Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

Kinyume cha Judi yani nimkopee mwanaume hela tena hawara tu ambae hajawekeza chochote kwangu😀😀😀 ngumu sana, msema kweli mpenzi wa Mungu hiyo roho sina hata wazo tu halijawahi kukatiza kichwani kwangu kwanza nitawehuka nitakimbia kawe nikakanyage mafuta
Inaonekana hujawai kupenda wewe, huwa unatamani 🤣🤣
 
Back
Top Bottom