya sana, walifanya kitu kibaya mno na kwa busara sioni sana haja za Kukiandika hapa kwa undani ila ni kitu ambacho leo nisingekuwa Duniani labda au nisingekuwa hivi nilivyo, Na baada ya mpango waowaliojaribu kuufanya nikagundua mama yangu alionekana kuwatetea sana na Kuona nikitu cha kawaida ndio maana Niliamua kuwaaga an kuondoka na kuamua kufanya mambo yangu bila kuwashirikisha Chochote.
Ndugu wanaweza kukuzunguka na kufanya vitu vya Hovyo sana kwa sababu ya kutanguliza tama na ubinafsi ndio maana familia nyingi zinavurugika.
Wakati naondoka nyumbani na kuwaambia wasinitafute wala sitokaa nirudi hapo nyumbani nikiwa mzima au maiti waliona kama utani lakini niliweza.
Nilitoka home mwaka huo nilikuwa na laki mbili tu nikaja mjini nikaishia huko kibaha ndani ndani kidogo lakini nilipambana sana na maisha, ki ukwlei nime experience maisha yote ya shida, shida sana, msoto, hadi sasa naona kama anelekea kutoboa.
Basi baada ya amzungumzo na ndugu kuisha kama ilivyo mila na tamaduni zetu tulichinja mbuzi na Pombe kidogo tukashare kama ishara ya kumaliza tofauti zetu.
Baada ya Hapo ilibidi sasa niwaelezee mpango wangu wa Kuongeza familia na niliwambia kuna mwanamke nimezaa naye hivyo nataka Kumuoa nao walionekana kufurahi sana na Kunisapoti.
Tuliendelea na Mipango ya kutambulishana ambapo tulianza kwenda kwa Judi kujitambulisha kisha Judi na wazazi wake nao wakaja kwetu kwa ajili ya Utambulisho.
Kwa tamaduni za kabila letu mwanamke ukisha zaa nae hata kama kwao hawakujui unatuma wazazi wako a ndugu zako wanaenda kukutana na wazee wa binti wanakubaliana kama kuna faini unatakiwa kulipa kisha wanapanga sasa Kijana aje nyumbani kwao kwa ajili ya kujitambulisha hii inakuwa kama sherehe ndogo hivi ya kuvishana pete ila tofauti kidogo kisha, ukishajitambulisha unawalika family ya Binti nao waje kwenu.
Kwa hiyo tayari Judi tumeshamaliza hizo taraibu na Tumepanga tutafunga Rasmi ndoa mwishoni mwa mwaka huu.
Ni hayo tu.
Pamoja mkuu life Wacha lisonge uwe na baraka tele Kwa ndoa yenu na bi judy
Shukran sana kamandaPamoja mkuu life Wacha lisonge uwe na baraka tele Kwa ndoa yenu na bi judy
Shukran sana Mkuu Ujumbe wako nimeupenda sana, nitauzingatiaHongera sana, sasa ushataste maisha pande zote. Umeona faida na hasara kadha wa kadha. Its time to grow up. Fanya maendeleo, maankoli waje, wekezeni sehemu mbalimbali maana time is going very fast. Kikubwa focus on your family saivi (mke na watoto..sema Amina). Nyuchi zinazaliwa mpya kila siku, tena grade A pro max kabisa. Usipojua kucheza na nyakati, nyakati zitakupanga. Shukuru Mungu umepata second chance. Umepata dhahabu mkaka...just know that, Usipouanika.... utautwanga mbichi!
Msemo wa zamani sana, miaka ya 80 huko...ina maana ya muhogo. Kama unataka unga, hakikisha unauanika, ili utwange upate unga. La sivyo, utautwanga mbichi mimaji ikurukie hovyo usipate chochote...so itakuwa ni hasara. Umepanda, umepalilia, umewekeza ili upate unga wa muhogo wa kula na familia, unakuja kupata hasara ya kupoteza kwa kosa la KUTOKUANIKA.".......Usipouanika.... utautwanga mbichi" maana yake nini? Mademoiselle 😁😀😀😀
Duuh wahengaMsemo wa zamani sana, miaka ya 80 huko...ina maana ya muhogo. Kama unataka unga, hakikisha unauanika, ili utwange upate unga. La sivyo, utautwanga mbichi mimaji ikurukie hovyo usipate chochote...so itakuwa ni hasara. Umepanda, umepalilia, umewekeza ili upate unga wa muhogo wa kula na familia, unakuja kupata hasara ya kupoteza kwa kosa la KUTOKUANIKA.
Dalali mambo yako anayaweka uchi unakazana kimkandia tulia dawa iingieUsimdanganye mwenzio mwambie ukwel ajue hajui kuandika wala kutunga usiogope
hapana Mkuu nilishaacha ila Nilikuwa na connection ya hizo mambo sana kuna mishangazi hata huku JF nafikiri wananisoma hapaDALALI MKUU Vijana wana shida na mishangazi vp hii connection unayo?
Asking for a friend😂
wanasema hujui kusimulia lakini uzi wako umenifundisha vitu sana.
Shukrani