Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

Ulimgeuza mkeo boya nawe ukageuzwa boya mchezo kwisha ngoma droo. Huna haja ya kulalamika wala kulaani. Jilaani na kujilaumu mwenyewe
 

Unapolala na mwamke tu you exchange vitu vya ndani sana na hapo unakuwa desperate kiroho na kinafsi sana.

Kama huyo mwanamke atakuwa mtu wa waganga au uchawi lazima atakuzibiti tu na utaingia kwenye shida kweli kweli..

Kuna sababu kwa nini vitabu vyote vya dini na ustaatabu wa kawaida unakataa zinaa, na unakaa haswa kabisa.

Kataa zinaa.
 
Pole sana kwa masahibu yaliyokukuta, ila nikuhakikishie jambo moja. Ni kwamba, hakuna aliyekufanya boya bali ulikua boya.
 
Afu mbona akina Nico mnakuwaga maboya sana kwann

Miaka 3 huhamwona mtoto alafu upo comfortable [emoji23]
 
duh pole sana
 
Mkuu hilo ni bwege lenye ndoa tupige matukio sisi wakata ndoa uone kama shetani na mungu hawajashirikiana kuchukua notes
 
Mkuu hilo ni bwege lenye ndoa tupige matukio sisi wakata ndoa uone kama shetani na mungu hawajashirikiana kuchukua notes
Si ndo nyie ambao mnaambiwa nna mimba yako, na hivyo hamtaki ndoa unampa hela akatoe😂 mnachunwa kama watu sita hivi akikaa akihesabu ana milioni. Hapo hakuna mimba wala ute😂
 
Si ndo nyie ambao mnaambiwa nna mimba yako, na hivyo hamtaki ndoa unampa hela akatoe[emoji23] mnachunwa kama watu sita hivi akikaa akihesabu ana milioni. Hapo hakuna mimba wala ute[emoji23]
Mkuu kuchunwa sio kupigwa tukio , mbona ninawapa bila hata kuniomba tu au mkuu ulitaka nile papuchi bure ebu kuwa seriously [emoji52]
 
Mkuu kuchunwa sio kupigwa tukio , mbona ninawapa bila hata kuniomba tu au mkuu ulitaka nile papuchi bure ebu kuwa seriously [emoji52]
Hujakutana na vitasa. Wanaume wenzio wanaliaga. Omba Mungu akuepushe na uishi katika misingo inayofaa ili kikombe kikuepuke. Usiombe
 
Uandishi mbovu
Akili mbovu
Unasomeshaje mtoto usie mjua.
Unamlipa house girl usiyemjua.
Dunia haitaisha mabwege.
 
Kwa jinsi ulivyo eleza inatoa picha kamili kwamba wewe ni boya..yaani haukufanywa boya..ila wewe ni boya.

Kuna mambo mengi ambayo ungeweza kufanya na kugundua mbivu na mbichi mapema kabisa.

Yaani kweli unashindwa kujua mtu yuko canada au mazense kwa miaka 2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…