Mkasa wa Manji, Yanga kukodishwa na Kutishia kujiuzulu. Yaliyopo Nyuma ya Pazia.

Mkasa wa Manji, Yanga kukodishwa na Kutishia kujiuzulu. Yaliyopo Nyuma ya Pazia.

Umejaribu kuongea uwongo ukaufananisha na ukweli hongera unafaa kutunga vitabu
 
....ngonjera tu hizi; Dangote wa Nigeria aaah wapi, atakuwa huyu wetu "chibu dangote"!, unless otherwise, Manji atakuwa mjanja sana, atapiga bonge la faida, na kwa jinsi alivyoitisha ule mkutano haraka haraka.......!!,
huenda kuna jambo!

Hata mashabiki tusipate hata mia tunachotaka mafanikio ya klabu tu hiyo ndiyo furaha yetu
 
hivi yanga ilikuwa inakodishwa na manji kufanya biashara gani vileee?...

maana mtaani kwetu kuna tetesi za uuzaji wa sembe na madubwasha mengine ambayo yangekuwa yanapelekwa ulaya kupitia antalia uturuki.....

na hilo la dangote lipo mtaani kwetu sema huyu manji anatakiwa atolewe kisha rizmoko aweke mtu wake atakayekuja na ofa ya 50-50 yanga na mwekezaji...ila kukodishwa yanga bado kuko pale pale na kwa miaka 10 ileile...

tatizo ni manji kuwepo kwenye equation.
Nimekwelewa sana! wanafikiri manji kuwa pale na kuikodisha club ni mawazo yake laiti wangekuwa wanajua nani yupo nyuma ya Manji!! Manji hawezi kuiachia club kijinga kijinga hvyo!
 
Mimi na Simbaaa
Mlitutukana sana
Msimu huu mnalo
Hehehe
MUnachokiona Yanga kuwa huenda ikawa kibonde msimu huu si sahihi....

Watu wengi walidhani ccm ingekufa baada ya uchaguzi.... Kilichotokea hakuna aliyeamini.

Na nyinyi jiandaeni na kupigwa na butwaa pale mtakapo sikia Yanga fufuka kutoka kifo ambacho mnakichora katika fikra zenu.
 
Dangote nae atakuwa amepotea akiinunua Yanga huyu size yake timu kama Westham,Arsenal na nk..

Mbona wengi mnaogopa mnapo sikia Dangote anaitaka Yanga kwa bil61....?

Tulueni kidogo ili muisome namba vyema na hiyo Bil 20 zenu za NG'OMBE.

Forza Yanga!
 
Hii issue imeanza nyuma kidogo. Kuna kiongozi mmoja mkubwa wa Yanga alipata Taarifa kuwa Dangote anataka awekeze Yanga Tsh Bil 65. Kiongozi huyu mkubwa wa hiyo team ambaye kiuhalisia ndiye mweenye maamuzi makubwa haraka haraka akaona amepata nafasi ya kutengeneza pesa.
Hivyo haraka akaanza michakato ya Kuvunja uthamini na TBL ili sasa aiingize Kampuni moja humo ndani na kwa kuwa yeye ni mhusika mkuu kwa ushawishi wake zile pesa zikija kwake awe ndiye muidhinishaji mkuu.

ili jambo hili likae sawa likaja wazo la haraka sana la mtu flan kukodi hiyo team ya Yanga. Ili atakapokodi yeye ile pesa ambayo itatyolewa tsh bil 65 itakuwa ka ajili ya kumnufaisha yeye na ndo likaja wazo yeye atumie asil 75 na Yanga wapate asilimia 25 hasara yake faida yao. Kwa akili za haraka haraka utagundua kuwa kwa bil 65 yeye hakuwa na uwezekano wa kupata hasara maana ile pesa imewekwa na mtu mwingine. Bwana Dangote. wanachama wa Yanga wakapiga Makofi na Kufurahia sana ukodishaji huu pasipo kujua nini kinaendelea mule ndani.

Mzee akilimali aliliona hili kwa sababu habari alizipata na akaona kuwa hapa kuna mtu anaenda faidika sana kupitia Yanga. ikaanza misuguano. ile misuguano ilipozidi ikamfikia kiongozi mmoja wa juu ambaye akahisi kuwa njama zake kuna watu wamezigundua. na huyu naye akaamua kutishia kujiuzulu nafasi yake ili kuliua jambo hili. hivyo yeye kubaki na team na hatimaye kumshawishi Huyo anayetaka wekeza bil 65 kuwekeza na akiwa yeye kiongozi ana uwezo wa kuzi control kimatumizi n.k ili aweze jinufaisha.

kwa wenzangu na mimi hili hawalifaham. hivyo tuzidi kumuombea Manji awe mwenyekiti wa hii team na pia tumkodishe ili team ya Yanga ifanye vizuri.

asanteni sana. source mwana Yanga Mnazi kabisa na mwenye mapenzi na team
Mkuu ni vyema ukajifunza zaidi kwa watu tunaochambua haya mambo. Stori za kijiweni kwenu kwa mama ashura hazitakusaidia. Embu tembelea hapa MANJI ANAKODI, MO’ ANACHUKUA BURE
 
A
Huu ni ukweli sema mwandishi ameandika namna ambayo anauma na kupuliza pia inataka uwe makini kumwelewa. Naonesha wizi ambao kuna watu au mtu anataka kufanya then mwishoni kwa kebehi anasema tuendelee kumwombea mtu huyo awe yanga. Dangote alinyimwa arsenal nadhan sabab ya kuwa ni frm africa then ye ndo angekuwa mwenye share nying. So akarudi kuja kuangalia league gan kali huku afrika na inasemekana lig yetu. Na ndo likaja wazo la kuwekeza Yanga kwa hizo Bil 65 manji naye akaona opportunity ndo hiyo ni kweli alikimbilia haraka kusema akodishiwe team kwa miaka 10 ili achume pesa za dangote maana yeye ndo angekuwa final say na matumiz ya hizo pesa. Wala hakuwa akitaka kuendesha kwa pesa zake. Na atakapoonda hiyo issue imeshindikana atawaachia team yenu katika mazingira ambayo itabidi mkambembeleze sana kwa magoti na kilio. Ni mchezo ambao wengi hawauelew.
Mfanyabiashara anayetambua umuhimu wa kukuza chapa (brand) yake kwenye nchi anayowekeza hawi mjinga wa kufanya hivyo kwa njia za panya. Labda ni Dangote mwengine huyo.
 
Hii issue imeanza nyuma kidogo. Kuna kiongozi mmoja mkubwa wa Yanga alipata Taarifa kuwa Dangote anataka awekeze Yanga Tsh Bil 65. Kiongozi huyu mkubwa wa hiyo team ambaye kiuhalisia ndiye mweenye maamuzi makubwa haraka haraka akaona amepata nafasi ya kutengeneza pesa.
Hivyo haraka akaanza michakato ya Kuvunja uthamini na TBL ili sasa aiingize Kampuni moja humo ndani na kwa kuwa yeye ni mhusika mkuu kwa ushawishi wake zile pesa zikija kwake awe ndiye muidhinishaji mkuu.

ili jambo hili likae sawa likaja wazo la haraka sana la mtu flan kukodi hiyo team ya Yanga. Ili atakapokodi yeye ile pesa ambayo itatyolewa tsh bil 65 itakuwa ka ajili ya kumnufaisha yeye na ndo likaja wazo yeye atumie asil 75 na Yanga wapate asilimia 25 hasara yake faida yao. Kwa akili za haraka haraka utagundua kuwa kwa bil 65 yeye hakuwa na uwezekano wa kupata hasara maana ile pesa imewekwa na mtu mwingine. Bwana Dangote. wanachama wa Yanga wakapiga Makofi na Kufurahia sana ukodishaji huu pasipo kujua nini kinaendelea mule ndani.

Mzee akilimali aliliona hili kwa sababu habari alizipata na akaona kuwa hapa kuna mtu anaenda faidika sana kupitia Yanga. ikaanza misuguano. ile misuguano ilipozidi ikamfikia kiongozi mmoja wa juu ambaye akahisi kuwa njama zake kuna watu wamezigundua. na huyu naye akaamua kutishia kujiuzulu nafasi yake ili kuliua jambo hili. hivyo yeye kubaki na team na hatimaye kumshawishi Huyo anayetaka wekeza bil 65 kuwekeza na akiwa yeye kiongozi ana uwezo wa kuzi control kimatumizi n.k ili aweze jinufaisha.

kwa wenzangu na mimi hili hawalifaham. hivyo tuzidi kumuombea Manji awe mwenyekiti wa hii team na pia tumkodishe ili team ya Yanga ifanye vizuri.

asanteni sana. source mwana Yanga Mnazi kabisa na mwenye mapenzi na team
Chizi Maarifa vs. akili mali.
 
Mashabiki wa Simba wametawala thread hii...kweli adu muombee njaa
 
Back
Top Bottom