Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

EPS 13 UTAPELI, WIZI NA USHIRIKINA KATIKA KAZI YA UDALALI

Visa vingine kwenye kazi ya Udalali ambavyo nilikutana navyo ni Baadhi yetu Kuwa matapeli.

Utapeli ambao madalali wanafanya ni utapeli wa Kushirikiana ukiona dalali amekutapeli uwe na uhakika kuwa ameshirikiana na dalali mwingine.

Visa vingi vya utapeli vinafanywa na madalali njaa na wengi ndio wameharibu hiyo kazi.

Mfano wa utapeli wa kawaida ni dalali anaweza kuwa na Picha nzuri ya nyumba au chumba anaipost hata kama hiyo nyumba imeshapata mpangaji yeye anachokifanya anapest na kuweka namba zake ili apate wateja au watu angalu afaidi ile hela ya usumbufu.

Kuna dalali mmoja Kijiweni alikuwa anpost hata nyumba ambayo haiapngishwi labda ya mtu binafsi mteja ukipiga simu Anakuelekeza njoo sehemu Fulani nyumba ilipo ukifika anakuambia Asee huna bahati kuna mteja mwingine amekuja kulipia sasa hivi mumepishana tu hapo, lakini kuna nyumba nyingine sehemu Fulani twende ukaione.

Atakupelaka atakuzungusha mitaa unacheki ukikosa yenye sifa unazohitaji basi inabidi umpe hela yake ya Usumbu na kama hamjakubaliana ni kwamba kila nyumb aliyokupeleka anahesabu ni elf Kumi, na huwa hakudai huko huko atarudi na wewe hadi kijiweni Ili madalali wenzie wampe support. Unaweza kushangaa unadaiwa Elf hamsini kwa sababu umetembezwa Nyumba tano na ukibisha tu madalali wanakuzungushia ringi fasta. Huo ni utapeli wa kaiada ambao nafikiri wengi wanaufahamu.

Kupelekwa kwenye nyumba zilizotelekezwa, nyumba za watu wanaoishi mbali na mji n.k huo ni wizi wa kawaida kabisa ambao wengi munaujua.

Kuna wizi wa Kuibia wenye nyumba wanaojenga mjini kisha labda wanahamishwa kikazi kwenda Mikoa mingine.

Kuna jamaa yangu huyu Tumwite Steve, Steve alikabidhiwa nyumba na boss Fulani hivi ambaye alikuwa alijenga Tegeta A huko baadae akahamishiwa Iringa. Hivyo akamkabidhi steve nyumba yake ambayo ndio ilikuwa imekamilika amtafutie wateja.

Steve alipambana kweli akatushirikisha Kijiweni kwamba kuna Nyumba ina sifa Fulani ipo Tegeta A hivyo kama kuna mtu anahitaji tumuunganishe nae Kodi ilikuwa 150k, zilikuwa tatu.

Masai akapata mteja akamuunganisha na steve, steve akamwambia Yupo mbali mpeleke nyumba iko sehemu Fulani akampa ramani yote na akamwambia anamtuma mtu wa bodaboda ampelekee funguo.

Masai akaenda mteja akaicheki akaipenda maana ilikuwa an sifa anzohitaji, wakakubaliana ila akamwmabia mwenye nyumba yupo mkoani mteja akaomba namba yake mwneye nyumba ili waongee.

Masai akarudi kwa steve akamwambia wewe malizana nae mkataba atatumiwa mwenye nyumba amesafiri hayupo karibu kama shida ni mkataba utatumwa, na atapewa namba ataongea naye. Masai akashtuka akajua ni mchezo huu ila kwake sio geni akawa ameshapata akili ya kwenda na huo mchezo.

Mteja alipewa namba ya dalali mwingine akajifanya yeye ndio mwenye nyumba akamwambi mkataba unatumwa Hapo ila unatakiwa ulipie miezi sita na umeme na mambo mengine atakuwa anlipia mwenyewe.

Masai alimpanga mteja lipia haraka hii maana watu wengi sana wanaulizia hii nyumba, fanya haraka ili uhamie.

Mteja akataka namba ya Account ya Benk ili afanye malipo, wakamzuga pale wakampanga akakubali kulipia Kwa njia ya TIGOPESA shida jina aliloambiwa na la usajili ni tofauti ila pia ila hakujali sana mteja akaahidi Jioni atafanya malipo.

KMuda huo steve hataki kuonekana kabisa wala uhusika wake hakutaka ufahamike.

Na masai ili kujitenga na hilo sakata akamwambia ampe chake yeye atamalizana na mwenye nyumba na mwenye nyumba ndio atatuma Funguo, wanachokifanya wanatumia sabuni kwenda Kutoa Copy funguo wanakupa funguo Feki.

Masai akajitoa Mteja akakabidhiwa kwa mtu mwingine kabisa ambaye yeye ndio alidanganywa ni ndugu wa mwenye nyumba.

Masai baada ya hilo zoezi akamtafuta steve ili wakaubaliane vile wanamaliza huo mchongo maana mwenye nyumba Yupo mbali na sio rahisi kushtuka kwamba nyumba yake imepata mteja.

Makubaliano ilikuwa mteja ahamie kabisa bila kufanyiwa usumbufu na baada ya muda Kidogo ndio apigwe tukio.

Mteja alifanya malipo akamjulisha masai na akamwmabia Angehamia wikiend usiku masai akamwambia mimi sihusiki tena Funguo utakabidhiwa na ndugu yake aliyekupa mkataba na kusainisha huko mutamalizana mimi kazi yangu ilikuwa ni kukupeleka tu.

Mteja baada ya Process zote alihamia kama kawaida na pale alikuwa anakaa yeye na familia yake tu nyumba nyingine ilikuwa bado hajapata mteja. Mteja alilipia laki tisa steve akagawana na wenzie mwenye nyumba hakutumiwa hata Mia.

Waliendelea kutafuta mteja mwingine lakini wengi waliokuja walikuwa wanachomoa maana nyumba ilikuwa mbali sana kutoka ile barabara kuu ya mbezi baada ya kama Mwezi hivi mwenye nyumba alipata safari ya dar a akaja kimya kimya bila taarifa. Alipofika Dar akamjulisha steve kwamba amekuja dar hivyo atapitia pia kwenye nyumba yake akacheki mazingira.

Steeve akamwambia pia akifika amjulishe ili naye aende maana funguo anazo japo jamaa alimwambia anazo za akiba . Jioni muda wa saa mbili hivi wakaongozana kwenda kwenye nyumba steve hana wasiwasi wowote, mara wakaona Kama ndani taa zinawaka ikiashiria kuna mtu. Jamaa akamuuliza wkani ilishapata mpangaji steve akasema hapana nay eye akajifanya kushtuka na kushangaa sana.

Wakabisha hodi wakafungulia na Kitoto kidogo kina kama Miaka Kumi hivi akaulizwa upo na nani akasema nipo na mama, walimwita mam yake,jamaa akajitambulisha kwamba yeey ndio mwenye nyumba hivyo hana taarifa za uwepo wake pale.

Unaambiwa Yule mama alishtuka sana huendaalifikiri ni majambazi. Steve akamkaziaa uso akamuuliza nani alikuleta hapa na nani alikupangishia hii nyumba.

Maza akaelezea tukio zima, akaambiwa wapigie hao walliokupangishia akasema aliyenileta hapa baada ya kumaliza nae namba yake siku save lakini kwenye mkataba kuna namba ya Mwenye nyumba.

Kuicheki ni tofauti kabisa naya mwenye nyumba alafu zilkuwa namba kumi na moja nay eye alizopigiwa anzo hakusave hata moja. Kizaa zaa kilianzia hapo na mktaba wake fake.

Funzo Ukiwa unataka kufanya biashara au unafanya makubaliano na mtu yeyote jifunze kuhifadhi sms ambazo mumewasiliana ni muhimu sana hata namba za watu zihifadhi utapata tatizo utamhitaji tena.

Swali likabaki funguo alizipata wapi na wakati funguo zote wao ndio wanao, kwa kifupi ilikuwa kizaa zaa sana lakini mwisho wa siku Yule jamaa alimkubalia aendelee kusihi kwa makubaliano ambayo waliyafanya na akamsihi sana awe makini.

Jamaa akampa steve kazi ya kuwasaka ikiwemo kumtafuta huyo mama waende kwa wakala aliyewafanya miamala kama wataikuta namba na akamuonyeshe huyo dalali alimpata wapi.

Ubaya mmoja aliyekabidhiwa akzi ndio mwizi, Mwizi akajichunguze mwneyewe sakata lilikuja kuisha kwa shida sana na jamaa akahisi steve amamchezea mchezo akamkabidhi Yule mama majukumu kama akija mtu yeyote pale awasiliana nae.

Huyu mama alifanikwia kuhamia wengine wanazuia tu pale wanapoleta mizigo yao unaambiwa kwamba hii nyumba haipangishwi, aua tayari kuna mtu mwingine alishalipia

Huo ni aina ya utapeli mwingine unaofanywa na madalali hivyo ukitaka kupanga ulizia hata kwa majirani wa eneo husika lakini usikubali kusainishwa mkataba mtaani au bar, nenda na majirani waone.

Na huu ndio utapeli mkubwa wengi sana wamelizwa wengine wanalipia ukitaka funguo wanakuzungusha hadi mwneyewe unakuja kushtuka umepigwa namba zinakuwa hazipatikani tena.

Visa kama hivi ndio vilinifanya nikaachana na kazi za nyumba na viwanja kama nilivyoandika huko juu nikawa na dili na biashara zaidi na mambo mengine.

Utapeli mwingine kuongeza be ya kiwango husika.

Hii ndio niliwahi Kuifanya na nilifundishwa na masai.

Niliwahi kupata boss mwenye nyumba Salasala bei ilikuwa ni laki nne Apartment nzuri sana nikamwambia Boss nimepata mteja atatoa laki tano na ameshaiona ameridhika kwa hiyo atatoa laki tano hizo laki ni za kwangu boss akakubaliana na mimi, ila yeye pia alikwua ahishi Tz, alikuwa nje.

Mteja akalipa jamaa kweli hakuwa na shida akanitumia Kmaisheni yangu kama kawaida, hivyo ilitakiwa kila baada ya miezi minne mteja akitoa hela mimi naenda kuchukua laki zangu nne kama mshahara kwa kazi ambayo sijaifanya.

Hii michezo niliifanya sana na ilinipa sana hela lakini dhuluma au wizi fedha yake inaishia kwenye mambo ya Hovyo tu wala haisaidii.

Wenye nyumba wanashirikiana sana na madalali kuweka cha Juu japo kuna wengine hawataki kabisa hiyo michezo.

Na madalali tulikuwa tunafundishana sana hiyo Michezo na kujisiffu nayo ndio nikajua wkanini madalali wengi wanapiga sana hela. Wakati mwanzoni nashirikishwa huo mchongo nilishangaa sana lakini dhambi ukishaizoea inakuwa tamu sana.

Visa ni vingi sana vya Utapeli ambavyo nilivishuhudia lakini kwenye wizi na utapeli hayo ni kwa Uchache tu ila hivyo ndio visa vikuu

Unapotaka kupanga au kununua nyumba au kiwanja hakikisha unafuata Process zote ni afadhali ukalipia Benki ni vigumu sana kutapeliwa maana detail za mteja zinabaki na zinakuwa ni za kweli tofauti na njia za simu.

Hakikisha unaulizia majirani hasa wale uliowakuta pale kama nyumba ni ya wapangaji wengi, ukishakubaliana na dalali rudi tena kajiridhishe kwa kutafuta taarifa zaidi.

Madali si waharibii biashara ni afadhali kumuokoa mtu mmoja ambaye humjui maana wengine hawana fedha ya akiba na ndio wanaanza maisha ukimtapeli tu hata laki mbili unaumiza sana moyo wake.

Wenye nyumba pia tafuta dalali mwaminifu na usikubali aongezee hela kwenye nyumba yako maana anakula jasho lako bila kufanya kazi.

BAADAE NITARUDI NA VISA VYA USHIRIKIANA, USHIRIKINA UNATUMIKA VIPI KWENYE UDALALI AU VINA MAHUSIANO GANI.

Nimepunguza yale matukio mengine wakuu naelezea visa tu moja kwa moja. Wanaosema mimi sijui kusimulia ni kweli kabisa sijui, hapa niliamua kushea tu mikasa hiyo japo ni ya kweli kabisa lakini tupate burudani tu. mm sio fundi mwandiko wala msimuliaji
 
First leader
 
Safi kabisa aisee, mtu unaondoka na kakitu sio lile likipande la mangono ngono tu ambayo kila mtu anajua kua huyo dem lazima ulikua unamgonga tu, haiongezi chochote zaidi ya kusumbua dushe za wakaba nyoka.
 
Back
Top Bottom