Mkasa wa Nabii Ann Wanyoro na vifo vya ajabu vya watu watano kutoka familia moja

Nimesikitika sana haswa kwa hao watoto ambao hawakustahi kupitishwa pito hio.
Kwa vile Mwenyezi Mungu yupo haijalishi nini kipo ama kimetokea na wapi ja na mazingira gani naamini kabisa atawalipia hao watoto malipo mema.
 
Kuna muda ufikie hizi dini tuzishukuru kwa kutufundisha uwepo wa Mungu ingawa zenyewe zimesha hitilafiana naye.
Sisi itoshe kutengana nazo na kumuelekea Mungu kibinafsi bila mwavuli wa dini, vinginevyo dini zinaweza kuwa sababu ya mwanadamu kutokukutana na muumba wake daima.
 
Nimesikitika sana haswa kwa hao watoto ambao hawakustahi kupitishwa pito hio.
Kwa vile Mwenyezi Mungu yupo haijalishi nini kipo ama kimetokea na wapi ja na mazingira gani naamini kabisa atawalipia hao watoto malipo mema.
Sijui Paul aliwauaje hawa watoto? Kwa kunyonga ama kupiga.

Si bure alichanganyikiwa mpaka kuvaa nguo za mama yake.
 
Sijui Paul aliwauaje hawa watoto? Kwa kunyonga ama kupiga.

Si bure alichanganyikiwa mpaka kuvaa nguo za mama yake.
Kwa muktadha bwa hiki kisa huwenda walengwa walikua watoto, ikaonekana heri aanze mama kisha kwa watoto iwe rahisi!
Bahati mbaya alishindwa kustahimili hayo matukio na kuchanganyiwa kuliko pekekea kujiua.
Lakini utata mwingine nini sababu ya kuhamisha umiliki wa mali zake kwa huyo nabii.
 
Uchawi, shetani vyote ni visingizio tu.

Wala havina uhalisia.
 
Sasa bwana huyu amekufa na hata mali zake kidogo alizobakiza, nazo zimeenda na nabii. Na kiuhalisia, Ann hatokaa akafungwa. Hamna concrete evidence dhidi yake mbali na assumptions tu.
 
Sasa bwana huyu amekufa na hata mali zake kidogo alizobakiza, nazo zimeenda na nabii. Na kiuhalisia, Ann hatokaa akafungwa. Hamna concrete evidence dhidi yake mbali na assumptions tu.
Na muda unavyozidi kusogea naona ushahidi wa kumtia hatiani unazidi kuwa mdogo na kupotea!
RIP wale watoto, ubinafsi bwa mwanadamu ulidhulumu haki ya maisha ya wale watoto.
 
Mkuu, huyu bwana ungemwokoaje kama angalikuwa ndugu yako?
Mkuu,

Imani ni jambo gumu sana kumbadilisha mtu. Na ni vigumu sana kumshauri mtu akuelewe na abadilike pasipo matakwa yake na maamuzi.

Labda pengine ujaribu kutumia nguvu kumzuia kufanya hivyo.

Nitakupa mfano kulingana na lile tukio la mchungaji Paul Mackenzie kule Msituni Shakahola Kenya.

Kuna watu wali okolewa kabisa msituni wakiwa na njaa kali, kiu na hali mbaya sana. Lakini walipoletewa chakula wale waligoma kula kabisa wakisimama na msimamo wao wa kiimani kwamba lazima wafunge bila kula chochote wakamwone yesu.

Yani ilibidi wengine wadanganywe danganywe kama watoto ndipo wale.

Sasa kumuokoa mtu wa namna hii nguvu zitahitajika Yani unamtoa huko kwa lazima atake asitake.
 
Bongo kuna utapeli wa hawa manabii, ila kenya ni too much. Wanauana sana kwa kigezo cha imani..

Hizi imani zinazoibuka kama uyoga hapa bongo sio ajabu yakaanza kutufika pia.
Kila kitu na kiasi. Zaidi ya hapo basi majanga hayakwepeki.
 
Bongo kuna utapeli wa hawa manabii, ila kenya ni too much. Wanauana sana kwa kigezo cha imani..

Hizi imani zinazoibuka kama uyoga hapa bongo sio ajabu yakaanza kutufika pia.
Mi naanza kupata hofu, hawa watu/ watoto wanaopotea, sijui... Kuna clip ya mtu anaedai alikuwa kuzimu na alikuwa anahusika kuto nguvu za upako kwa hawa mitume na manabii, kwamba walikuwa wanatoa kafara karibu watu 20 kwa siku hapo mjini kati
 
Hao nao uongo mwingi tu sio wa kuwaamini.
 
Inaumiza sana.
Tuepukane na huu utumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…