Mkasa wa Nabii Ann Wanyoro na vifo vya ajabu vya watu watano kutoka familia moja

Ulichoongea ni kweli ila hapo mwisho UT wa Tanzania na hao unaosema secrete services hamna icho kitu ni wananchi mnakuza mambo tuu.
 
Ulichoongea ni kweli ila hapo mwisho UT wa Tanzania na hao unaosema secrete services hamna icho kitu ni wananchi mnakuza mambo tuu.
Hujawahi kutana nao!!

Huo ujinga wa hao uvccm usichanganye na real dudes mkuu!!

Sector zote zipo Hadi wachawi wa kweli kabisa yaani walozi nao no sehem ya system!achana na wapiga makelele wanaovaa kaundasuit wakijidai Kuna wenyewe hai wengine ni mapambo tu!!
 
Infropreneur karibu mkuu tupe mawazo yako, ni kifo cha kawaida kwa hawa wanafamilia au mambo ya imani yanaingia hapa?
Haya ni mambo ya imani.

Hayana tofauti na lile tukio la mchungaji Paul Mackenzie kule Msituni Shakahola aliye waaminisha waumini wake wafunge mpaka kufa wakamuone Yesu.

Faith hijacks the mind and gives it an illusion to stop thinking critically.

Huyo jamaa alichofanyiwa ni kuwa indoctrinated na kuwa brainwashed na mafundisho hayo yaliyoharibu uwezo wake wa kufikiri na hivyo kupelekea kutekeleza chochote mafundisho hayo yanavyo sema au jinsi anavyo amriwa na huyo mchungaji wake Ann Wanyoro.

Faith is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.
 
Hiyo aya ya mwisho umeutoa ukweli mchungu mno aisee.
 
Hizi dini za mitume na manabii ni za kuwa nazo makini sana, Paul Magu alishindwa kumsikiliza hata mama ake mzazi aliyemtambulisha kwenye hiyo dini.

Inauma sana hasa kwa wazazi wake, ndugu na jamaa aliowaacha.

Ukipata mda soma kitabu kinaitwa Church Mafia kinaushuhuda mzuri lakini pia kinaelezea kiundani zaidi namna haya makanisa ya kileo ya manabii na mitume yanavyoangamiza jamii badala ya kuisaidia.
 
Kuna kibali cha pekee wanakuwaga nacho hawa mabwana.
Wanakuwa na nguvu za giza na wanazipata kwa ibilisi. Ni nguvu ya shetani inawaendelesha na wametoa nafsi zao kwa shetani kama wakristo wa kweli wanapotoa nafsi yao kwa Yesu. So tuwe makini na manabii wa mchango. Pia nabii anatakiwa kuwa chini ya mchungaji sasa leo hìi nabii anakuwa mwenyewe. Unless nabii huyo huyo awe ana huduma ya mchungaji hapo ndo mambo yatabalance. Lakini manabii vichupa, vibaba chumvi, keki upako, etc ni wahuni na mawakala wa ibilisi.
 
Nakipatia wapi hiki kitabu mkuu? Una hardcopy?
 
Na kuna wale wanaotumia sadaka kutakasia pesa maana sadaka hazina regulation ya mapato. Huwezi sema zimetokea wapi? Hapa ndo unawakuta wakina Uebert na wenziwe.
 
Nakubali mzee, umejibu vyema sana kwamba kilichotokea kinaelezeka vyema hakuna cha uchawi wala nguvu za giza

mafundisho ya kitabu ndio yameleta matokeo yote, ubongo umevurugwa kwa hayo mafundisho na kusababisha disaster, hakuna cha shetani wala jini maimuna kamuingia kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…