Mkasa wangu stevoh... Embu jifunze kitu kwangu...

Chumba cha sili, kalikua kana niambia vimaneno eti oh I love u manoah mara nikija nitakutafuta kumbe ni hatari hatarii tupu kana weza kukupeleka mabwe pande bila kutarajia
huo mwamvuli aliotumia umetobokaaaa
 
Chumba cha sili, kalikua kana niambia vimaneno eti oh I love u manoah mara nikija nitakutafuta kumbe ni hatari hatarii tupu kana weza kukupeleka mabwe pande bila kutarajia

hahaha hakuna tofauti saaana na yanguu. Ila alisema bhana sa ivi yupo UK
 
hahaha hakuna tofauti saaana na yanguu. Ila alisema bhana sa ivi yupo UK

alikuwa anadai yupo uk ili tusiombe namba ya simu. Na pia alikuwa hatoi picha wala link ya facebook account....
 
Haaa......pole sana...Sasa ile mahari uliyotoa ya ng'ombe hamsini itakuwaje..
 
Na mie kaliniambia ivyo ivyo aisee yani nikawa natamani nikafate, kalikua na maneno matamu kama nyoka alie mlubuni Eva yani we acha tu kaliniambia baada ya miezi 2 au 3 katakua kamefika katanitafuta, ningekatawanya kange kua ni ka ukweli,
hahaha hakuna tofauti saaana na yanguu. Ila alisema bhana sa ivi yupo UK
 
Haaa......pole sana...Sasa ile mahari uliyotoa ya ng'ombe hamsini itakuwaje..

ngoja mjomba mtu Chimbuvu atoke kwenye server room kwa maroboti aje kueleza kuhusu mahari
 
Last edited by a moderator:
Yani yani yani dah! Basi tu yani yani du my love Marry Hunbig mbona umaniacha nalia na majonzi usiku wa leo silari nakuwaza wewe mie sijali wayasemayo njoo mupenzi eheheh samahani nimakosea kumbe namuimbia mwanaume
teh teh teh.... Mi mbona tangu mwanzo nipo arif....
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh.... We imba tu si unajua mapenzi upofu.... Assume ni mwanamke basi... Uhwii... noahism U wapi my dada Marry Hunbig
 
Last edited by a moderator:
Kaishawai nipiga kiss tu kwasababu mi nilikua naongea nae kupia tango anasauti tamu huyooo yani ukiisikia tu lazima usisimkwe mwili mzima
Dah ila aliwakamata aisee.... Opps... Alitukamata.... Hivi mi ndo nilikuwa bro wake hapa jamvini? Aise najivua gamba
 
Kaishawai nipiga kiss tu kwasababu mi nilikua naongea nae kupia tango anasauti tamu huyooo yani ukiisikia tu lazima usisimkwe mwili mzima

Teh teh teh.... UK...!!! Au alikuwa na maana UKEREWE?
 
Shauri yake kama alikua ukerewe au U.k ni yeye, ila tulipanga nae mambo mazuri mazuri ninge mfaidi huyu mtu

Amejiharibia sana CV.... Na bahati yake ni kuwa sidhani kama kunamtu anaye mfahamu physically
 
Kaishawai nipiga kiss tu kwasababu mi nilikua naongea nae kupia tango anasauti tamu huyooo yani ukiisikia tu lazima usisimkwe mwili mzima

ni wakike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…