Mkasa wa Manji, Yanga kukodishwa na Kutishia kujiuzulu. Yaliyopo Nyuma ya Pazia.

Umejaribu kuongea uwongo ukaufananisha na ukweli hongera unafaa kutunga vitabu
 
....ngonjera tu hizi; Dangote wa Nigeria aaah wapi, atakuwa huyu wetu "chibu dangote"!, unless otherwise, Manji atakuwa mjanja sana, atapiga bonge la faida, na kwa jinsi alivyoitisha ule mkutano haraka haraka.......!!,
huenda kuna jambo!

Hata mashabiki tusipate hata mia tunachotaka mafanikio ya klabu tu hiyo ndiyo furaha yetu
 
Nimekwelewa sana! wanafikiri manji kuwa pale na kuikodisha club ni mawazo yake laiti wangekuwa wanajua nani yupo nyuma ya Manji!! Manji hawezi kuiachia club kijinga kijinga hvyo!
 
Mimi na Simbaaa
Mlitutukana sana
Msimu huu mnalo
Hehehe
MUnachokiona Yanga kuwa huenda ikawa kibonde msimu huu si sahihi....

Watu wengi walidhani ccm ingekufa baada ya uchaguzi.... Kilichotokea hakuna aliyeamini.

Na nyinyi jiandaeni na kupigwa na butwaa pale mtakapo sikia Yanga fufuka kutoka kifo ambacho mnakichora katika fikra zenu.
 
Dangote nae atakuwa amepotea akiinunua Yanga huyu size yake timu kama Westham,Arsenal na nk..


Mbona wengi mnaogopa mnapo sikia Dangote anaitaka Yanga kwa bil61....?

Tulueni kidogo ili muisome namba vyema na hiyo Bil 20 zenu za NG'OMBE.

Forza Yanga!
 
Mkuu ni vyema ukajifunza zaidi kwa watu tunaochambua haya mambo. Stori za kijiweni kwenu kwa mama ashura hazitakusaidia. Embu tembelea hapa MANJI ANAKODI, MO’ ANACHUKUA BURE
 
A
Mfanyabiashara anayetambua umuhimu wa kukuza chapa (brand) yake kwenye nchi anayowekeza hawi mjinga wa kufanya hivyo kwa njia za panya. Labda ni Dangote mwengine huyo.
 
Chizi Maarifa vs. akili mali.
 
Mashabiki wa Simba wametawala thread hii...kweli adu muombee njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…